luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
Hahaha bado unawewesekaKwani Gonja Mawole siyo Kilimanjaro au huko kwenye Magadi wilaya ya Siha siyo Kilimanjaro ? Kawadanganye wasiofika huko. Huko machame kwenyewe shina la mgomba kama paja la mbuzi, ardhi haina rutuba. Mnasema nyie matajiri ni lini Kanda ya Ziwa ilikuja kuomba msaada wa chakula huko ? We vipi ?
Naam lazma tuzikwe kwetu maana kumejengwa vizuri,nyie hamzikwi kwenu maana Ni aibu vijumba vya nyasiKwanza huko Kilimanjaro ni makaburini tu kama ilivyo Kinondoni makaburini. Nani anaishi huko ? Mkifa ndio mnapelekwa kuzikwa.
Kama tusingekuwa tunaishi huko hii ripoti inayosema Kilimanjaro Ni mkoa wa pili tz kuwa na maisha Bora je Ni maisha ya misukule au nyani?[emoji1][emoji1]Kwanza huko Kilimanjaro ni makaburini tu kama ilivyo Kinondoni makaburini. Nani anaishi huko ? Mkifa ndio mnapelekwa kuzikwa.
Nishakwbia unaweweseka,lini tumekwambia tuna shida ya ikulu?Mnashida sana na ikulu ndio maana kelele nyingiiii. Mtu umiliki robo eka ya mchaichai halafu ujione tajiri . hauko seroius.
Sasa Kama mlikuwa hamna mwamko wa elimu shule zingejengwaje? Si mlikuwa busy kuozesha mabinti na kucheza bogobogo?Kanda ya Ziwa yote High School enzi zake ilikuwa mpaka Tabora boys .
Tulishawekeza tz yote na tunazid kuwekeza Hakuna sehemu yoyote tz ambayo hatujawekeza,tena tukija tunawaamsha akili na kuibua maendeleo unaona faida ya akili kubwa?Mtakuja tu maana huko hapawatoshi. Mtaenda wapi ?
Hawajui kuwa watu walipiga kitabu tangu enzi,wanadhani watu wa KILIMANJARO wamesoma kwa elimu za juz juz ,haawajui kule kitabu kimepigwa tangu kabla ya uhuruMkuu yaani hapo miamia kabisa. Wachaga wanenda kuchukua nchii mazima. Miaka ya 1990 Kilimanjaro ilikuwa na secondari 72 wakati nikiwa Tabora kulikuwa na shule 12 tu tena shule 4 kati ya hizo zilikuwa za kitaifa na kikanda yaani Tabora Boys na Tabora Girls Mirambo na Kazima. Madhara yake leo tunayaona. Kila shule ya Msingi.. kila shule ya secondary nchini imejaa wachaga na hizo ndio ajira za makapuku ajira za maana wanavutana tu
Hawez kukuelewa huyu machinga, hongera mtani kwa kumjibu kisomibwawa la mradi wa umeme wa nyumba ya mungu ujenzi wake ulimalizika mwaka 1969. na wakati mradi huo unajengwa cd msuya hakuwa waziri. pia nadhani umeme ulifika mwanga miaka ya 80, muda mrefu baada ya mradi wa nyumba ya mungu kumalizika.
azimio la arusha na operation vijiji ndiyo chanzo cha umasikini kwa wananchi wa mikoa ya kusini. zoezi la operation vijiji liliangusha zao la korosho na kusababisha uchumi wa wananchi wa kusini kuathirika. mnachotakiwa kujiuliza ni viongozi na wabunge wa mikoa ya kusini walikuwa wapi mpaka wananchi wa kusini wakaathiriwa na azimio na operation vijiji?
Hahahaha kumbe jibu unaloHakuna umaskini huko usijitekenye. Hii ni kwa sababu kuna high density ya population
Wachagga wengi sana ni maskini. Ni machinga wa kulala kwenye kiosk chake, wauza vitunguu na nyanya pale Himo, makondakta wachafu wa magari ya Sanya juu, Umbwe, Wengine hawaongei hata kiswahili.
Sio kila mtu hapa ni msukuma. Punguza hasira.Wkt huo huko kwenu nyie bado hamjengi vyoo eti kisa hauwezi kunya choo kimoja na dingi na maza ako.
Naam watu kama huko kwa n@nizakale attitude yao Ni kuozesha mabinti na kuchezea nyoka na kupanda fisi sasa umaskini ukiwepo wanaanza kusema watu wengine walipendelewaKwa case ya mkoa wa Kilimanjaro na mikoa mingine, labda tutofautishe vitu viwili hapa; Mkoa wa Kilimanjaro na Watu wenye asili ya Kilimanjaro (Wachagga, Wapare, -(MINUS)Wamaasai wa Siha na West Kili).
Mkoa kama mkoa hauna tofauti na mikoa mingine kama Iringa, Njombe na Mbeya.
Ila watu wa Kilimanjaro wana attitude au strong personality towards life and accumulation of Wealth.
Kama ni viongozi kutoka huko; Hata mikoa kama Dodoma ilitoa viongozi muhimu kama John Malecela lkn wamefanya nini kuiweka Dodoma katika nafasi nzuri kwa watu wake kufurahia national cake?
Mkoa wa Mwanza+Geita ilitoa viongozi kama vile ukoo wa Bomani, Kina William Shija and others;
Kwa ufupi hakuna sehemu ya nchi hii ambayo ilikuwa under represented toka uhuru. Tatizo kubwa ni attitude ya viongozi na watu wao na wala sio kukandamizwa wala kubaguliwa.
Kwanza hongera mangi kwa kupiga kitabu kwa level hiyoNi kweli mkuu. Niliitwa shirecu kwa interview ya accountant. Nilikuwa na ACCA ya london miaka hiyo ya 90. Jamaa akaangalia vyeti vyangu akaniita chemba akaniuliza maneno ya kisukuma ambayo yapo kichwani hadi leo Ng'wana nani wee sikuwa msukuma na sikuelewa kitu nikafeli na sikuitwa hata kwenye usaili tena. Nikakaa benchi hapo nje hadi saa kumi na mbili jioni. Marafiki zangu wa kisukuma wakaniambia baada kushindwa kutambulika wanatoka kwenye familia gani maarufu walikuwa disqualifed. Akapewa kazi form iv mmoja ambaye alikuwa account clerk wa halmashauri. Very painful.
Sio kila mtu hapa ni msukuma. Punguza hasira.
Kaskazn sii level Yako kule hawana mindset za kucheza baikoko Kama wwWAKATI KANDA YA KASKAZINI IKIIMARISHWA KWA SHULE NA MIUNDO MBINU MLIKAA KIMYA SASA HIVI TUNATAKA KUBALANCE MIDOMO JUU SEMENI MPAKA MCHOKE
Wapo mkuu..hata mganza kulikuwa na kifaru ...sema Sasa.. nashangaa akina bwashee kulalamika...mpaka huku kwetu bwina wapo mkuu...Hahaha kumbe wapo Hadi buzirayombo,mganza?