Popote kivipi? Inaonekana hujatembea Tanzania vizuri. Ninyi kuzeni Kilimanjaro au wilaya za Wachagga(natoa Mwanga na Same kwa wapare, hawana sifa sana), kwa watu wasiofahamu. Kwa sisi tuliofika kila wilaya huna la kutudanganya.Wewe kumbe una reasoning ndogo mno,majumba yaliyo vijijin Kilimanjaro huez fananisha n'a popote Kijiji tz ,ni Sawa na kuifananisha dar na New-York kwa kigezo kuwa dar pia kuna ghorofa nadhani umeelewa
Awali ni awali tu
Maendeleo kwa pande zote za nchi ni muhimu. Hivyo hakuna upendeleo ila sasa maendeleo yanafika sehemu zilizosahaulika.Una umri gani wewe? Upendeleo ulikuwepo miaka yote. Nahisi kuna watu upendeleo umewatega mgongo ndo maana wanalia lia! Walipopendelewa wakasema ni haki yao. tulieni nchi inyooke.
Waliomfadhili ni wengi sana akiwemo na msukuma John Rupia. Kwa historia ndugu yangu hunikamatiKumbe hujui lolote kuhusu história ya Uhuru pole sana hujui hata nyerere nauli za kwenda un alifadhiliwa na boss aikael mbowe enz hizo?
Huwajui kina nsilo swai? Una miaka umri gani kwanza?
Kuna matajiri wakubwa na wa Kati tofautisha hiyo kwanzaKuna mchagga ametajirika tukamfahamu kwa sababu ya kahawa? Kahawa ilikuwepo na bado ipo Kagera, Mbeya, Songwe(Mbozi) na Arusha. Utasema Arusha Wamasai na Waarusha hawakuwa na elimu ya kutumia kahawa kutajirika na pengine Wanyiha. Hiw about Wanyakyusa wa Mbeya, Wahaya wa Bukoba? Mengi amepata utajiri kwenye kahawa na kufanya biashara Kenya? Shirima wa precision ametajirikia Kahawa?
Mikoa ambayo sijafika Tanzania hii Ni mwili tuPopote kivipi? Inaonekana hujatembea Tanzania vizuri. Ninyi kuzeni Kilimanjaro au wilaya za Wachagga(natoa Mwanga na Same kwa wapare, hawana sifa sana), kwa watu wasiofahamu. Kwa sisi tuliofika kila wilaya huna la kutudanganya.
Matajiri wa kati wapo wenye asili ya kila mkoa. Wapo Wakinga wa Njombe, Waha wa Kigoma, Wajita na Wakurya wa Mara, Wahaya wa Bukoba, Wasukuma wa LZ, kwa hiyo sio wachagga tu wenye matajiri wa kati. Hata wanyiha wa Mbozi wana matajiri wa kati. Sio wivu lkn acheni sifa za kizamani.Kuna matajiri wakubwa na wa Kati tofautisha hiyo kwanza
Kuna mchagga ametajirika tukamfahamu kwa sababu ya kahawa? Kahawa ilikuwepo na bado ipo Kagera, Mbeya, Songwe(Mbozi) na Arusha. Utasema Arusha Wamasai na Waarusha hawakuwa na elimu ya kutumia kahawa kutajirika na pengine Wanyiha. Hiw about Wanyakyusa wa Mbeya, Wahaya wa Bukoba? Mengi amepata utajiri kwenye kahawa na kufanya biashara Kenya? Shirima wa precision ametajirikia Kahawa?
Unajikanyaga mwenyewe hata haieleweki hoja yako Ni ipiMatajiri wa kati wapo wenye asili ya kila mkoa. Wapo Wakinga wa Njombe, Waha wa Kigoma, Wajita na Wakurya wa Mara, Wahaya wa Bukoba, Wasukuma wa LZ, kwa hiyo sio wachagga tu wenye matajiri wa kati. Hata wanyiha wa Mbozi wana matajiri wa kati. Sio wivu lkn acheni sifa za kizamani.
Simple and clear,Kama Kuna atakaebisha hapa basi atakuwa yupo field kufanya "thesis" ya PhD ya ubishinadhani hukuchukua muda kuisoma kwa utulivu hoja yangu. mimi sikulenga kwenye matajiri wakubwa kama kina Anthony Diallo, Shirima, n.k, bali nimelenga kwa wananchi wa kawaida wa maeneo mbalimbali hapa nchini. na katika hoja yangu nimesema eneo ambalo halina zao la biashara lenye bei nzuri mara nyingi huwa halifaidiki kutokana na uwekezaji wa serikali ktk eneo hilo.
somo la hali ya kiuchumi ya maeneo mbalimbali hapa Tanzania nililipata wakati nasoma shule. nimebahatika kusoma ktk shule kongwe za serikali na nilikutana na wanafunzi toka maeneo mbalimbali. katika shule kongwe kulikuwa na utaratibu wa kuchukua wanafunzi toka mkoa mmoja kwa wingi kila mwaka. kulikuwa kuna mwaka wanakuja wanafunzi wengi toka mkoa kama Singida, mwaka mwingine watatoka Kilimanjaro, unaofuata Kigoma, n.k n.k.
sasa katika observation yangu niliweza kujua mkoa gani una changamoto za kiuchumi na umasikini kuliko mkoa mwingine kwa kuangalia hali za kiuchumi na mahitaji za wanafunzi waliokuwa wanaletwa kila mwaka shuleni kwetu. nakuhakikishia ukichukua random sample ya mtoto wa Kyela, Tandahimba, Manyoni, Maswa, Vunjo, n.k utaweza kujua eneo gani lina changamoto ya kiuchumi kuliko lingine. Na ukichunguza zaidi utajua kwamba changamoto hizo za kiuchumi zinatokana na uwepo au kutokuwepo kwa ZAO LA BIASHARA lenye bei nzuri, linalolipa, ktk eneo husika.
cc MzalendoHalisi, luambo makiadi
Ukosefu wa taasisi imara ni matokeo ya kukosekana katiba ya wananchi, ambayo leo ukiongea kuihitaji, ni sawa na uhaini. Ipo siku kizazi kijacho kita asi. Kwa sasa ni maandalizi ya uasi huo, na yana andaliwa na watawala kwa kuminya kidogo kidogo uhuru wa wananchi.Kamwe nashindwa kupita kimyakimya kwenye mada kama hii inayosononesha moyo.
Wakati huo huo, karibu kila mtu anaimba "Tano Tena", kama utani vile!
Sijui nchii imepatwa na janga gani.
Ni kama wote tumepigwa ganzi tusitambue ni nini hasa kinatokea.
Mimi sijui ni nani atakayekuja kututapisha sumu hii tuliyoonjeshwa sasa, ili taifa letu liendelee kuwa taifa lenye mshikamano kama aliouacha Mwalimu Nyerere.
Eeenh, sasa Mwalimu hata anasimangwa. Wale watoto nao wamekuwa kama mazuzu vile, wanatafuta ulaji, wanapoukosa wanaambiwa sababu ni kuwa baba yao hakufanya kitu nyumbani kwao!
Hii ni kansa inayotafuna nchi kwa sasa waliokua wasemaji wamezibwa kidomo, bunge linakoroma kabisa na ndo linataka kuongeza miaka ya kutawala.
Hofu yangu ni kua utawala huu jmeweka jiwe la msinhi la ukabila na ukanda.Raisi ajaye atafanya kila jitihada kupendelea kwake na hatojali vipaombele vya taifa. Ubaguzi wa wazi kabisa jnafanyika na hakuna kiongozi yeyote anayekemea.
Siku itakuja matenda yake tutayavuna
Ni kweli mkuu ila hivi karibuni umepita mto wami? ukaona utatuzi wa tatizo lililokula maisha ya watanzania wengi linavyoshughulikiwa?
Je hapo ni kanda ya ziwa?
Mh.Mkapa alipofanya bidii ya kuifungua mtwara toka kifungo cha kuwa kisiwa kwa sababu ya miundombinu ya barabara wengi tulimpongeza,hatukusema anajenga kwao bali tulifurahia ukombozi wa wenzetu wa mtwara.
Ikumbukwe kwamba kivuko hicho cha busisi waliowahi kufika hapo watakubaliana na mimi kuwa kinachofanyika sasa hivi
kilitakiwa kufanyika miaka mingi iliyopita na bahati nzuri watanzania tupo huru kwenda kuishi popote ili mradi huvunji sheria za nchi,Mtanzania akiona sehemu fulani imeboreshwa zaidi anaruhusiwa kwenda huko akaishi na kujipatia mahitaji yake.
Mikoa iliyosahaulika inapokumbukwa tuwe wavumilivu kama na wao walivyotuvumilia wakati kwetu kunaendelezwa.
Huoni nawe unatumbukia katika dhambi ile ile anayofanya aliyepo madarakani sasa?Watu wa kanda ya ziwa hawatokaa waaminike tena kupewa hii nchi sababu wameshaonesha dhana ya Ubaguzi na Ukanda ulopitiliza
Bado observation haijitoshelezi. Kanda ya ziwa ambayo ni subject katika mada hii ina pamba kama zao la biashara. Kusini wana korosho kama zao kuu la biashara lakini kanda hizo 2 zinatajwa kama kanda mbili maskini kabisa nchi hii.nadhani hukuchukua muda kuisoma kwa utulivu hoja yangu. mimi sikulenga kwenye matajiri wakubwa kama kina Anthony Diallo, Shirima, n.k, bali nimelenga kwa wananchi wa kawaida wa maeneo mbalimbali hapa nchini. na katika hoja yangu nimesema eneo ambalo halina zao la biashara lenye bei nzuri mara nyingi huwa halifaidiki kutokana na uwekezaji wa serikali ktk eneo hilo.
somo la hali ya kiuchumi ya maeneo mbalimbali hapa Tanzania nililipata wakati nasoma shule. nimebahatika kusoma ktk shule kongwe za serikali na nilikutana na wanafunzi toka maeneo mbalimbali. katika shule kongwe kulikuwa na utaratibu wa kuchukua wanafunzi toka mkoa mmoja kwa wingi kila mwaka. kulikuwa kuna mwaka wanakuja wanafunzi wengi toka mkoa kama Singida, mwaka mwingine watatoka Kilimanjaro, unaofuata Kigoma, n.k n.k.
sasa katika observation yangu niliweza kujua mkoa gani una changamoto za kiuchumi na umasikini kuliko mkoa mwingine kwa kuangalia hali za kiuchumi na mahitaji za wanafunzi waliokuwa wanaletwa kila mwaka shuleni kwetu. nakuhakikishia ukichukua random sample ya mtoto wa Kyela, Tandahimba, Manyoni, Maswa, Vunjo, n.k utaweza kujua eneo gani lina changamoto ya kiuchumi kuliko lingine. Na ukichunguza zaidi utajua kwamba changamoto hizo za kiuchumi zinatokana na uwepo au kutokuwepo kwa ZAO LA BIASHARA lenye bei nzuri, linalolipa, ktk eneo husika.
cc MzalendoHalisi, luambo makiadi
Hakuna ubaguzi wowote uliofanywa na serikali ya awamu ya 5. Wao wanalilia dominance.Huoni nawe unatumbukia katika dhambi ile ile anayofanya aliyepo madarakani sasa?
Kwa nini uhukumu watu wa eneo zima, badala ya huyo anayeonyesha mabaya? Una maana waTanzania wote toka kanda ile hawafai?
Kwani Mwalimu Nyerere naye alitokea kanda hiyo au sio?
Wakati ule uchagani mnapewa upendeleo wa wazi wazi lami hadi vichochoroni,msuya anajimegea umeme hadi migombani usangi huko,sisi wa mtwara wakati kuiona lami hadi uende Daslam,mliishia kutucheka na kutuona malofa,kutudharau na kutubagua kwa kutuita "watu wa kusini" sasa hivi kibwengo kawatia gunzi kunako mnapiga piga mayowe,pumbavu kweli tulieni,malipo ni hapa hapa duniani.
Sielewi una maana gani.Hakuna ubaguzi wowote uliofanywa na serikali ya awamu ya 5. Wao wanalilia dominance.
Bado observation haijitoshelezi. Kanda ya ziwa ambayo ni subject katika mada hii ina pamba kama zao la biashara. Kusini wana korosho kama zao kuu la biashara lakini kanda hizo 2 zinatajwa kama kanda mbili maskini kabisa nchi hii.
Mazao mengine yote yaathiriwe na ujamaa lakn kahawa haikuathirika? Kwanini?pamba iliathiriwa vibaya na kuvunjwa kwa vyama vya ushirika vya kanda ya ziwa. uzalishaji wa korosho uliangushwa na azimio la arusha na zoezi la operation vijiji la miaka ya 60 na 70. Na kwa mazao hayo mawili serikali isipokupa bei nzuri imekula kwa mkulima. adui wa kanda ya ziwa na kanda ya kusini ni serikali za chama cha mapinduzi. nashangaa hapa wananchi wamelewa propaganda kwamba adui wa watu wa kusini au kanda ya ziwa ni wachagga au watu wote wa "kaskazini."
katika post yangu nyingine nilizungumzia suala la biashara na mpaka wa Tanzania na Kenya jinsi unavyowafaidisha wananchi wa kilimanjaro. mkulima wa kahawa asipopata bei nzuri Tanzania anaweza kutorosha kahawa yake akauza Kenya. Vivyo hivyo kwa mkulima wa Kahawa wa Bukoba anavyoweza kutorosha kahawa yake akapeleka Uganda. Sasa ukija kwa ndugu zetu wa kanda ya ziwa hawana advantage hiyo.
Kanda ya kusini ina mpaka ambao sio mzuri kibiashara. Kwa muda mrefu mpaka wa Tanzania na Msumbiji kulikuwa na vita vya ukombozi, na sasa kuna changamoto ya ugaidi. Sasa ukija kwenye mpaka wa Tanzania na Kenya kumekuwa na stability ya muda mrefu, na Kenya ndio jirani wa Tanzania mwenye uchumi mzuri kuliko majirani wote. Hata wewe ukiambiwa ukafanye biashara mpakani, utachagua mpaka wa Tanzania na nchi gani?
sijui ndugu yangu una umri gani, lakini nakushauri utafute habari za operation vijiji na jinsi ilivyoathiri uchumi wa wananchi wa kusini. zipo habari za mpaka wananchi kushambuliwa na wanyama wakali kama simba na chui ktk vijiji vipya walivyokuwa wanahamishiwa. azimio la arusha na operation vijiji lilisababisha kuanguka kwa kilimo cha mazao ya korosho na mkonge.