Kuongezeka kwa ubaguzi wa kiuchumi, kieneo na ukabila nchini Tanzania

Kuongezeka kwa ubaguzi wa kiuchumi, kieneo na ukabila nchini Tanzania

Ni kweli watu wa kaskazini wameanza kupata elimu toka enzi za mkoloni kupitia makanisa. Wamiossionary waliyakimbia maeneo ya uswahili na yaliyokuwa na waislamu wengi. Tunachokiona leo ni multipliers' effect tu.
Toka enzi za mkoloni yalitengwa maeneo ya uzalishaji na yale ya kutoa vibarua. Yapo maeneo walizuiwa kulima mazao ya biashara kabisaa. Ukiacha PLANTATIONS mashamba ya mazao ya biashara ndiyo yaliyokuza uchumi wa wananchi enzi za mkoloni.
Kwa hiyo tukizungumzia ubaguzi upo na ulianzishwa makusudi na wakoloni kisera kabisa. Serikali zetu baada ya uhuru zilipawsa kuchukua hatua za makusudi kuondoa ubaguzi wa kila aina
kilimanjaro siyo eneo pekee ambalo wamisionari walifika na kuwekeza. kwa hiyo huwezi kusema kwamba kilimanjaro peke yao ndio waliopewa elimu na mkoloni. na popote pale ambapo wamisionari walifika wananchi wa eneo husika walichangia nguvu kazi ktk miradi kama ya elimu, afya, na maji. siyo kweli kwamba wamisionari walikuwa wanafika mahali na kumwaga mapesa na kufungua miradi ya kijamii. wananchi wa maeneo husika walijitolea kujenga makanisa, mashule, etc

QUOTA SYSTEM baada ya uhuru. tulipopata uhuru serikali ilibaini kwamba hakuna uwiano mzuri wa wanafunzi wanaojiunga na shule za sekondari. kulikuwa na mikoa ambayo ufaulu wa wanafunzi ulikuwa uko chini, na kulikuwa na mikoa ambayo ufaulu wa wanafunzi ulikuwa juu. hali hiyo ilitokana na sababu za KIHISTORIA siyo kwamba wanafunzi ktk mikoa husika walikuwa hawana uwezo.

kwa kutambua uwepo wa tatizo hilo serikali ikaanzisha mfumo wa QUOTA SYSTEM ili kuweka usawa ktk nafasi za ufaulu kujiunga na masomo ya sekondari. kwa hiyo maeneo ambayo yalikuwa yanafaulisha sana yaliwekewa pass mark kubwa ya mwanafunzi kufikia ili aende sekondari. maeneo ambayo wanafunzi walikuwa wana-struggle waliwekewa pass mark ya chini kidogo ili watoto wapate nafasi.

Mtindo wa quota system uliwezesha watoto wengi toka maeneo ya "pembezoni" kupata nafasi kujiunga na sekondari. lakini quota system pia ilileta changamoto kwa mkoa kama Kilimanjaro na kusababisha wazazi kuanza kuhamisha watoto wao kwenda mikoa mingine kwa ajili ya mitihani ya darasa la saba. Pia quota system ilileta muamko wa kujenga shule za private za sekondari ktk mkoa wa kilimanjaro kwani wazazi waliona watoto wao wanakosa nafasi kwenda shule za sekondari za serikali.

tunapolaumu serikali inabidi tuwe na kiasi. pia tunaposhutumu wenyeji wa kilimanjaro basi walau tuwe na ushahidi wa shutuma tunazotoa.
 
Kilimanjaro hakuna maisha bora. Ninakataa kabisa. Ubora utoke wapi ? Mtu amiliki robo eka ya mchaichai halafu aseme ana maisha bora ! Labda bora maisha! Wakati sukuma land mtu anamiliki mpaka eka kumi za mpunga au dengu. Hauko serious.

Wakishazimiliki hizo heka wanazifanyia nini?
 
Mpo tayar kushirikiana na wagen kuwanyanyasa na kuwa dhulum wa Tanzania wenzetu ofisn kwetu tulikuwa na kiongoz kutoka uko sasaiv hayupo kaja mwingine kutoka ukanda mwingine Sasa tuna pata haki zetu ana tusikiliza
Sawa
 
Wewe unapajua kwetu ? Au unajisemea tu. Mimi ninazungumzia Kilimanjaro nimefika mara nyingi mpaka vijiji vya ndani kabisa. Wewe unajisemea hata hujafika hiyo Sukumaland.
Nimefika sukamaland Tena Mara nyingi ,ktk Tanzania mikoa ambayo sujafika Ni Lindi na mtwara tu
Kuna umaskini mkali Yani makaz tu yanatia huruma vijijin,watu wamechakaa sababu huduma Hakuna,watu wanabeba maji kwa punda kama enzi za mtume aisée kaa kimya tu nitaeleza mengi
 
Nimegundua kumbe ninajadili hoja hii na mtu ambaye elimu yake iko chini sana. Pole sana.
Wewe ndio huna elimu maana unadai eti utajiri ni kumiliki ardhi kubwa,mbona Tanzania ina ardhi kubwa lkn ka nchi kama Sweden kanatoa msaada? Umeishia MEMKWA Nini?
 
Wewe ndio umesema kweli. Wao wanataka tuamini eti wachagga wote wana hela, wakati siyo kweli.
Uko nje ya mada
Nimesema mkoa wa Kilimanjaro Ni wa pili watu wake kuishi maisha Bora kwa 90% kwa mujibu wa nbs,Pia mikoa maskini ktk kumi zaidi ya mitano Ni ya lake zone
Sasa hapo sijaeleweka wapi? Au lugha haieleweki?
 
Wachagga wengi sana ni maskini. Ni machinga wa kulala kwenye kiosk chake, wauza vitunguu na nyanya pale Himo, makondakta wachafu wa magari ya Sanya juu, Umbwe, Wengine hawaongei hata kiswahili.
Yani mtu Ana kiosk kabisa anauza unasema Ni maskini? Utakuwa una matatizo ya akili au chuki binafsi,maskini Ni yule ambaye hata uhakika wa kupata buku Hana
Kondakta wa daladala awe maskini? Kweli chuki zako zimezidi unachekesha umati
 
Wewe hujui kitu mbona wahaya nyumba nzuri vijijini na hatusikii majigambo ya kijinga kama ya wachagga ? Ubaguzi unawatesa mpaka mnaudhi
Uko nje ya mada
Nimesema mkoa wa Kilimanjaro Ni wa pili watu wake kuishi maisha Bora kwa 90% kwa mujibu wa nbs,Pia mikoa maskini ktk kumi zaidi ya mitano Ni ya lake zone
Sasa hapo sijaeleweka wapi? Au lugha haieleweki?
 
Hakuna himaya iliyowahi kudumu milele. Zilikuwepo Roman Empire, Ottoman Empire, Austria-Hungary empire, British colonial Empire, French colonial Empire, German Empire, Soviet na sasa USA. Za zamani zote zlianguka. USA inaelekea mwishoni ili mfalme wa Mashariki ya mbali achukue yaani CHINA.
Kwa hiyo kama kuna watu wanahisi wanapitwa, basi watulie tu na kukubali hali. Hamna namna.
Kikwete mlisema anapendelea waislamu, Huyu anapendelea Wasukuma, Mkapa tu ndio alikuwa mtamu kwa sababu alikuwa shemeji na mlishamiri kweli.
Chuki inakusumbua pole Sana,kasaidie ndugu zako kule kwenu maswa waishi makaz bora
 
Hakuna kitu maisha yako wapi hapo kilimanjaro eti Dar ndio namba moja. Hizo takwimu kichaa hizo. Watu Dar wanashindia chai na mhogo leo uniambie wana maisha mazuri. Upuuzi mtupu.
Unajua maana ya takwimu na research? Wewe ukiona watu wawili wanakula mihogo unachukulia Ni wote? Umesoma Hadi level gan?
 
Nani maskini wewe? Maskini ni nyie msiokuwa na ardhi ya kutosha.
Aliekwambia ardhi ina uhusiano n'a utajiri/umaskini ni Nani?
Sweden, Finland, Belgium Ni matajiri je wana ardhi kubwa kuzidi Tanzania? Hahahaha low thinking capacity
 
Kilimanjaro hakuna maisha bora. Ninakataa kabisa. Ubora utoke wapi ? Mtu amiliki robo eka ya mchaichai halafu aseme ana maisha bora ! Labda bora maisha! Wakati sukuma land mtu anamiliki mpaka eka kumi za mpunga au dengu. Hauko serious.
Kama unamiliki ekari kumi za mpunga Nini kinakufanya ushindwe kujenga nyumba ya bati? Badala yake unalala kwenye tembe?[emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom