Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Hali sio shwari wadau kuna jambo limeibuka vijana wengi wameji ingiza kwenye hii shughuli ya kuokota makopo na kwenda kupima ili kupata mkate wa kila siku.
Miaka ya nyuma tulizoea kuona vichaa na wavuta madawa "mateja" ndio ilikuwa kazi yao hii. Leo hii nimeshangaa kuona hadi wasomi wameingia kwenye kuokota makopo wakapime kwa Hali tulipofikia Hali ni mbaya ni vizuri serikali ikaangalia jinsi kuleta mabadiliko kwenye sector ya kilimo pengine itasaidia kuondokana na wimbi la huu umaskini