skilled masala
Senior Member
- May 2, 2019
- 118
- 160
Kama kweli ni wasomi kikubwa waifanye kisomi na kuipa thamani zaidi.. vinginevyo wataishia kuwa kama waokota makopo wengine tunaowaona kila siku.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisaAny hustle is a real hustle hivo wapambanaji usije kukatishwa tamaa kua kazi unayofanya hailipi, wewe pambania kombe hadi dakika ya mwisho huku ukiongeza ubunifu ndio maana ya mapambano
Ajabu ni kuwa watu wanaotoa tahadhari za maana kama wewe wanaitwa siyo wazalendo na wanaosifia ujinga huitwa wazalendo. Mkuu umetoa angalizo muhimu kweli kweli. Na hali bado ndiyo mbichi kabisa. Ukija kwenye braketi ya umri wa miaka 7 mpaka 16, kuna raia wengi kama nyuki. Ina maana miaka kumi ijayo kusipokuwa na maandalizi yoyote hali nchi inaweza isitawalike. Tanzania tuna ardhi na maji, na tuna uwezo kabisa wa kuilisha dunia kama tungekuwa na viongozi makini.Hali sio shwari wadau kuna jambo limeibuka vijana wengi wameji ingiza kwenye hii shughuli ya kuokota makopo na kwenda kupima ili kupata mkate wa kila siku.
Miaka ya nyuma tulizoea kuona vichaa na wavuta madawa "mateja" ndio ilikuwa kazi yao hii. Leo hii nimeshangaa kuona hadi wasomi wameingia kwenye kuokota makopo wakapime kwa Hali tulipofikia Hali ni mbaya ni vizuri serikali ikaangalia jinsi kuleta mabadiliko kwenye sector ya kilimo pengine itasaidia kuondokana na wimbi la huu umaskini
Sukuma gang on the moveHali sio shwari wadau kuna jambo limeibuka vijana wengi wameji ingiza kwenye hii shughuli ya kuokota makopo na kwenda kupima ili kupata mkate wa kila siku.
Miaka ya nyuma tulizoea kuona vichaa na wavuta madawa "mateja" ndio ilikuwa kazi yao hii. Leo hii nimeshangaa kuona hadi wasomi wameingia kwenye kuokota makopo wakapime kwa Hali tulipofikia Hali ni mbaya ni vizuri serikali ikaangalia jinsi kuleta mabadiliko kwenye sector ya kilimo pengine itasaidia kuondokana na wimbi la huu umaskini
Vibaya kuiba mkuu, wacha wajitafutie ridhiki na kutimiza malengo ya ilani ya ccmHali sio shwari wadau kuna jambo limeibuka vijana wengi wameji ingiza kwenye hii shughuli ya kuokota makopo na kwenda kupima ili kupata mkate wa kila siku.
Miaka ya nyuma tulizoea kuona vichaa na wavuta madawa "mateja" ndio ilikuwa kazi yao hii. Leo hii nimeshangaa kuona hadi wasomi wameingia kwenye kuokota makopo wakapime kwa Hali tulipofikia Hali ni mbaya ni vizuri serikali ikaangalia jinsi kuleta mabadiliko kwenye sector ya kilimo pengine itasaidia kuondokana na wimbi la huu umaskini
Pole kwa kuwa na mtazamo wa kizamani. Siku hizi kazi ni kazi mradi ujipatie kipato cha kuedesha maisha yako. Kazi ya kuokota makopo inahitaji mtu mwenye msimamo na moyo mkubwa sana. Watu wengi wanaona aibu- lakini kama wewe ni msomi na umeweze kuokota makopo- hakuna kazi yoyote inayoweza kukushinda hapa duniani. Kwenye vyombo vya habari nimesikia SUMA JKT wameagiza magari ya kukusanya taka taka barabarani- hii inaonyesha biashara ya taka inalipa na kutengeneza ajira. Kwa vijana.Hali sio shwari wadau kuna jambo limeibuka vijana wengi wameji ingiza kwenye hii shughuli ya kuokota makopo na kwenda kupima ili kupata mkate wa kila siku.
Miaka ya nyuma tulizoea kuona vichaa na wavuta madawa "mateja" ndio ilikuwa kazi yao hii. Leo hii nimeshangaa kuona hadi wasomi wameingia kwenye kuokota makopo wakapime kwa Hali tulipofikia Hali ni mbaya ni vizuri serikali ikaangalia jinsi kuleta mabadiliko kwenye sector ya kilimo pengine itasaidia kuondokana na wimbi la huu umaskini
Nadhani issue ni watoto, sio kulipa.Wache waseme tu hawajui kuwa recycling inalipa sana. Wanasubiri elfu ishirini nyongeza ya serikali halafu wanakuja kupiga kelele.
Tena telegram pana madalali kabisa unachagua sample,sema tu wengine tushastaafu mazoezi ya mtu na mtu.Vijana wakiumee wameamua kuokota makopo maana njaa kalii kaka.
Vijana wakikee wameamu kujiuzaa mitandaonii maana njaaa kalii...
Nani mkombozi???
Kama ilikuwa inalipa unajipanga tena?Hii biashara Ina utajiri hatari Mimi nilifanya ya kusaga plastic, mashine ikanizingua najipanga kuagiza mashine za kisasa toka china za kusaga plastic.
Unajua inahitajika chupa ngapi za maji ifikishe kilo 1? Je kilo 10?
Bei yake unajua?
Hii biashara ni ngumu sana na hailipi kama ulivyosema, ni vile tu ajira hakuna na mtaji hakuna.
Vijana wametelekezwa wizara ya vijana haina ubunifu wowote.Ajabu ni kuwa watu wanaotoa tahadhari za maana kama wewe wanaitwa siyo wazalendo na wanaosifia ujinga huitwa wazalendo. Mkuu umetoa angalizo muhimu kweli kweli. Na hali bado ndiyo mbichi kabisa. Ukija kwenye braketi ya umri wa miaka 7 mpaka 16, kuna raia wengi kama nyuki. Ina maana miaka kumi ijayo kusipokuwa na maandalizi yoyote hali nchi inaweza isitawalike. Tanzania tuna ardhi na maji, na tuna uwezo kabisa wa kuilisha dunia kama tungekuwa na viongozi makini.
Hata hizo mizani wanazotumia kupimia hayo makopo zimekaa kiwizi sana.Recycling inalipa ukiwa na kiwanda sio kuokota makopo. Kilo moja mtu atakupa 4OO! Gunia kubwa ubebalo likely lina kilo 3 sasa ujaze gunia kiasi gani ili ufikie 1OK ambayo kujikimu haitoshi kwa siku nzima.
Yes kuja kisasa zaidi pana hitaji mtaji wa kutosha zaidiKama ilikiwa inalipa unajipanga tena?