Kuongezeka kwa vijana waokota makopo

Kuongezeka kwa vijana waokota makopo

Me nkajua haya makopoo yanakuwa processed tena hapa hapa bongoo kumbe hadi yasafirishwe kwenda china????
 
Vijana wakiumee wameamua kuokota makopo maana njaa kalii kaka.
Vijana wakikee wameamu kujiuzaa mitandaonii maana njaaa kalii...

Nani mkombozi???

Taifa linaangamia 😂😂😂
 
Me nkajua haya makopoo yanakuwa processed tena hapa hapa bongoo kumbe hadi yasafirishwe kwenda china????

Kuna yanayokua processed hapahapa kuzalishwa chupa za maji tena, nyingine huzalisha hadi maturubai bidhaa ni nyingi mno na uchina na ulaya nao wanataka malighafi hizo hizo
 
Back
Top Bottom