Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Kilo bei gani?Mimi na mzee wangu kwenye shughuli ya usafi huwa tunayakusanya makopo mengi tunayajaza kwenye stoo then tunapima baada ya wiki unapata kahela ka kusevu kwa siku hiyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kilo bei gani?Mimi na mzee wangu kwenye shughuli ya usafi huwa tunayakusanya makopo mengi tunayajaza kwenye stoo then tunapima baada ya wiki unapata kahela ka kusevu kwa siku hiyo.
Unaonaje tukafanya hii kazi? Yani kila siku asubuhi tunatembelea sehemu zote wanazomwaga uchafu na kwenye madampo😋Hiyo biashara inalipa sana japo watu wanaichukulia poa
Mkuu umechelewa mimi nina mwaka na miezi kwenye hii biashara😊Unaonaje tukafanya hii kazi? Yani kila siku asubuhi tunatembelea sehemu zote wanazomwaga uchafu na kwenye madampo😋
1 tonne ya makopo ni laki 4, sasa achague aokote makopo au awacheke waokota makopo. Siku ambayo atajifunza "solid waste management" ataacha kuwacheka hawa waokota makopo. Utupaji ovyo taka wa wengi umekuwa fursa kwa waokota makopo kupiga fedha maana wao wanakwenda kuuza na wengine wananunua huku wakiingia kitaa kukusanya.Hiyo biashara inalipa sana japo watu wanaichukulia poa
Mkuu na graduates wamejiingiza kwenye hii industryLeo hii nimeshangaa kuona hadi wasomi wameingia kwenye kuokota makopo wakapime kwa
Hii ni kazi kama ilivyo kazi nyingine na tena ukipata ka-mashine ka kushindilia mzigo utapiga hela nyingi maana utakuwa una uwezo wa kusafirisha mzigo mkubwa. Ofisi ya kwanza unaiweka dampo, kwenye miji hii mikubwa kuna madampo ya kisasa na yana uzio kabisa, pale unakuwa na vijana wako wa kazi mnapiga kazi kwa umoja alafu ofisi yako ya pili unanunua majaba makubwa unaweka kwenye kumbi za harusi au mikutano (ila unaongea nao kama sehemu ya kuku-support maana mswahili hakawii kukupiga hela wakati hapo na wewe unamsaidia kuondoa uchafu. Na ofisi ya tatu ni kuzama mtaani kwa kushirikia na vijana wengine ambao kimsingi unawapoza.Nch hii kuna watu waajabu mada nzuri kama hii mnaleta mzaha
Niliwahi kuona mtu anaokota nikamuuluza gunia moja ukiuza unapata sh ngapi akaniambia 2000 nikashangaa sanaRecycling inalipa ukiwa na kiwanda sio kuokota makopo. Kilo moja mtu atakupa 4OO! Gunia kubwa ubebalo likely lina kilo 3 sasa ujaze gunia kiasi gani ili ufikie 1OK ambayo kujikimu haitoshi kwa siku nzima.
Jamaa hawaelewi hili, wao ni kulalamika tu wabongo ni wavivu, binafsi sijawahi kuwaza ajira napambana kivyangu kunusuru familia yangu kwenye umaskini.Hii ni kazi kama ilivyo kazi nyingine na tena ukipata ka-mashine ka kushindilia mzigo utapiga hela nyingi maana utakuwa una uwezo wa kusafirisha mzigo mkubwa. Ofisi ya kwanza unaiweka dampo, kwenye miji hii mikubwa kuna madampo ya kisasa na yana uzio kabisa, pale unakuwa na vijana wako wa kazi mnapiga kazi kwa umoja alafu ofisi yako ya pili unanunua majaba makubwa unaweka kwenye kumbi za harusi au mikutano (ila unaongea nao kama sehemu ya kuku-support maana mswahili hakawii kukupiga hela wakati hapo na wewe unamsaidia kuondoa uchafu. Na ofisi ya tatu ni kuzama mtaani kwa kushirikia na vijana wengine ambao kimsingi unawapoza.
Kwa siku za mbele huku ukiendelea na mchakato ni kufungua kampuni / kikundi kinachojikita na usafi ambapo kupitia hicho kikundi kitarahisha pia upatikanaji wa malighafi kwa unafuu na tena unawajengea wateja wako utaratibu wa kutenganisha taka
Si kuna mturuki ananunua plastic Ana machine Ana saga alafu Ana export ulaya hukoRecycling inalipa ukiwa na kiwanda sio kuokota makopo. Kilo moja mtu atakupa 4OO! Gunia kubwa ubebalo likely lina kilo 3 sasa ujaze gunia kiasi gani ili ufikie 1OK ambayo kujikimu haitoshi kwa siku nzima.
...Sio makopo! Ni chupa za Maji na juisi za plastiki ... Na wanasadia Sana katika kuiweka miji yetu safi...la sivyo chupa za plastiki zingekuwa zimezagaa ovyo! Waponezwe!Hali sio shwari wadau kuna jambo limeibuka vijana wengi wameji ingiza kwenye hii shughuli ya kuokota makopo na kwenda kupima ili kupata mkate wa kila siku.
Miaka ya nyuma tulizoea kuona vichaa na wavuta madawa "mateja" ndio ilikuwa kazi yao hii. Leo hii nimeshangaa kuona hadi wasomi wameingia kwenye kuokota makopo wakapime kwa Hali tulipofikia Hali ni mbaya ni vizuri serikali ikaangalia jinsi kuleta mabadiliko kwenye sector ya kilimo pengine itasaidia kuondokana na wimbi la huu umaskini
Si kuna mturuki ananunua plastic Ana machine Ana saga alafu Ana export ulaya huko
Waokota makopo lazima wawepo
Ova
...Na Mfanyakazi wakati anaingoja Alfu Ishirini Kwa Mwezi, yeye anaweza kuipata Kila siku!....Kazi sio makopo tu wake wanapeleka makopo, magunia au masalfeti machakavu, chupa za konyagi, kvant, wine, chuma chakavu chote, madumu na ndoo zilizochoka kwahiyo kutwa nzima japo anachoka kupiga elfu ishirini waliyoongezewa wafanyakazi ni kitu cha kawaida kabisa