Hali ni mbaya Sana kitaaWewe unaona umasikini unaongezeka mimi naona fursa kubwa hapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hali ni mbaya Sana kitaaWewe unaona umasikini unaongezeka mimi naona fursa kubwa hapo.
Kuna mwamba anapita kitaa chetu kuokota makopo.1 tonne ya makopo ni laki 4, sasa achague aokote makopo au awacheke waokota makopo. Siku ambayo atajifunza "solid waste management" ataacha kuwacheka hawa waokota makopo. Utupaji ovyo taka wa wengi umekuwa fursa kwa waokota makopo kupiga fedha maana wao wanakwenda kuuza na wengine wananunua huku wakiingia kitaa kukusanya.
Tena mie huwa nina wa-support kwa kutunza taka ngumu zote wakipita tu nawapa limfuko au nawapelekea wananilinda hata kama ni buku 2
Dah bonge la biashara ....Kilo moja ya makopo ya maji aina hii ya plastic uitwa PET waokota makopo uuza vijiweni sh 400 hadi 500 kwa kilo vijiweni uuza viwandani kwa sh 700.
.Plastic ya aina ya plastic ngumu uitwa HDPE mfano ndoo,mabeseni,viti,nk waokotaji uuza vijiweni sh 700 had 800 kwa kilo, vijiweni uuza 900 hadi 1000 kwa kilo viwandani, baada ya kusaga chenga za plastic chupa za maji uuzwa sh 900 hadi 1050 kwa kilo na plastic ngumu uuzwa kwa Wachina kuanzia 1300 hadi 1500.
Huyu mleta uzi huu hajui hustlingSababu ya ukosefu wa ubunifu nchini, Hakuna uwiano wa raslimali tele zilizopo na wasaka ajira. Raslimali na fursa ni nyingi Sana kuliko idadi ya watu. Fursa zinaonwa na wageni tu. Hata recycling industry inaweza ikaajiri wengi tu.
Pana Mchina anataka tani 300 kwa mwezi ya takataka za plastic zilizosagwa.Mwenye kumudu hii oder nimpe tenda.
Huyu mleta uzi huu hajui hustling
Inaelekea yeye anaishi kwa kutegemea mshahara, karidhika
Hapo alipo
Ova
Kg 1=400Unajua inahitajika chupa ngapi za maji ifikishe kilo 1? Je kilo 10?
Bei yake unajua?
Hii biashara ni ngumu sana na hailipi kama ulivyosema, ni vile tu ajira hakuna na mtaji hakuna.
Huyo mturuki huenda akawa anatoa hela ya maana sio hawa wanaonunua gunia sh.4OO kwa teja.Si kuna mturuki ananunua plastic Ana machine Ana saga alafu Ana export ulaya huko
Waokota makopo lazima wawepo
Ova
Kilo 4O za makopo msifanye masihara yani. Unless uniambie unachanganya na material mengine. Halafu ukimaliza unatoka na 16,OOO tu!? Aisee kwa ile hustle acha tu niendelee kupambana na udalali.Kg 1=400
Kwa siku mtu wa kawaida mwenye kupambana anatoka na kg 30-40 Kwa maana neti Moja,
Kwa mtu aliyepo dampo kabsa anaweza kimbiza mpaka kg -50-60
40times 400= 16000
NB: hio Kasi unayoiona ni vile bei imefumka IPO juu tofauti na kipimdi Cha nyuma kg Moja ikiwa mia hamsini.
Kusaga plastic kisha ulikuwa unafanyaje baada ya kuisaga? UnaiuzajeHii biashara Ina utajiri hatari Mimi nilifanya ya kusaga plastic, mashine ikanizingua najipanga kuagiza mashine za kisasa toka china za kusaga plastic.
Wanatugonga hela humoHata hizo mizani wanazotumia kupimia hayo makopo zimekaa kiwizi sana.
Ukiona kilo 4 ujue kilo halisi ni kama 6 hivi.
Hii taarifa nzuri sana na imejitosheleza.Kilo moja ya makopo ya maji aina hii ya plastic uitwa PET waokota makopo uuza vijiweni sh 400 hadi 500 kwa kilo vijiweni uuza viwandani kwa sh 700.
.Plastic ya aina ya plastic ngumu uitwa HDPE mfano ndoo,mabeseni,viti,nk waokotaji uuza vijiweni sh 700 had 800 kwa kilo, vijiweni uuza 900 hadi 1000 kwa kilo viwandani, baada ya kusaga chenga za plastic chupa za maji uuzwa sh 900 hadi 1050 kwa kilo na plastic ngumu uuzwa kwa Wachina kuanzia 1300 hadi 1500.
Unaziuza kwa wachinaKusaga plastic kisha ulikuwa unafanyaje baada ya kuisaga? Unaiuzaje
Mashine ilikuwa ina compress bizo bale za plasticUnaziuza kwa wachina
Hapana ya bale ipo.bale ni kwa ajili ya kutranspot kwa wingi mfano unatoa mikoani kuleta darMashine ilikuwa ina compress bizo bale za plastic
kabisa ama?
Ahaa we mchina unamuuzia bei ganiHapana ya bale ipo.bale ni kwa ajili ya kutranspot kwa wingi mfano unatoa mikoani kuleta dar
Kumbe ni chain ndefu ya biasharaa...!! Sema kuokota mpaka yafike kilo sio mchezoo...Kilo moja ya makopo ya maji aina hii ya plastic uitwa PET waokota makopo uuza vijiweni sh 400 hadi 500 kwa kilo vijiweni uuza viwandani kwa sh 700.