Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Vijana wakiumee wameamua kuokota makopo maana njaa kalii kaka.Hali sio shwari wadau kuna jambo limeibuka vijana wengi wameji ingiza kwenye hii shughuli ya kuokota makopo na kwenda kupima ili kupata mkate wa kila siku.
Miaka ya nyuma tulizoea kuona bidhaa na wavuta madawa "mateja" ndio ilikuwa kazi yao hii. Leo hii nimeshangaa kuona hadi wasomi wameingia kwenye kuokota makopo wakapime kwa Hali tulipofikia Hali ni mbaya ni vizuri serikali ikaangalia jinsi kuleta mabadiliko kwenye sector ya kilimo pengine itasaidia kuondokana na wimbi la huu umaskini
Haya sio majungu mkuu kuongezeka kwa kundi hili la vijana waokota makopo ni ishara ya ufukara wa wananchi tujadiliane nini kifanyikeMkuu acha majungu riziki popote mradi iwe halali
yaani ndugu yangu we acha tu hata huku kwetu wapo mimi huwa nashangaaga tu hali ni ngumu huku mtaani.Hali sio shwari wadau kuna jambo limeibuka vijana wengi wameji ingiza kwenye hii shughuli ya kuokota makopo na kwenda kupima ili kupata mkate wa kila siku.
Miaka ya nyuma tulizoea kuona vichaa na wavuta madawa "mateja" ndio ilikuwa kazi yao hii. Leo hii nimeshangaa kuona hadi wasomi wameingia kwenye kuokota makopo wakapime kwa Hali tulipofikia Hali ni mbaya ni vizuri serikali ikaangalia jinsi kuleta mabadiliko kwenye sector ya kilimo pengine itasaidia kuondokana na wimbi la huu umaskini
Probability ni kiasi gani cha pesa kwa siku?Hiyo biashara inalipa sana japo watu wanaichukulia poa
Unajua inahitajika chupa ngapi za maji ifikishe kilo 1? Je kilo 10?Hiyo biashara inalipa sana japo watu wanaichukulia poa
Wache waseme tu hawajui kuwa recycling inalipa sana. Wanasubiri elfu ishirini nyongeza ya serikali halafu wanakuja kupiga kelele.Hiyo biashara inalipa sana japo watu wanaichukulia poa
Mimi na mzee wangu kwenye shughuli ya usafi huwa tunayakusanya makopo mengi tunayajaza kwenye stoo then tunapima baada ya wiki unapata kahela ka kusevu kwa siku hiyo.Unajua inahitajika chupa ngapi za maji ifikishe kilo 1? Je kilo 10?
Bei yake unajua?
Hii biashara ni ngumu sana na hailipi kama ulivyosema, ni vile tu ajira hakuna na mtaji hakuna.
Nani akulete mabadiliko kwenye sector ya kilimoHali sio shwari wadau kuna jambo limeibuka vijana wengi wameji ingiza kwenye hii shughuli ya kuokota makopo na kwenda kupima ili kupata mkate wa kila siku.
Miaka ya nyuma tulizoea kuona vichaa na wavuta madawa "mateja" ndio ilikuwa kazi yao hii. Leo hii nimeshangaa kuona hadi wasomi wameingia kwenye kuokota makopo wakapime kwa Hali tulipofikia Hali ni mbaya ni vizuri serikali ikaangalia jinsi kuleta mabadiliko kwenye sector ya kilimo pengine itasaidia kuondokana na wimbi la huu umaskini
Sahv tu wao huko wanatoka mapovu kuhusu nyongeza ya mshaharaWache waseme tu hawajui kuwa recycling inalipa sana. Wanasubiri elfu ishirini nyongeza ya serikali halafu wanakuja kupiga kelele.
Recycling inalipa ukiwa na kiwanda sio kuokota makopo. Kilo moja mtu atakupa 4OO! Gunia kubwa ubebalo likely lina kilo 3 sasa ujaze gunia kiasi gani ili ufikie 1OK ambayo kujikimu haitoshi kwa siku nzima.Wache waseme tu hawajui kuwa recycling inalipa sana. Wanasubiri elfu ishirini nyongeza ya serikali halafu wanakuja kupiga kelele.