rikiboy JF-Expert Member Joined Feb 19, 2017 Posts 21,952 Reaction score 43,265 Jul 24, 2022 #81 Me nkajua haya makopoo yanakuwa processed tena hapa hapa bongoo kumbe hadi yasafirishwe kwenda china????
Me nkajua haya makopoo yanakuwa processed tena hapa hapa bongoo kumbe hadi yasafirishwe kwenda china????
Fund man JF-Expert Member Joined Feb 24, 2021 Posts 3,629 Reaction score 4,831 Jul 24, 2022 #82 Edon 666 said: Vijana wakiumee wameamua kuokota makopo maana njaa kalii kaka. Vijana wakikee wameamu kujiuzaa mitandaonii maana njaaa kalii... Nani mkombozi??? Click to expand... Taifa linaangamia πππ
Edon 666 said: Vijana wakiumee wameamua kuokota makopo maana njaa kalii kaka. Vijana wakikee wameamu kujiuzaa mitandaonii maana njaaa kalii... Nani mkombozi??? Click to expand... Taifa linaangamia πππ
C chotera JF-Expert Member Joined May 19, 2016 Posts 6,560 Reaction score 15,864 Jul 24, 2022 #83 rikiboy said: Me nkajua haya makopoo yanakuwa processed tena hapa hapa bongoo kumbe hadi yasafirishwe kwenda china???? Click to expand... Kuna yanayokua processed hapahapa kuzalishwa chupa za maji tena, nyingine huzalisha hadi maturubai bidhaa ni nyingi mno na uchina na ulaya nao wanataka malighafi hizo hizo
rikiboy said: Me nkajua haya makopoo yanakuwa processed tena hapa hapa bongoo kumbe hadi yasafirishwe kwenda china???? Click to expand... Kuna yanayokua processed hapahapa kuzalishwa chupa za maji tena, nyingine huzalisha hadi maturubai bidhaa ni nyingi mno na uchina na ulaya nao wanataka malighafi hizo hizo
Shing Yui JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 15,168 Reaction score 38,049 Jul 24, 2022 #84 Nuzulati said: Mkuu umechelewa mimi nina mwaka na miezi kwenye hii biasharaπ Click to expand... Mh! Mimi natishia kujamba kumbe mwenzangu unaharisha kabisa πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Nuzulati said: Mkuu umechelewa mimi nina mwaka na miezi kwenye hii biasharaπ Click to expand... Mh! Mimi natishia kujamba kumbe mwenzangu unaharisha kabisa πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Theresia Don jh Member Joined Jul 18, 2022 Posts 27 Reaction score 15 Jul 24, 2022 #85 Jamani si mlisema watu waingie kwenye kujiajiriπππ... It is what it is
Sakasaka Mao JF-Expert Member Joined Sep 29, 2016 Posts 12,826 Reaction score 17,371 Jul 26, 2022 #86 Kada mwandamizi said: Kuna jamaa nilikutana nae siku moja nikapiga nae story akanambia anaokota makopo na mke wake ajui Kama ndo yake Click to expand... Hapa kuna neno la kiunganishi lenye kuleta thamani ya sentensi nadhani ulilisahau!
Kada mwandamizi said: Kuna jamaa nilikutana nae siku moja nikapiga nae story akanambia anaokota makopo na mke wake ajui Kama ndo yake Click to expand... Hapa kuna neno la kiunganishi lenye kuleta thamani ya sentensi nadhani ulilisahau!