Kuongezeka Ph.D za Heshima: Kuna haja TCU watoe ufafanuzi wa matumizi ya title ya Dr. kwa Ph.D za heshima na Ph.D za ukweli?


Namhala Pasi ngoja nikupe hiki kisa😁Wasukuma wako nakawaida ya kuandika majina kwenye baiskeli,kile kipande kinachofunika chain.Sasa kuna Mzee mmoja nikaona ameandika Hayati Masanja Abeli,nikamuuliza Mwenye hii baiskeli alifariki!? Akanijibu hapana Mimi ndiyo Hayati Masanja mwenyewe..Nikamuuliza unaelewa neno Hayati ni mtu Mwenye hadhi Aliyefariki!?akanijibu kijana Hayati tuko wachache mno ,kuna Hayati Nyerere,Hayati karume Hayati sokoine na Mimi Hayati Masanja😁
 
Kwa uwezo wa kukata umeme Karne ya 21 lazima aitwe Dr, Kinyerezi 1,2,3,4,5,...zote mabebebru wametia ndani na REA ndani yake.Chezea Bongo weye.Hapo ni mwendo wa kupandisgiwa bei za nishati ya mafuta hata kama hutaki,wakati gari za umeme Hadi za Dola 1,000 zimejaa hapo Beijing,Hong Kong na Wuhan,huu ni utumwa wa fikra.
Mama anastahili degree ya heshima. Kwa muda mfupi kafanya mambo makubwa sana. Wanaopinga wana wivu ila hatuwajali
 

Kumbe kuwa Dokta ni dili eeeh!

Watu wana Fedha na Mamlaka lakini furaha mpaka iwe na Dr prefix.
 
Unapambana sana kutafuta teuzi,kuna nafasi mama abdul amekuandalia UWT
Mkuu,mheshimu Mayalla. Hajatukana mtu wala kumkejeli mtu,yeye katoa mawazo yake na yana mantiki maana itafikia hatua kila mwenye pesa au cheo ataitwa Dr.
Huoni kama hilo ni tatizo maana kitaaluma upo utaratibu lakini sio huo. Anyway mtasema ni roho mbaya lakini kuna sehemu haiko sawa
 
Wenye ile ya darasani tukubaliane kuanza na Dr. Ikifuatiwa na jina, na wale wa ukumbini tuanze na jina kisha dr.(ndogo).
 
Kwa taarifa yako, Waziri Juma baada ya kutenguliwa balozi China aliteuliwa kuwa mwenyekiti wa UWT taifa.
 
Paschal uwe mkweli hata kwa nafsi yako. Mbona kelele zilipigwa sana hadi kuitwa kihiyo au hukuwa unafuatilia habari. PhD za heshima huwa si za kutumia kama waliozishotea. Ni ulimbukeni au ujinga kujipa udaktari usiostahiki. Kwa ambao tumzisotea, we acha tu. Kama ni zile za kupeana kama za akina Mwigulu na wenzake, bado kuna tatizo tu hapa kwa mtumiaji. Kwa hiyo, wanaozitumia wawe wanaume au wanawake siyo suala la ujinsia.
 
Mama anastahili degree ya heshima. Kwa muda mfupi kafanya mambo makubwa sana. Wanaopinga wana wivu ila hatuwajali.
Hakuna anayepinga Samia kupewa hizo degree za heshima..

Tunachopinga ni kujiita daktari wakati hajasomea.

Mwaka 2013, rais wa wakati ule wa US, Barack Obama alizuru Tanzania na akatunukiwa PhD ya heshima na Chuo Kikuu Huria (OUT). Ukiacha hiyo, anazo PhD zingine za kupewa zaidi ya 10. Uliwahi kusikia anajiita Dr. Barack Obama?!



Angalia za USA pekee..

Honorary degrees received by Barack Obama..
LocationDateSchoolDegreeGave Commencement Address
IllinoisJune 4, 2005Knox CollegeDoctor of Laws (LL.D.)[5][6]Yes [7]
MassachusettsJune 2, 2006University of Massachusetts BostonDoctor of Laws (LL.D.)[8]Yes [9]
IllinoisJune 16, 2006Northwestern UniversityDoctor of Laws (LL.D.)[10]Yes [11]
LouisianaAugust 13, 2006Xavier University of LouisianaDoctor of Laws (LL.D.)[12]Yes [13]
District of ColumbiaMay 12, 2007Howard UniversityDoctor of Laws (LL.D.)[14]
New HampshireMay 19, 2007Southern New Hampshire UniversityDoctor of Laws (LL.D.)[15]Yes [16]
ConnecticutMay 25, 2008Wesleyan UniversityDoctor of Laws (LL.D.)[17][18]Yes [19]
IndianaMay 17, 2009University of Notre DameDoctor of Laws (LL.D.)[20][21]Yes [22]
MichiganMay 1, 2010University of MichiganDoctor of Laws (LL.D.)[23]Yes [24]
VirginiaMay 9, 2010Hampton UniversityDoctor of Laws (LL.D.)[25]Yes [26]
OhioMay 5, 2013Ohio State UniversityDoctor of Laws (LL.D.)[27]Yes [28]
Georgia (U.S. state)May 19, 2013Morehouse CollegeDoctor of Laws (LL.D.)[29]Yes [29]
District of ColumbiaMay 7, 2016Howard UniversityDoctor of Science (D.Sc.)[14][30]Yes [31]
New JerseyMay 15, 2016Rutgers UniversityDoctor of Laws (LL.D.)[
 
Jiite wewe
 
Nyingi ni za kununua toka diploma mills. Waulize walionunua kama akina Gwajima utajua kuwa si PhD chochote bali kutapeliwa na kujidanganya.
 
The answer is simple and very clear..

Haimfai, hastahili isipokuwa kwa waliompa wenyewe..

By the way, kwani akiitwa Mama Samia Suluhu Hassan au Madam President Samia Suluhu Hassan au Bi. Samia Suluhu Hassan atapungukiwa nini?

Hii "heshima" kutunukiwa huwa ni heshima gani wakati chini ya uongozi wake nchini mwake kuna shida na matatizo kibao yanayowakabili wananchi wake?

Ina maana aheshimiwe kwa kushindwa kutatua matatizo?

It sounds very awkwardly, right...?
 
Ninaomba michango yenu!

Kumekuwa na tabia watu kupewa Phd ambazo Sio Za kusomea wanspita mitaani wakikutana Phd( Dr)

TCU njooni Jf!
 
Tea-see-you tuko hapa, mkuu!

Haya uliza swali lako tuone kweli iwapo PhD yako ni halali au ya kuheshimishana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…