Willard Jonnes
JF-Expert Member
- Apr 26, 2020
- 361
- 754
Hizi nondo ni Konki sana hata mimi mtu anae nisifia huwa namuogopa sana tena hadharani, Licha ya mimi kutokuwa mfuasi wa Dini yoyote ila kwa hili natoa kongole sana Upande huu watu wamepiga shule sana hakuna shehe anaweza kuongea hayo kama tu shehe anasimama kwenye podium hajui hata jina la Rais nini tutegemee, Huu ni muda kama taifa tushikamane, Rais anahitaji mengi zaidi ya Kusifiwa wanachofanya Wabunge ni kulinda nafasi zao bila kuangalia kesho yao na Vizazi vyao, Pia ni kama hawaoni kuwa tuna marais watatu wastaafu wakiwa Hai kabisa
Tuanze kwanza na hicho alichozungumzia hapo kwenye andiko lake wewe unaonaje onyo hilo la Mtumishi wa Mungu,Yeye ni Askofu ameshajitanabaisha mwisho mwa andiko lake kama unataka kujua yeye ni nani.Nini maana ya demokrasia? Ye anaongea kama nani? Kwa nini anafunga watu midomo?
Walishaambiwa hata kwenye maandiko, ya Mungu muachie Mungu ya Kaisari muachie Kaisari.
Tatizi wanasoma maandiko kama wanasoma magazeti ya risasi.
Na iwe hivyo... Hata hivyo, Mungu hakuruhusu uovu ule na akaingilia kati. Wabunge wote waliopitisha Azimio lile waliuawa pamoja na wake zao na watoto wao...
Hakika hawa walioko kwenye madaraka wanajiona kama miungu watu.......Na iwe hivyo
Yeye anaongea kama yeye! Kama hutaki awafunge watu midomooo, Kwanini Wewe unajaribu kumfunga yeye mdomo?! Kwa taarifa yako, ni jukumu la viongozi wa dini (hasa Kibiblia) kuonya, kukemea, kutia moyo na hata kufundisha viongozi wa kisiasa!Nini maana ya demokrasia? Ye anaongea kama nani? Kwa nini anafunga watu midomo?
Walishaambiwa hata kwenye maandiko, ya Mungu muachie Mungu ya Kaisari muachie Kaisari.
Tatizi wanasoma maandiko kama wanasoma magazeti ya risasi.