Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,185
- 24,330
Huwa naota hii ndoto na haijapita hata wiki na cha ajabu niliota nipo advance na ndoto ilikuwa na uhalisia hadi nikaamka bado nina wenge la kujiuliza kama nishapita chuo kweli au nisubiri kujaza application forms 😁😁Nitajaribu kujibu kwa kadiri ya uwezo wangu na uelewa wangu.
1.KUOTA UKO SHULE
Kwa tafsiri ya kawaida kabisa ni hivi, tunapeleka watoto shule ili kuwaandaa kwa ajili ya maisha yao ya baadae hivyo TAFSIRI ya mojawapo ya SHULE kwenye NDOTO ni MAANDALIZI.
Hivyo kuota kuwa upo shuleni,TAFSIRI mojawapo ni kuwa KUNA MAANDALIZI (FULANI) ambayo unapewa ALERT kuwa unapaswa KUYAFANYA kwenye specific area ya MAISHA yako..
Au hii yaweza kuwa alert unapewa kuwa Kuna maandalizi fulani ambayo ulipaswa kuyafanya na hukuyafanya na ndio sababu ya ww kukwama mahala fulani fulan kwenye maisha yako hivyo unapewa sign kwamba SHTUKA na chukua hatua ili UTOKE HAPO ULIPONASA
NB:Kibarua sasa ni hiki
NI WAJIBU WAKO KUJUA kujua ni wapi hapo ulipokwama na NI AINA GANI YA MAANDALIZI UNAPASWA KUJIANDAA for future au ulipaswa kujiandaa na hukujiandaa.
2. KUOTA UKO DARASA FULANI AU LEVEL FULANI (primary/secondary/high school au chuo)
Kwa tafsiri niliyosema kwamba Shule ni maandalizi hapo juu basi TAFSIRI ya kuota upo darasa gani au level gani, hii maana yake ni KIWANGO CHA MAANDALIZI unachohitaji KWA HATUA ILIYO MBELE YAKO (future),AU ili uvuke kufika unakopaswa KUWEPO sasa (PRESENT) au ili UTOKE ULIPONASA ambapo ndio sababu ilio ku hold usipige hatua hadi leo (PAST) (kimaisha kiafya kijamii kicheo kiroho kimahusiano kiuchumi nakadhalika inategemeana tu na MKWAMO wako)
Hivyo kuota uko darasa au level ambayo kimsingi ulishapita yaweza kuwa tafsiri kuwa u need to fix something in you past.Uli pita level hiyo lakin kuna eneo katika eneo hilo hukufanya sawa sawa now it has become ur stambling block so get rid of it first uendelee na maisha mana kwa hapo ulipo maandalizi yale kwenye level ile uliopita hayakua sawa sawa.FIX UR PAST TO UNLOCK UR CURRENT OR FUTURE SITUATION
Ukiota uko LEVEL ya JUU ambayo HUJAFIKA BADO mfano umeota uko high school na wakat elim yako ni secondary au unaota uko Diploma au Degree chuo wakati elim yako ni High school uliishia au unaota uko masters au Phd wakati ulifanya Degree tu basi TAFSIRI yake ni MAANDALIZI unayoyahitaji for FUTURE which just yet and on the way TO COME / HAPPEN TO YOU. Hivyo unahitaji maandaliz ya juu ambayo kwasasa HUNA na usipojiandaa basi UTAKWAMA au UNACHOPASWA KUPATA / KUEPUKA for your FUTURE'S SAKE itakula kwako.
3. KUOTA UNAFANYA MTIHANI.
Tafsiri ya mtihani ni KIPIMO CHA MAANDALIZI uliojiandaa nayo. Unaweza ota uko shule tu na hakuna mtihani maana yake unahitajintubkujiandaa lakin unaweza ota uko shule UNASOMA NA BAADAE KUNA MTIHANI, sasa basi;
ukiota unafanya mtihani maana yake ili utoke hapo ulipo au ili ufanikiwe unapokwenda huhitaji tu kufaya maandalizi ili kuvuka maandalizi hayo unayopaswa kufanya YATAPIMWA ,ili kupata GO AHEAD kwenye suluhisho unalohitaji.
3A. KUOTA SOMO UNALOFANYIA MTIHANI
Kwa tafsiri ya shule kama maandalizi na darasa/level uliopo kuwa Kiwango cha maandalizi basi kuota unafanya mtihani wa somo FULANI tafsiri moja wapo ya hii kitu ni AINA YA MAANDALIZI UNAYOHITAJI. hivy ukiona unaota sio tu uko shule bali uko level flan na pia unafanya mtihani tena mtihani wa somo fulani maana yake ndoto hii inakuwa MORE SPECIFIC kukusaidia kujua EXACTLY what you are supposes to DO TO PREPARE URSELF.It is ur task to find WHAT WHEN HOW.
3B. KUOTA UNAFANYA MTIHANI MGUMU SANA AUBWA KAWAIDA AU MWEPESI
Tafsiri iko wazi..Huu ni ugumu au wepesi wa JARIBU /TEST that is ahead of you..Kwamba kipimo utakachopimwa kitakua ndani ya uwezo au nje ya uwezo wako kulingana na maandalizi uliofanya.
3C.KUOTA UME FELI AU UMEFAULU
Hii nadhan kwa maelezo marefu niliotoa hapo juu nadhani itakuwa HOMEWORK rahis tu kujiongeza
Na maranyingine unaota mpaka MARKS ULIZO SCORE.
4.KUOTA UKO DARASANI NA WATU WENGINE UNAOWAJUA AMBAO KIMSINGI WALIKUTANGULIA KUSOMA ILA UNAOTA UKO NAO DARASA MOJA AU MNAFANYA MTIHANI MMOJA AU MKO SHULE MOJA.
Hii nadhan ukielewa maelezo yangu haponjuu utaweza kujua maanda yake nini
5. KUOTA UKO DARASA HILO/ LEVEL HIYO MARA KWA MARA.
Pia waweza kuta unaona unafanya mtihani huo mara kwa mara au uko shule hiyo hiyo mara kwa mara..Hii pia ina maelezo yake na kwa kiasi unaweza ukajiongeza mwwnyewe kw maelezo marefu niliokwisha tangulia kuyatoa hapo juu.
6. MSISITIZO.
Ukiona unaota ndoto hiz mara kwa mara basi USIPUUZIE chukua hatua .
Kwasababu gani?
Kwasabau simetimes SIO KILA NDOTO ya kuwa nayo SERIOUS maana ndoto zingine huja kwa sababu umewaza sana jambo au kwasababubu ya shughul na mambo kuwa mengi so mind ina mix mafile lakin sometimes ndoto yaweza kuwa inatoka kwa Mungu/mungu unayemwamini wewe ili kukuonya na kukupa ONYO au TAHADHARI about future au ALERT wapi umekwama ili UTOKE.
ni hayo. Am open for critisism.
Eyce Carleen Mshana Jr Pascal Mayalla to yeye Vishu Mtata financial services
Shukrani kwa ufafanuzi
Nitakucheki pia unipe tafsiri zaidi 🙏🙏