Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
- Thread starter
-
- #81
kuuuu jibu lipo hapaHili tumeshalijadili sana hapa na lina tafsiri ya moja kwa moja kiroho kwamba kuna jambo/mambo uliyaanza na hujayamaliza hivyo unakumbushwa kiroho kuyamaliza
Mengine huwa ni ahadi ulizoshindwa kuzitimiza ama kumaliza, nadhiri, madeni, mipango ya maendeleo, mipango ya maisha na sometimes hata visasi
Ukiota umemaliza shuleMie pia nimeota ndoto hiyo asubuhi ya leo na huwa naota mara kwa mara...... ila nilisikia kuwa ndoto za hivo zina maana ya kuwa kuna vita kubwa sana ili kusonga mbele kimaisha, yaani unarudishwa nyuma.
SawaOndoa hofu.. Kawaida akili ya mwanadamu ina tabia ya kujikumbushia yale mambo yaliyopita wakati ukiwa umelala.
Tena inapenda kujikumbushia matukio ambayo uliyaishi kwa muda mrefu au yale uliyoyapenda sana
Ukiota umemaliza shuleHiyo roho ya kuludi nyuma kimaisha
Utaja kuwa Profesa.Wandugu hivi hii ishu ya kuota mambo ya shule mara kwa mara huwa ina maana gani kiroho!??
Nimekua nikiota ndoto kua nipo shule eidha o'level au advance na mara chache primary na chuo ila za o'level na advance ni kama kila siku tu.
Mwanzo nilikua napuuza lakini naona sasa inakua too much, karibu kila siku naota nipo shule mara nafanya pepa, nasubiri matokeo, nipo class nasoma, napiga story na wana yani zile moments nlizokua nafanya skuli ila zinakua advanced. Kama ni pepa linaweza kua gumu sana au jepesi sana.
Kuna tafsiri yoyote juu ya hizi ndoto??
Wandugu hivi hii ishu ya kuota mambo ya shule mara kwa mara huwa ina maana gani kiroho!??
Nimekua nikiota ndoto kua nipo shule eidha o'level au advance na mara chache primary na chuo ila za o'level na advance ni kama kila siku tu.
Mwanzo nilikua napuuza lakini naona sasa inakua too much, karibu kila siku naota nipo shule mara nafanya pepa, nasubiri matokeo, nipo class nasoma, napiga story na wana yani zile moments nlizokua nafanya skuli ila zinakua advanced. Kama ni pepa linaweza kua gumu sana au jepesi sana.
Kuna tafsiri yoyote juu ya hizi ndoto??
Acha uongo usimpotoshe mwenzio akaenda kupigwa hukoMtafute Mwamposa au kuhani Mussa akupe tafsiri yake.
Epuka wapotoshajiKuhusu vita ya kurudishwa nyuma sidhani kwakweli.
Ni mbaya km unaota mara 1 haina ila ukiona kila siku ndoto ni hio hio hapo ishara sio nzurikuota mambo ya shule mara kwa mara
Maana yake umeshindwa au kuna jambo linakuja mbele utashindwa yaan utapigwa za usoMtu unaota
- Umechelewa kwenye chumba cha mtihani na wenzio wameshaanza muda mrefu
- Mtihani hauendi kwako ila kwa wengine wanafanya
- Kufeli au kuchelewa kwenye interview
Hutakiwi kuota mara kwa mara ukiota mara kwa mara jambo moja hilo hilo hio ni ishara mbaya ila ukiota mara 1 tu sio ishara mbaya ila inategemea umeota nini na unakumbuka niniKuna tafsiri yoyote juu ya hizi ndoto?
-Nitaacha km ilivyo mwenye kuelewa na aeleweKama ni pepa linaweza kua gumu sana au jepesi sana.