Mzalendomorogoro
Member
- Mar 15, 2018
- 26
- 36
Kila kukicha Serikali imeendelea kutangaza mfumuko ya bei ya mafuta mpaka sasa kwa mkoa wa Dar es salaam lita moja ya mafuta ya petroli inakaribia elfu tatu miatano, miezi iliyopita bei za nauli ziliongezwa ili kuendana na mfumuko ya bei ya mafuta.
Vita zinazoendelea kati ya Urusi dhidi ya Ukraine nacho ni moja wapo ya kigezo cha kupanda kwa bei ya mafuta ambapo Urusi Urusi imekuwa ikiongeza mauzo ya mafuta huko Asia tangu uvamizi wake wa Ukraine ulisababisha vikwazo vya Magharibi kwa uagizaji wa mafuta ya Urusi.
Baadhi ya bidhaa zisizosafilishwa na zinazoenda Asia zinahamishwa kutoka meli moja hadi nyingine. kupanda kwa bei ya mafuta inapelekea kuongezeka kwa bei za daladala na kuumiza wananchi lini patakuwa na suluisho la kupanda kwa bei ya mafuta ili kurudi katika hali ya kawaida, nafikiri serikali itafute njia ya kutatua mfumuko wa bei za mafuta.