raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Kama dingi kazingua unadhani inakuaje sasa πUnaweza muambia baba yako kama hivi ?View attachment 2590640
Baba ni mmoja tu.Kama dingi kazingua unadhani inakuaje sasa π
Kuwa baba haina maana wewe ndio ufanye upuuzi tu ukizingua na wewe unazinguliwa π
Ndio ni mmoja lakn sio tiketi yako ya kumfanyia mtoto upuuzi kisa ww ni babaBaba ni mmoja tu.
Ukute mama mtu ndio amejibu huo ujumbe na kublock.Yani unamtukana baba yako halafu unamblock.
Nani mwenye access na simu ya huyu mtoto? Hivi habari ufikishe kwa Kigagula Mange mwenye followers sijui million 10 kuna siri gani tena hapo?
Baba hata akosee haiondoi hadhi ya kuwa baba. Huwezi shindana na chanzo cha wewe kuwa hapa duniani, ni ukosefu wa akili.. sikio haliwezi zidi kichwaNdio ni mmoja lakn sio tiketi yako ya kumfanyia mtoto upuuzi kisa ww ni baba
Ila lembebez nachomkubali haintertain ushoga.Boma Liwanza...
View attachment 2590570
Watoto hawajakataa kama jamaa ni baba yaoBaba hata akosee haiondoi hadhi ya kuwa baba. Huwezi shindana na chanzo cha wewe kuwa hapa duniani, ni ukosefu wa akili.. sikio haliwezi zidi kichwa
Mtoto anatengezwa na anae mlea. Hata mtoto kama angekuwa hajamuona miaka 20, kama mama angekuwa hapandi sumu na chuki huyo mtoto asingeweza toa hiyo lugha chafu.. kilichopo ugomvi wa mama na baba, maana kahamishia kwa watoto tuna case nyingi sana za wababa kukosea ila watoto hata siku moja hawajaweza toa lugha mbovi kiasi hichoVitu vingine vinakasikirisha bruh
Dogo anasema hajawahi kuwasiliana nae for 10yrs yeye mtandaoni ni kutukanana na watu na pics za wanawake tofauti
Hata kama ni mimi ningekuwa tu kama wa kiume ningemwabia just s#&k my d!&Β£k u blackass nigger
Hawana adabu sasa hao watoto na chanzo cha ukosefu wa adabu ni mama. Huwezi mtukana mtu mzima matusi kama hayo... ukiachana na baba tuWatoto hawajakataa kama jamaa ni baba yao
Mtu kuwa mzazi si kigezo cha ujinga wake kuisha Akilini.Baba hata akosee haiondoi hadhi ya kuwa baba. Huwezi shindana na chanzo cha wewe kuwa hapa duniani, ni ukosefu wa akili.. sikio haliwezi zidi kichwa
Ulitaka Baba awajaze Sumu Watoto kwa kuwaambia ukweli mama yenu anakazwa sana ndio maana ndoa imeshindikana?Kama dingi kazingua unadhani inakuaje sasa π
Kuwa baba haina maana wewe ndio ufanye upuuzi tu ukizingua na wewe unazinguliwa π
Ikumbukwe bila huyo mjinga huenda asingezaliwaMtu kuwa mzazi si kigezo cha ujinga wake kuisha Akilini.
Mjinga ni mjinga tu.Mtu kuwa mzazi sio defence mechanism ya kujitetea na ujinga wake ili apewe Heshima.
Mama yao ni tatizo na ndio chanzo cha hayo yote, kukosana na mwenza huwa haina sababu ya kuanza pandikiza chukiUlitaka Baba awajaze Sumu Watoto kwa kuwaambia ukweli mama yenu anakazwa sana ndio maana ndoa imeshindikana?
Makosa ya mama hutakiwi kuwaadhibu na watotoUlitaka Baba awajaze Sumu Watoto kwa kuwaambia ukweli mama yenu anakazwa sana ndio maana ndoa imeshindikana?
[emoji23][emoji23][emoji23] Anakwambia yupo kwenye Gadem five star hotel, ana mashamba uswekezi tabata kinyerezi 'I am humbled you know'[emoji23][emoji23]yule mzee bana et boma liwanza sjui gadem sjui American spirit!! Alafu ni mbishi yaani ukimkosoa kidogo tu anachokifanya sio sahihi anakuwashia
Mi nakwambia huyo anajifanyaga messiah ya hiyo Imani yake,kila kitu yeye ndio mwema,yeye ndio anajua reasoning yaani Kiranga hakika ana Kiranga Kama jina lake,anakwmea umbea ilhali kaganda kwenye umbeaNa bado umeweka kambi kwenye thread ya umbea.
Declare interest, maana na wewe upo New York na Neema yupo New York.
Ivi mkuu unawajuwa wanawake au unawasikia ? Mwanamke anaweza aka ku block mazima hata kuwaona watoto na wakaambiwa yule sio baba yenuMakosa ya mama hutakiwi kuwaadhibu na watoto
Yeye ilitakiwa aendelee kuomba kuwasiliana nao pamoja na kuwapa msaada pale unapohitajika