Kupandikiza watoto chuki siyo kitu sahihi. Le Mutuz kwa hili anaonewa sana, namtetea

Kupandikiza watoto chuki siyo kitu sahihi. Le Mutuz kwa hili anaonewa sana, namtetea

Labda kwa wale ambao tupo JF muda mrefu tunafahamu vizuri William Malecela Le Mutuz na Neema Ngwilulupi walikuwa ni wana ndoa na wanaishi Marekani ni member wenzetu wa hapa JF.

Le Mutuz alishaandika mwenyewe historia ya maisha yake Marekani Kwahiyo Mimi sina cha kuongeza.

Ila nimesikitika sana kuona Neema ni sample ya wanawake wajinga kushirikiana na Mange Kimambi kumdhalilisha Le Mutuz wakati kimsingi aibu inarudi kwa Neema Ngwilulupi mwenyewe mwenye custodian ya kuwalea Watoto kwa kushindwa kuwalea Watoto katika maadili.

Neema Ngwilulupi ni Mtanzania, na tunaojuwa vizuri alipata kazi kwa upendeleo Marekani kwa sababu ya jina la Mzee Malecela, leo hii inakuwaje ameshindwa kulea Watoto ambao ni Watanzania kwa baba na mama ila ni Wamarekani tu kwa kuzaliwa?

Hivi mtoto aliyelelewa kwa maadili anaweza kumjibu baba yake mzazi "Saki my diki"?

Ugomvi wa Le Mutuz na Neema watajuwana wenyewe walishindwana wapi lakini kumshirikisha Mange Kimambi kiumbe aliyeumbwa na roho tu bila kuwa na nafsi hii ni aibu yako mwenyewe Neema Ngwilulupi.

Kwakuwa Neema Ngwilulupi wewe ni member mwenzetu mkongwe hapa JF, nimeona nikufikishie ujumbe wako hapa umechemka, hata kama William ni mjinga kiasi gani kumpelekea Mange WhatsApp text charts za William na Watoto wake hii aibu inarudi kwako mwenyewe mwenye custodian ya Watoto kwa kushindwa kuwalea Watoto katika maadili mema, hao wanao hata wajifanye Wamarekani lakini ni wagogo tu wa Mtera.

View attachment 2590739

Nimemaliza.
Le Mutuz ndiye nani?
 
Makosa ya mama hutakiwi kuwaadhibu na watoto
Yeye ilitakiwa aendelee kuomba kuwasiliana nao pamoja na kuwapa msaada pale unapohitajika
Cc; case

"Niligundua siku nyingi sana toka nikiwa mdogo kwamba I was born different nilizaliwa Mwanaume tofauti sana Mama yangu mzazi na Mama yangu wa Kambo originally walikuwa ni marafiki wa damu walioishia kuzidiana Akili na kugeuka kuwa maadui wa Ajabu na mimi nikawa caught up in the middle ya Uadui wao na the worst is Mama yangu wa Kambo was very educated as opposed na Mama yangu Mzazi ingawa wote leo ni Marehemu lakini kivuli cha Vita yao ninapigana nacho mpaka leo na ndipo Mange anapoingia in my picture cause ni agent tu wa hicho kivuli cha Shetani anayenisumbua toka utotoni kutokana na Vita kali ya Urithi wa Mali za Baba yangu ni Vita ya ajabu na ya kitoto sana inayowahusisha watu wengi mpaka waliosoma lakini wamefunikwa na Chuki dhidi yangu ambayo ni purerly Foolish and unfounded just UNCALLED FOR ....

Mange alianza rasmi kunishambulia baada ya kurudi Bongo Miaka 6 iliyopita alianzia Facebook na mashambulizi ya yake ya kwanza aliongelea urithi wa Baba yangu kwamba nimerudi Bongo kutafuta urithi ninayo quote yake mpaka leo so I hope nimewasaidia wale mnaojiuliza sana Chuki ya Mange kwangu inatokea wapi? ni kwamba Mange anawawakilisha baadhi ya Maadui zangu wa Maisha ambao wangependa kusikia nimekufa kwa sababu wana wasi wasi kua nitawadhulumu urithi wa Baba yetu ambaye bado yupo hai na huenda hata tukaondoka sisi tukamuacha ....hahahahha."-Le Mutuz

So Sad Like he saw the future... RIP Dr Mwele.

Huyu mzee jamaa tumwache na mambo yake yawezekana kapitia mengi ndio mana Yuko hivyo.
 
Huyo kamtukana,wewe unapungukiwa na nini?Fundisha wa kwako.Huyu hata kama katukana anakuhusu nini.Mind your own shit bwana.
Sijapungukiwa kitu kiukweli ila inaonesha ni jinsi gani huyo mtoto ni wa hovyo na mama yake ni tatizo kubwa zaidi kuliko le mutuz na watoto. Huwezi ukaishi maisha ya amani na furaha kama ulishwai mtukana matusi mazito hivi mzazi aliyekuzaa ni suala la muda tu.
 
"Niligundua siku nyingi sana toka nikiwa mdogo kwamba I was born different nilizaliwa Mwanaume tofauti sana Mama yangu mzazi na Mama yangu wa Kambo originally walikuwa ni marafiki wa damu walioishia kuzidiana Akili na kugeuka kuwa maadui wa Ajabu na mimi nikawa caught up in the middle ya Uadui wao na the worst is Mama yangu wa Kambo was very educated as opposed na Mama yangu Mzazi ingawa wote leo ni Marehemu lakini kivuli cha Vita yao ninapigana nacho mpaka leo na ndipo Mange anapoingia in my picture cause ni agent tu wa hicho kivuli cha Shetani anayenisumbua toka utotoni kutokana na Vita kali ya Urithi wa Mali za Baba yangu ni Vita ya ajabu na ya kitoto sana inayowahusisha watu wengi mpaka waliosoma lakini wamefunikwa na Chuki dhidi yangu ambayo ni purerly Foolish and unfounded just UNCALLED FOR ....

Mange alianza rasmi kunishambulia baada ya kurudi Bongo Miaka 6 iliyopita alianzia Facebook na mashambulizi ya yake ya kwanza aliongelea urithi wa Baba yangu kwamba nimerudi Bongo kutafuta urithi ninayo quote yake mpaka leo so I hope nimewasaidia wale mnaojiuliza sana Chuki ya Mange kwangu inatokea wapi? ni kwamba Mange anawawakilisha baadhi ya Maadui zangu wa Maisha ambao wangependa kusikia nimekufa kwa sababu wana wasi wasi kua nitawadhulumu urithi wa Baba yetu ambaye bado yupo hai na huenda hata tukaondoka sisi tukamuacha ....hahahahha."-Le Mutuz

So Sad Like he saw the future... RIP Dr Mwele.

Huyu mzee jamaa tumwache na mambo yake yawezekana kapitia mengi ndio mana Yuko hivyo.
Ndo muangalie na wanawake wa kuoa, nyie si mnachaguaga madako?🤣🤣🤣 Ndo hivo yanaishia kuwavuruga vichwa....Kwa historia yake na alichopitia alihitaji mwanamke supportive, mke wa kusimama nae kwenye mvua na jua....imagine unakua Kwa shida, unaoa mke anayeungana na maadui zako, uzeeni watoto wako wanakutukana....lazima Moyo utanuke.
 
Mange ni shetani. Sio binadamu wa kawaida. Roho ya Mange ni zaidi ya mbaya. Ila Lemutuz naye ni mzee mpumbavu aliyepitiliza. Pia ni mwongo aliyekubuhu. Kuna post zake huwa ana-copy na ku-paste bila kutoa credit kwa authors. Kuna siku kapost uongo kuhusu Amida Chatur wa DRC nikampinga kwa facts lakini cha kushangaza akaishia kunishambulia. Kuhusu unafiki ndo tabia pendwa ya Lemutuz. Wakati wa JPM alijiweka mbali na kina Ridhiwani na kuwa karibu na Makonda huku akimsifu hatari. Mara baada ya kuondoka kwa JPM haikuchukua muda akaanza kurusha mabomu kwa JPM na Makonda huku akitafuta ukaribu na Ridhwani tena. Kimsingi ni ngumu mno kumtetea Lemutuz.
 
Hujaelezea vizuri sifa ya mwanamke wa kinyakyusa ya umalaya
Mwanamke wa kinyakyusa ni mchakalikaji kwenye biashara tofauti na wanaume wao mabosi, wao ni wakulima wazuri sana ndio wanaoifanya Tukuyu na Kyela kuonekane kama bustani ya maua, bahati mbaya haujafika huko. Wanawake hao ndio wafanyabiashara wakubwa kati ya Tanzania, Zambia na Malawi hasa kusafirisha mchele unaoitwa Kilombero unaopendwa sana huko kusini. Mimi nsona wewe unazungumzia huyo wa Kinondoni ambaye hata kwao hakujui kama ulivyo wewe.
 
Hata kama ni kumuumiza, hebu fikiria mkuu yule mzee ni mgonjwa lkn kutwa ana badili malaya.

Kama ni kumuumiza angetafuta piskali moja akawa anakula nayo maisha sio lazima kuoa mbona angemuumiza pia.

Sasa yeye mgongw na malaya tofauti tofaut na wengine walimpiga picha yupp utupu wakamtumia mange!!

Kwa umri wake anadhalilisha kutukanana
Bro kwa situation aliyopitia Le mbabaz angekuwa mtu mwengine sasahv ni marehemu trust me.. Jamaa emotionally yupo very strong na hajakata tamaa mpaka sasa he's still fighting for his life na whatever yu see wrongs kuhusu jamaa nazan ndio njia yake ya kuwa sober na kuendelea ku-focus .. I believe kila mtu ana njia yake yaku overcome stress no matter which way utatumia bt as long as unazani inafanya kazi kwa upande wako bas is the ryt one
 
..
Hii ni tabia ya Kitanzania, ndo Mila zetu ndo tulivyokuzwa....umesahau huku kwetu ukikosea hata uwe na midevu unatandikwa fimbo na wazee mbele ya nzengo? Huku suala la maadili ni la wote....au toka uende ughaibuni umesahau mila zetu? Ndo maana vitoto vyenu vinawatukana wazazi wao saki mai diki[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Never uproot pumpkin in your household....tunatunza Mila zetu za Kitanzania.
Umenikumbusha "pumpkins from homestead must never be uprooted " Song of Ocol&Lawino
 
Mwanamke wa kinyakyusa ni mchakalikaji kwenye biashara tofauti na wanaume wao mabosi, wao ni wakulima wazuri sana ndio wanaoifanya Tukuyu na Kyela kuonekane kama bustani ya maua, bahati mbaya haujafika huko. Wanawake hao ndio wafanyabiashara wakubwa kati ya Tanzania, Zambia na Malawi hasa kusafirisha mchele unaoitwa Kilombero unaopendwa sana huko kusini. Mimi nsona wewe unazungumzia huyo wa Kinondoni ambaye hata kwao hakujui kama ulivyo wewe.
Mbona Kama unaandika kwa Jazba Tena?we una uhakika gani Mimi sipajui Kyela?yaani Mimi nisipajue Mwaya na matema kweli?hizo zote sifa ulizoandika Ni sawa asilimia 100 Ila hii nyingine mbona unaikataa?
 
Back
Top Bottom