Lemutuz anajikaanga na mAfuta yake mwnyw,
huwez kua baba, kutwa kucha uko mitandaoni unajinadi uko 5star hotel na Wanawake tofaut tofauti daily
afu wanao uko marekani umewatelekeza kwa mama Yao, hujui wamekula nn,wamevaa nn na mitandaoni wanakuona kila siku.
Haya maisha yake ya kujianika ndo sumu aliyojitengenezea mwnyw kwa wanae, asitafute mchawi.
Huyo mtoto amepata laana mbaya sana kuliko laana zote unazoweza kupata duniani. Baba yangu nimeshakwaruzana nae vinaya sana. Lakini kutoa matusi mazito hivyo kwa baba aliyekojoa na wewe ndio ukapatikana?! Its unheard of, laana kuu!!Labda kwa wale ambao tupo JF muda mrefu tunafahamu vizuri William Malecela Le Mutuz na Neema Ngwilulupi walikuwa ni wana ndoa na wanaishi Marekani ni member wenzetu wa hapa JF.
Le Mutuz alishaandika mwenyewe historia ya maisha yake Marekani Kwahiyo Mimi sina cha kuongeza.
Ila nimesikitika sana kuona Neema ni sample ya wanawake wajinga kushirikiana na Mange Kimambi kumdhalilisha Le Mutuz wakati kimsingi aibu inarudi kwa Neema Ngwilulupi mwenyewe mwenye custodian ya kuwalea Watoto kwa kushindwa kuwalea Watoto katika maadili.
Neema Ngwilulupi ni Mtanzania, na tunaojuwa vizuri alipata kazi kwa upendeleo Marekani kwa sababu ya jina la Mzee Malecela, leo hii inakuwaje ameshindwa kulea Watoto ambao ni Watanzania kwa baba na mama ila ni Wamarekani tu kwa kuzaliwa?
Hivi mtoto aliyelelewa kwa maadili anaweza kumjibu baba yake mzazi "Saki my diki"?
Ugomvi wa Le Mutuz na Neema watajuwana wenyewe walishindwana wapi lakini kumshirikisha Mange Kimambi kiumbe aliyeumbwa na roho tu bila kuwa na nafsi hii ni aibu yako mwenyewe Neema Ngwilulupi.
Kwakuwa Neema Ngwilulupi wewe ni member mwenzetu mkongwe hapa JF, nimeona nikufikishie ujumbe wako hapa umechemka, hata kama William ni mjinga kiasi gani kumpelekea Mange WhatsApp text charts za William na Watoto wake hii aibu inarudi kwako mwenyewe mwenye custodian ya Watoto kwa kushindwa kuwalea Watoto katika maadili mema, hao wanao hata wajifanye Wamarekani lakini ni wagogo tu wa Mtera.
View attachment 2590739
Nimemaliza.
haahahaa hukusoma vizuri , nimeweka kidokezo sio wote..Na wewe unaingia Mkumbo uleule, Kwahiyo mamtoni hakuna Watoto wanaolelewa katika misingi bora?
Kwahiyo mamtoni hakuna Watoto ambao watakuja kuwa wachungaji na masheikh wote ni hawa suck my dick?
Msipotoshe watu, Mimi Nina vijomba vyangu vinaniamkia kabisa shikamoo Anko.
Pamoja wamezaliwa na kukulia mamtoni wanafundishwa how to behave kama Mwafrica.
Jamaa ni mpumbavu sana na akili za kitoto. Ni kama kuomba kitu au kutongoza mtu, ukikataliwa unasema, "Nilikuwa nakutania." Huyu kichwani ana mtindio.Sema Boma Liwanza ana akili kisoda...
Cheki alivyoshushuliwa na mtoto....
View attachment 2590634View attachment 2590635
Halafu asivyo na akili eti anamuambia mtoto "Nimefanya hivi baada ya kuombwa"? Kwamba hiyo new chapter haijatoka moyoni mwake...
Mwanae ana akili sana, ndo maana kamjibu "You are so sick in the head"...
Hivi mlishaisoma ile history ya le mutuz mbona alikua anatuma hapo awali miaka hiyo ila baby mama yake akaona ndogo auNaona baadhi yetu Wanaume humu tumehuzunishwa na kitendo alichofanyiwa Le Mutuz, ila ni muhimu nasi kujirekebisha na kujitahidi kuhudumia familia zetu ( Being responsible Father).
Kuna wanaume wanatelekeza watoto wao wa kuwazaa na kuwakimbia bila msaada wowote, alafu unategemea huyo mtoto/ watoto akue/ wakue huku akikupenda. Hapo mtakuwa mnajidanganya tu.
Hata kama ningekuwa mimi nisingempenda huyo Baba yangu wa mchongo aliyejua kunikojoa tu bila matunzo.
Kwenye simuHii imetokea wapi???
👏👏👏👏👏👏Ungemtafuta Neema uongee naye kama unamjua kihivyo na kujali sana familia yake.
Otherwise umeikuta familia inawekana uchi, na wewe ukasambaza zaidi hizo habari mitandaoni.
Mtu mwingine anaweza kuona unafurahia hivi visa huku ukijifanya unasikitika.
You are making a very bad situation worse by spreading this horrible saga further online.
Ukiitwa mwanamme mmbeya siwezi kukutetea.
Kumbe ndivyo ilivyo nimeiona sehemu hiyo "suck my fucking dick..." Nikajiuliza mtoto anaweza mjini baba yake hivi. Nakashangaa sana. AiseeNi kweli, ila Neema tuko naye hapa jamvini kitambo, namfikishia ujumbe wake kwa hili hapana, amekosea sana.
Wote tunamjuwa vizuri Le Mutuz humu ni mtu mzima hovyo, lakini Neema kuwalisha Sumu Watoto haikubariki.
Tuna ndugu zetu wamezaa unyamwezini miaka na miaka lakini mtoto anajuwa mpaka shikamoo.
Mbona Wahindi popote wanapozaliwa bado anakuwa ni muhindi yuleyule?
Eti suck my dick, halafu mama mzima unapeleka huu ujinga kwa Mange ili Watoto wako waonekane wasivyo na akili?
Mange ni wakala wa shetani fullstop.Nilivoanza kusoma uzi nikahisi tu kuwa atakuwa ni huyo Agapeo ikabidi nirudi juu kuangalia uzi ni wa mwaka gani, huyo hajaanza juzi wala jana kumtukana baba yake huyo huyo Mange alishawahi kupost ishu yao mwaka 2017 au 2018 kama sikosei nikajua walishapatana kumbe bado tu anamtukana, japo Malecela hajielewi lakini Mange naye ni mshenzi sana
Utajibiwa "ACHA KUPANGIA MAISHA WATU".. BOMA LIWANZANa hapa ndipo anapokosea Le mbebez, unajua ukisoma zile chats, Yule mtoto wa kike anaonekana ana maumivu Makali kuliko mtoto wa kiume? Na hii ni nature watoto wa kike wanapenda Baba zao kuliko wa kiume (refer Freud's theory)....tena binti anaonekana Yuko tayari kuyajenga na Baba yake, na amemueleza kosa lake, amemueleza afanye nini Ili wawe Sawa....Ila ona alichojibu Le mutuz, anazidi kumshambulia msumari WA Moto eti marafiki zao ndo wamemtuma ayamalize na wao, 😳😳 so haitoki moyoni?
Ushauri wangu ni kwamba still ana nafasi Kwa huyo binti yake, ajishushe, apunguze ego isiyo na maana....kingine aachane na haya madrama na mapicha picha, watoto wa kike tuna wivu sana Kwa Baba zetu, aishi low key...huku akitafuta maridhiani plus vizawadi....yaani namhakikishia atakula bata maisha yake yaliyobaki hapa duniani.....aachane na madanga, Kwanza hawara Hana shukrani.
Sijajua kama jamaa alikuwa anahudumia familia yake, nilichofanya nikutoa tahadhari kuhusu Wanaume wanaotelekeza familia zao bila kuhudumiaHivi mlishaisoma ile history ya le mutuz mbona alikua anatuma hapo awali miaka hiyo ila baby mama yake akaona ndogo au
umesoma kitabu chake cha maisha ya majuu? amesimulia mambo mengi sana. le mutuz ni mtu aliyepata shida nyingi sana katika maisha, kuanzia kukataliwa na ndugu wote kuanzia mwale malecela na mama yake, yeye ni mtoto wa kambo. akawa anakimbia maisha yake yote. nafikiri hata kwenda majuu alikuwa anakimbia mamake wa kambo ambaye hadi kesho anamtaja kuwa ni adui yake. mwale aliungana na mange hadi uzeeni kumchafua le mutuz, na alikuwa anaogopa asije kuja kurithi mali, ajabu yake yeye ndio katangulia na hatagombania mali na le mutuz. asa, hivi kuna mtu hajui kama le mutuz ni mtoto wa malecela? tena aliyefanana naye sana? kwamba hatapata urithi ikitokea?Sijajua kama jamaa alikuwa anahudumia familia yake, nilichofanya nikutoa tahadhari kuhusu Wanaume wanaotelekeza familia zao bila kuhudumia
Joannah nakupenda kuliko kitu chochote naomba niwe Achraf Hakim wa moyo wako baby ❤Nilijua tu utaniandikia waraka Kama wa mtume Paulo....
Sina haja ya kubishana na mbishi unaebisha kila kitu napenda tu kukuambia punguza kitu kujua...kila Uzi wewe ndio mbishi na unajua kila kitu aaaah sio poa
sema familia ya Lemutuz inatema yai balaa... kasoro ni hayo matusi tu ila ngeli wanatema aiseeSema Boma Liwanza ana akili kisoda...
Cheki alivyoshushuliwa na mtoto....
View attachment 2590634View attachment 2590635
Halafu asivyo na akili eti anamuambia mtoto "Nimefanya hivi baada ya kuombwa"? Kwamba hiyo new chapter haijatoka moyoni mwake...
Mwanae ana akili sana, ndo maana kamjibu "You are so sick in the head"...
Kwani Marekani wanatumia lugha gani!? Mbona unaleta vichekesho!?sema familia ya Lemutuz inatema yai balaa... kasoro ni hayo matusi tu ila ngeli wanatema aisee
Pole nyingi kwake.umesoma kitabu chake cha maisha ya majuu? amesimulia mambo mengi sana. le mutuz ni mtu aliyepata shida nyingi sana katika maisha, kuanzia kukataliwa na ndugu wote kuanzia mwale malecela na mama yake, yeye ni mtoto wa kambo. akawa anakimbia maisha yake yote. nafikiri hata kwenda majuu alikuwa anakimbia mamake wa kambo ambaye hadi kesho anamtaja kuwa ni adui yake. mwale aliungana na mange hadi uzeeni kumchafua le mutuz, na alikuwa anaogopa asije kuja kurithi mali, ajabu yake yeye ndio katangulia na hatagombania mali na le mutuz. asa, hivi kuna mtu hajui kama le mutuz ni mtoto wa malecela? tena aliyefanana naye sana? kwamba hatapata urithi ikitokea?