Kupandikiza watoto chuki siyo kitu sahihi. Le Mutuz kwa hili anaonewa sana, namtetea

Kupandikiza watoto chuki siyo kitu sahihi. Le Mutuz kwa hili anaonewa sana, namtetea

Lemutuz anajikaanga na mAfuta yake mwnyw,

huwez kua baba, kutwa kucha uko mitandaoni unajinadi uko 5star hotel na Wanawake tofaut tofauti daily

afu wanao uko marekani umewatelekeza kwa mama Yao, hujui wamekula nn,wamevaa nn na mitandaoni wanakuona kila siku.

Haya maisha yake ya kujianika ndo sumu aliyojitengenezea mwnyw kwa wanae, asitafute mchawi.


Umesema ukweli kabisa
Wacha avune alichopanda
 
Labda kwa wale ambao tupo JF muda mrefu tunafahamu vizuri William Malecela Le Mutuz na Neema Ngwilulupi walikuwa ni wana ndoa na wanaishi Marekani ni member wenzetu wa hapa JF.

Le Mutuz alishaandika mwenyewe historia ya maisha yake Marekani Kwahiyo Mimi sina cha kuongeza.

Ila nimesikitika sana kuona Neema ni sample ya wanawake wajinga kushirikiana na Mange Kimambi kumdhalilisha Le Mutuz wakati kimsingi aibu inarudi kwa Neema Ngwilulupi mwenyewe mwenye custodian ya kuwalea Watoto kwa kushindwa kuwalea Watoto katika maadili.

Neema Ngwilulupi ni Mtanzania, na tunaojuwa vizuri alipata kazi kwa upendeleo Marekani kwa sababu ya jina la Mzee Malecela, leo hii inakuwaje ameshindwa kulea Watoto ambao ni Watanzania kwa baba na mama ila ni Wamarekani tu kwa kuzaliwa?

Hivi mtoto aliyelelewa kwa maadili anaweza kumjibu baba yake mzazi "Saki my diki"?

Ugomvi wa Le Mutuz na Neema watajuwana wenyewe walishindwana wapi lakini kumshirikisha Mange Kimambi kiumbe aliyeumbwa na roho tu bila kuwa na nafsi hii ni aibu yako mwenyewe Neema Ngwilulupi.

Kwakuwa Neema Ngwilulupi wewe ni member mwenzetu mkongwe hapa JF, nimeona nikufikishie ujumbe wako hapa umechemka, hata kama William ni mjinga kiasi gani kumpelekea Mange WhatsApp text charts za William na Watoto wake hii aibu inarudi kwako mwenyewe mwenye custodian ya Watoto kwa kushindwa kuwalea Watoto katika maadili mema, hao wanao hata wajifanye Wamarekani lakini ni wagogo tu wa Mtera.

View attachment 2590739

Nimemaliza.
Huyo mtoto amepata laana mbaya sana kuliko laana zote unazoweza kupata duniani. Baba yangu nimeshakwaruzana nae vinaya sana. Lakini kutoa matusi mazito hivyo kwa baba aliyekojoa na wewe ndio ukapatikana?! Its unheard of, laana kuu!!

Agapeo umelaaniwa wewe ni kizazi chako chote!!Jesus!!
 
Na wewe unaingia Mkumbo uleule, Kwahiyo mamtoni hakuna Watoto wanaolelewa katika misingi bora?

Kwahiyo mamtoni hakuna Watoto ambao watakuja kuwa wachungaji na masheikh wote ni hawa suck my dick?

Msipotoshe watu, Mimi Nina vijomba vyangu vinaniamkia kabisa shikamoo Anko.

Pamoja wamezaliwa na kukulia mamtoni wanafundishwa how to behave kama Mwafrica.
haahahaa hukusoma vizuri , nimeweka kidokezo sio wote..
 
naona Le Mutuz akimaliza vibaya. naye analiona hilo ingawa ana pretend ana furaha lakini ukwlei hauko hivyo.
huko Istagram kwa mara ya kwanza nimemuona analia kutukanwa na watoto aliowazaa mwenyewe hiyo chart ni genuine sio fake
kama le Mutuz alikuwa na amani na hao watoto angekanusha sio watoto wamemtukana. lakini imejidhiirisha yeye na watoto hawako sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema Boma Liwanza ana akili kisoda...

Cheki alivyoshushuliwa na mtoto....

View attachment 2590634View attachment 2590635


Halafu asivyo na akili eti anamuambia mtoto "Nimefanya hivi baada ya kuombwa"? Kwamba hiyo new chapter haijatoka moyoni mwake...

Mwanae ana akili sana, ndo maana kamjibu "You are so sick in the head"...
Jamaa ni mpumbavu sana na akili za kitoto. Ni kama kuomba kitu au kutongoza mtu, ukikataliwa unasema, "Nilikuwa nakutania." Huyu kichwani ana mtindio.
 
Naona baadhi yetu Wanaume humu tumehuzunishwa na kitendo alichofanyiwa Le Mutuz, ila ni muhimu nasi kujirekebisha na kujitahidi kuhudumia familia zetu ( Being responsible Father).

Kuna wanaume wanatelekeza watoto wao wa kuwazaa na kuwakimbia bila msaada wowote, alafu unategemea huyo mtoto/ watoto akue/ wakue huku akikupenda. Hapo mtakuwa mnajidanganya tu.

Hata kama ningekuwa mimi nisingempenda huyo Baba yangu wa mchongo aliyejua kunikojoa tu bila matunzo.
Hivi mlishaisoma ile history ya le mutuz mbona alikua anatuma hapo awali miaka hiyo ila baby mama yake akaona ndogo au
 
Pamoja na mapungufu ya lemutuz kama baba,ila hakupaswa kutukanwa na huyo mwanae wa kumzaa matusi makubwa hivyo hii inaonyesha huyo mama amefeli kwenye malezi!
Tuliotelekezwa na baba tuko wengi lakini pamoja na drama zote siwezi mtukana baba tusi kama hilo hata iweje mana biblia inasema waheshimu baba na mama upate heri na miaka mingi duniani!
Kwa hilo neema popote ulipo umefeli,
 
Ungemtafuta Neema uongee naye kama unamjua kihivyo na kujali sana familia yake.

Otherwise umeikuta familia inawekana uchi, na wewe ukasambaza zaidi hizo habari mitandaoni.

Mtu mwingine anaweza kuona unafurahia hivi visa huku ukijifanya unasikitika.

You are making a very bad situation worse by spreading this horrible saga further online.

Ukiitwa mwanamme mmbeya siwezi kukutetea.
👏👏👏👏👏👏
 
Nilivoanza kusoma uzi nikahisi tu kuwa atakuwa ni huyo Agapeo ikabidi nirudi juu kuangalia uzi ni wa mwaka gani, huyo hajaanza juzi wala jana kumtukana baba yake huyo huyo Mange alishawahi kupost ishu yao mwaka 2017 au 2018 kama sikosei nikajua walishapatana kumbe bado tu anamtukana, japo Malecela hajielewi lakini Mange naye ni mshenzi sana
 
Ni kweli, ila Neema tuko naye hapa jamvini kitambo, namfikishia ujumbe wake kwa hili hapana, amekosea sana.

Wote tunamjuwa vizuri Le Mutuz humu ni mtu mzima hovyo, lakini Neema kuwalisha Sumu Watoto haikubariki.

Tuna ndugu zetu wamezaa unyamwezini miaka na miaka lakini mtoto anajuwa mpaka shikamoo.

Mbona Wahindi popote wanapozaliwa bado anakuwa ni muhindi yuleyule?

Eti suck my dick, halafu mama mzima unapeleka huu ujinga kwa Mange ili Watoto wako waonekane wasivyo na akili?
Kumbe ndivyo ilivyo nimeiona sehemu hiyo "suck my fucking dick..." Nikajiuliza mtoto anaweza mjini baba yake hivi. Nakashangaa sana. Aisee
 
Nilivoanza kusoma uzi nikahisi tu kuwa atakuwa ni huyo Agapeo ikabidi nirudi juu kuangalia uzi ni wa mwaka gani, huyo hajaanza juzi wala jana kumtukana baba yake huyo huyo Mange alishawahi kupost ishu yao mwaka 2017 au 2018 kama sikosei nikajua walishapatana kumbe bado tu anamtukana, japo Malecela hajielewi lakini Mange naye ni mshenzi sana
Mange ni wakala wa shetani fullstop.
 
Na hapa ndipo anapokosea Le mbebez, unajua ukisoma zile chats, Yule mtoto wa kike anaonekana ana maumivu Makali kuliko mtoto wa kiume? Na hii ni nature watoto wa kike wanapenda Baba zao kuliko wa kiume (refer Freud's theory)....tena binti anaonekana Yuko tayari kuyajenga na Baba yake, na amemueleza kosa lake, amemueleza afanye nini Ili wawe Sawa....Ila ona alichojibu Le mutuz, anazidi kumshambulia msumari WA Moto eti marafiki zao ndo wamemtuma ayamalize na wao, 😳😳 so haitoki moyoni?
Ushauri wangu ni kwamba still ana nafasi Kwa huyo binti yake, ajishushe, apunguze ego isiyo na maana....kingine aachane na haya madrama na mapicha picha, watoto wa kike tuna wivu sana Kwa Baba zetu, aishi low key...huku akitafuta maridhiani plus vizawadi....yaani namhakikishia atakula bata maisha yake yaliyobaki hapa duniani.....aachane na madanga, Kwanza hawara Hana shukrani.
Utajibiwa "ACHA KUPANGIA MAISHA WATU".. BOMA LIWANZA
 
huyu mwanamke wa lemutuz hakuwa mwanamke wa kuolewa kabisa wala kuzaa. sometimes usione watu wanakuwa matasa ukalaumu, Mungu hakupi watoto ili uje uwawekee sumu namna hii. bora angemnyima tu, sasa kuna faida gani kuwa na mtoto anamtukana babake kuwa anyonye nn yake na tusi kubwa kubwa. kama amemtukana hivyo babake, atashindwaje siku moja kukutukana wewe? na kama amemtukana babake hivyo, unafikiri una mtoto hapo au kituko? si bora asingekuwepo kabisa?
 
Sijajua kama jamaa alikuwa anahudumia familia yake, nilichofanya nikutoa tahadhari kuhusu Wanaume wanaotelekeza familia zao bila kuhudumia
umesoma kitabu chake cha maisha ya majuu? amesimulia mambo mengi sana. le mutuz ni mtu aliyepata shida nyingi sana katika maisha, kuanzia kukataliwa na ndugu wote kuanzia mwale malecela na mama yake, yeye ni mtoto wa kambo. akawa anakimbia maisha yake yote. nafikiri hata kwenda majuu alikuwa anakimbia mamake wa kambo ambaye hadi kesho anamtaja kuwa ni adui yake. mwale aliungana na mange hadi uzeeni kumchafua le mutuz, na alikuwa anaogopa asije kuja kurithi mali, ajabu yake yeye ndio katangulia na hatagombania mali na le mutuz. asa, hivi kuna mtu hajui kama le mutuz ni mtoto wa malecela? tena aliyefanana naye sana? kwamba hatapata urithi ikitokea?
 
Sema Boma Liwanza ana akili kisoda...

Cheki alivyoshushuliwa na mtoto....

View attachment 2590634View attachment 2590635


Halafu asivyo na akili eti anamuambia mtoto "Nimefanya hivi baada ya kuombwa"? Kwamba hiyo new chapter haijatoka moyoni mwake...

Mwanae ana akili sana, ndo maana kamjibu "You are so sick in the head"...
sema familia ya Lemutuz inatema yai balaa... kasoro ni hayo matusi tu ila ngeli wanatema aisee
 
umesoma kitabu chake cha maisha ya majuu? amesimulia mambo mengi sana. le mutuz ni mtu aliyepata shida nyingi sana katika maisha, kuanzia kukataliwa na ndugu wote kuanzia mwale malecela na mama yake, yeye ni mtoto wa kambo. akawa anakimbia maisha yake yote. nafikiri hata kwenda majuu alikuwa anakimbia mamake wa kambo ambaye hadi kesho anamtaja kuwa ni adui yake. mwale aliungana na mange hadi uzeeni kumchafua le mutuz, na alikuwa anaogopa asije kuja kurithi mali, ajabu yake yeye ndio katangulia na hatagombania mali na le mutuz. asa, hivi kuna mtu hajui kama le mutuz ni mtoto wa malecela? tena aliyefanana naye sana? kwamba hatapata urithi ikitokea?
Pole nyingi kwake.

Lakini hilo swala la kutohudumia familia yake ni kweli au sio kweli? Iweje watoto wamkatae Baba yao?

Anyways, ndugu wagombanapo tunatakiwa kushika jembe na kwenda Kulima, wakipata tushike kapu tukavune 🥂
 
Back
Top Bottom