Kupandikiza watoto chuki siyo kitu sahihi. Le Mutuz kwa hili anaonewa sana, namtetea

Wewe usingelia? Hata mimi ningelia.., ogipa sana kumfanya baba au mama yako amwage machozi, ogopaaa!!! Huyo ni Mungu wako wa Duniani!

‘Waheshimu baba na mama upate miaka mingi na yenye heri duniani’ , hata kama huamini haya maneno, tumia hata logic tu
 
Nazungumzia mnaomponda William kwenye issues za hao wabebez, yupo sahihi kabisa haijalishi umri, kama anaishi mpweke iwe kaachwa au kaacha whatever ili mradi asumbui watu.

Why?, Issue ya mahusiano ni shida sana hasa ukiwa huna pesa na ukiwa nazo ni simple sana.

Baadhi wanamponda ni either hawana uwezo wa kubeba wabebez na hata ukiweza basi huwezi kushare km willy, vinginevyo tunafahamiana kwa roho mbaya tulizonazo kama waafrika.

 
That's what's up u know hahahahahah.😀😀

Le Mobimba.
 
Basi kama wewe hutaki kuniweka ignore list, mimi nakuweka wewe.

Maana na wewe unanikera sasa kwa kuwa nakukera halafu hutaki kuniweka ignore list unaendelea kunijibu shombo.

Kuanzia hapa sitaona post yako yoyote.
[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ila lemutuz ana deserve matusi.eti badala ya kukubali makosa kwa wanae anasema ni mtu alimuambia aombe msamaha.so it seems yeye mahusiano yake na wanae yalivo ziro hana shida. Kaja na excuse ya kipuuzi sana.acha asuck tu hyo dick ya mwanae
What ur point WTF?
 
Mademu anaochukua huyo jamaa karibu wote ni malaya labda kama wewe ni mgeni mjini.
 
Mama D umenikumbusha movie ya Rambo Last Blood. Kuna scene John Rambo alimwambia binti wake wa kufikia kuwa hakuna kisingizio chochote kwa baba asiyeweza kujali damu yake.. hii kauli ilitokana na binti kung'ang'ania kwenda Mexico kumwona baba yake mzazi ambaye alimtelekeza na kumkataa.. Rambo akawa anamzuia kwenda kwasababu huyo baba hafai ni mtu katili. Binti alilazimisha na alirudi akiwa maiti.
 
Hili tukio sio kabisa hila Bora Tu angepiga Nyeto kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Nasubiria tamko la mwenyekiti wa chama cha kataa ndoa ndugu dronedrake katika hili suala la Lemutuz. Msimamo wa mwenyekiti ndo utakuwa msimamo wangu. ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI dronedrake. 😄
 
Ukishakuwa maarufu kuna gharama zake za kulipa mojawapo ndo hiki unachopinga. Hata wewe Kiranga ukiwa maarufu tutakujadili tu maana hakuna namna. Kuna watu wengi wana matatizo kama ya Lemutuz ila hatujadili kwasababu hatuwajui.
 
Kabisa mkuu amepata bahati ya kuzaliwa wenzake wameteketea wengi sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sema msure wake nae anazngua bhna nmefuatilia account yake anapiga Tu picha na mademu Kwa Umri ule sema dgo ndo kazngua zaidi zaidi

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…