Kupandikiza watoto chuki siyo kitu sahihi. Le Mutuz kwa hili anaonewa sana, namtetea

Kupandikiza watoto chuki siyo kitu sahihi. Le Mutuz kwa hili anaonewa sana, namtetea

naona Le Mutuz akimaliza vibaya. naye analiona hilo ingawa ana pretend ana furaha lakini ukwlei hauko hivyo.
huko Istagram kwa mara ya kwanza nimemuona analia kutukanwa na watoto aliowazaa mwenyewe hiyo chart ni genuine sio fake
kama le Mutuz alikuwa na amani na hao watoto angekanusha sio watoto wamemtukana. lakini imejidhiirisha yeye na watoto hawako sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe usingelia? Hata mimi ningelia.., ogipa sana kumfanya baba au mama yako amwage machozi, ogopaaa!!! Huyo ni Mungu wako wa Duniani!

‘Waheshimu baba na mama upate miaka mingi na yenye heri duniani’ , hata kama huamini haya maneno, tumia hata logic tu
 
Nazungumzia mnaomponda William kwenye issues za hao wabebez, yupo sahihi kabisa haijalishi umri, kama anaishi mpweke iwe kaachwa au kaacha whatever ili mradi asumbui watu.

Why?, Issue ya mahusiano ni shida sana hasa ukiwa huna pesa na ukiwa nazo ni simple sana.

Baadhi wanamponda ni either hawana uwezo wa kubeba wabebez na hata ukiweza basi huwezi kushare km willy, vinginevyo tunafahamiana kwa roho mbaya tulizonazo kama waafrika.

That's what's up u know hahahahahah.😀😀

Le Mobimba.
 
Basi kama wewe hutaki kuniweka ignore list, mimi nakuweka wewe.

Maana na wewe unanikera sasa kwa kuwa nakukera halafu hutaki kuniweka ignore list unaendelea kunijibu shombo.

Kuanzia hapa sitaona post yako yoyote.
[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijawai kujua kama kumuita mtu kwa kabila ni kumnyanyapaa.Yaani mie mtu aniite we mnyakyusa halafu niseme nimenyanyapaliwa hapana kwa kweli,mambo mengine mnayakuza tu...anyways imenibidi niende off point kwani nimepitia comments nikaona nichangie kwenye hilo........
[emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ila lemutuz ana deserve matusi.eti badala ya kukubali makosa kwa wanae anasema ni mtu alimuambia aombe msamaha.so it seems yeye mahusiano yake na wanae yalivo ziro hana shida. Kaja na excuse ya kipuuzi sana.acha asuck tu hyo dick ya mwanae
What ur point WTF?
 
Nazungumzia mnaomponda William kwenye issues za hao wabebez, yupo sahihi kabisa haijalishi umri, kama anaishi mpweke iwe kaachwa au kaacha whatever ili mradi asumbui watu.

Why?, Issue ya mahusiano ni shida sana hasa ukiwa huna pesa na ukiwa nazo ni simple sana.

Baadhi wanamponda ni either hawana uwezo wa kubeba wabebez na hata ukiweza basi huwezi kushare km willy, vinginevyo tunafahamiana kwa roho mbaya tulizonazo kama waafrika.
Mademu anaochukua huyo jamaa karibu wote ni malaya labda kama wewe ni mgeni mjini.
 
Wewe unaujua ukweli!?
Unajua kwamba lemutuz alijitoa ufahamu kuhusu watoto hadi baba yake akaingilia Kati kwamba kama anatofauti na mama watoto awajibike kwa watoto akaendelea kuwa kichwa ngumu!!!???
Asilalamike alipanda sasa avune
Kimbia majukumu ila kumbuka Fainali uzeeni
Mama D umenikumbusha movie ya Rambo Last Blood. Kuna scene John Rambo alimwambia binti wake wa kufikia kuwa hakuna kisingizio chochote kwa baba asiyeweza kujali damu yake.. hii kauli ilitokana na binti kung'ang'ania kwenda Mexico kumwona baba yake mzazi ambaye alimtelekeza na kumkataa.. Rambo akawa anamzuia kwenda kwasababu huyo baba hafai ni mtu katili. Binti alilazimisha na alirudi akiwa maiti.
 
Hili tukio sio kabisa hila Bora Tu angepiga Nyeto kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Nasubiria tamko la mwenyekiti wa chama cha kataa ndoa ndugu dronedrake katika hili suala la Lemutuz. Msimamo wa mwenyekiti ndo utakuwa msimamo wangu. ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI dronedrake. 😄
 
Sijasema Le Mutuz tu, sijasema lisiongelewe.

Nawaeleza hiyo ni dalili ya emptiness.

Ni kama vile watu wameshindwa kusimamia maisha yao, wanafurahi kuona matatizo ya wengine.

Yani mtu mwingine kupata matatizo yakajulikana public inawapa nafuu fulani.

Wanajiona afadhali wao pamoja na matatizo yao yote, hawajadhalilika hivi publicly.

Ni aina fulani ya saikolojia inayoonesha maisha yaliyo very empty.

Watu wengi wako hivyo. Si wewe tu.

Wajerumani wana neno kabisa katika lugha yao kuelezea hili.

Schadenfreude.
Ukishakuwa maarufu kuna gharama zake za kulipa mojawapo ndo hiki unachopinga. Hata wewe Kiranga ukiwa maarufu tutakujadili tu maana hakuna namna. Kuna watu wengi wana matatizo kama ya Lemutuz ila hatujadili kwasababu hatuwajui.
 
Kabisa mkuu amepata bahati ya kuzaliwa wenzake wameteketea wengi sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sema msure wake nae anazngua bhna nmefuatilia account yake anapiga Tu picha na mademu Kwa Umri ule sema dgo ndo kazngua zaidi zaidi

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom