MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Itakuwa Lemutuz aliwapeleka English Medium school... ni hatari aisee.Kwani Marekani wanatumia lugha gani!? Mbona unaleta vichekesho!?
Hao Watoto wamezaliwa Marekani kwa nini wasijuwe lugha na ndio lugha rasmi mpaka mashuleni?