Kupandikiza watoto chuki siyo kitu sahihi. Le Mutuz kwa hili anaonewa sana, namtetea

Ukishakuwa maarufu kuna gharama zake za kulipa mojawapo ndo hiki unachopinga. Hata wewe Kiranga ukiwa maarufu tutakujadili tu maana hakuna namna. Kuna watu wengi wana matatizo kama ya Lemutuz ila hatujadili kwasababu hatuwajui.
Nimeweka mawazo mbadala kwa mujibu wa maoni yangu, yakifuata falsafa ya kushika hamsini zangu, watu maarufu sijipi umuhimu katika maisha yao, kwanza siwajui kihivyo. Mimi nina familia yangu ambayo inahitaji muongozo wangu na sifikiri kujikita kwenye maisha ya watu ambao hawanijui, siwajui, hawajaniomba ushauri, sielewi maisha yao yana utata gani, sifikiri kujikita kwenye maisha yao ni kitu muhimu na chenye tija.

Nafikiri kufuatia sana maisha ya celebrities ni emptiness fulani katika maisha ya mtu.

Ila, kila mtu ana uhuru wa kujiamulia mwenyewe, ndiyo maana watu wengine wanapenda kuwaangalia kina Kardashians, na mimi sijawahi kuangalia hata episode moja.
 
Kumekucha JF new terminology "Mwanamme mbeya"😂
 
Mademu anaochukua huyo jamaa karibu wote ni malaya labda kama wewe ni mgeni mjini.
Sure sipo Dasalama na sihitaji kuwajua ila nazungumzia tabia zetu za kiafrika hapo ndipo mgogoro ulipo.

Kuna time ukiwa mtu mzima na umetendwa as labda Willy unaweza kunielewa but if you're still kinder you can't understand hii ninayosema hapa.
 
Sure sipo Dasalama na sihitaji kuwajua ila nazungumzia tabia zetu za kiafrika hapo ndipo mgogoro ulipo.

Kuna time ukiwa mtu mzima na umetendwa as labda Willy unaweza kunielewa but if you're still kinder you can't understand hii ninayosema hapa.
Jomba wewe ndo RITA ya JF? Yaani unajua umri wa kila mtu hapa?
 
One minute I'm cool, the next minute I'm up on a niqqa, rippin'
That's my style.

I'm a cruddy niqqa, leave you all bloody niqqa, service with a smile
Svck my whaat!!

I'm humbled you know ,American spirit down town in "manhahen" ,Boma Ye, Le mutuz Mobimba Kokobanga Nye nye nye! Boma Liwanza ha ha ha.
 
Mkuu,

Hapa imekuwa kama vile ugomvi wa wanafamilia wewe unaupaisha uenee zaidi mitandaoni.

Mimi nilikuwa sijui habari hizi, nimejua kwako.
Mimi pia nisingejua kama isingekuwa huu uzi. Nafikiri hapa kwenye moto, pamemwagiwa petroli.
 
Sure sipo Dasalama na sihitaji kuwajua ila nazungumzia tabia zetu za kiafrika hapo ndipo mgogoro ulipo.

Kuna time ukiwa mtu mzima na umetendwa as labda Willy unaweza kunielewa but if you're still kinder you can't understand hii ninayosema hapa.
Nakuelewa sana, binafsi kwanza siamini kama hao mademu anaopiga nao Picha huwa anawala si kweli, tuliopo mjini tunajuwa mengi kuhusu hizi show off.

Siku hizi kuna Range Rover za kukodi kuwajambisha watu hata kwa wiki moja.

Kuna maburungutu ya pesa yanakodishwa kupiga nayo Picha kuwarusha akili wajinga wenzako kwenye social networks.

Kuna mademu wanajiita friend with benefit ukitaka kuuza naye sura ni wewe tu ili mradi unamlipa.

Sasa stress alizopitia Le Mutuz Mimi sishangai style ya maisha aliyochaguwa.

Umekosa Upendo kwenye familia uliyozaliwa, then unakosa Upendo kwenye familia yako mwenyewe unadhani what next? Ni bora kulazimisha furaha tu kama Jide.

Hapo sasa haijarishi amechaguwa njia gani hiyo ni juu yake kama anapata furaha kwa hayo mapichapicha then good for him.
 
hakuna mtoto hapo…. Naye kapotea kama mdingi wake tu

Imagine na mama atakuaje

Wafananao ndio warukao pamoja

Inasikitisha sana lakini
 
ila ni muhimu nasi kujirekebisha na kujitahidi kuhudumia familia zetu ( Being responsible Father).
Le mutuz nafikiri alishindwa kuishi marekani labda kwa sababu ya kipato na kuja kuishi shithole countries (usemi WA Trump).Mimi sijawahi ona mtu ambaye maisha yamemshinda tayari huko ughaibuni kutuma pesa Toka Africa kwenda marekani.Nimezoea kuona viceversa.Au uliposema kuhudumia familia ulikuwa na maana Gani?Haihusiani na mpunga?
 
Da Dr Matola, nimejikuta natokwa na machozi. Hiyo laana na ni itakitafuna hicho kizazi cha hao watoto na mama yao. Kulikuwa na namna nyingine ya mtoto kumjibu baba yake. Ila huyo mama kichwa chake kimejaa kamasi.
 
Inaonesha huko ulipo Upo na Msongo wa mawazo! Wenzako tuliliona hilo ndo maana tuliamua kurudi mapema. Joannah msamehe bure ila ujumbe wako kaupata sawia
 
Inaonesha huko ulipo Upo na Msongo wa mawazo! Wenzako tuliliona hilo ndo maana tuliamua kurudi mapema. Joannah msamehe bure ila ujumbe wako kaupata sawia
Bahati mbaya ka niblock😁😁😁anajifanya eti hatoi ushauri kwa watu kwa kuwa hawamuhusu na hawajamuomba ushauri,mbona kaja hapa kumuattack mtoa Uzi huku akitoa ushauri kedekede......mwehu mmoja huyo
 
Bahati mbaya ka niblock😁😁😁anajifanya eti hatoi ushauri kwa watu kwa kuwa hawamuhusu na hawajamuomba ushauri,mbona kaja hapa kumuattack mtoa Uzi huku akitoa ushauri kedekede......mwehu mmoja huyo
Umri wa kukaa ughaibuni kwa Furaha ni kuanzia miaka 0 -50. Baada ya hapo ni mateso na kuwa na Msongo wa mawazo hasa kwa mtu ambaye unakuwa mguu mmoja tz na mwingine ughaibuni, unakuwa frustrated na mpweke kama Kiranga ! Jinsi ya kujikwamua ni kujiunga na kuwa na kijiwe kama JF. Kwa bahati mbaya kutokana na Msongo wa mawazo unakuwa na mitizamo hasi! Uha ndipo unaukaribisha! Nimeipenda analysis yako. Ughaibuni ni pahala pa kuchuma si pa kumalizia maisha yako
 
Hivi mlishaisoma ile history ya le mutuz mbona alikua anatuma hapo awali miaka hiyo ila baby mama yake akaona ndogo au
Raia wa humu ndani ukiwapa tu kichwa Cha hbar UmemaliZa wachache sna wanaoweza kutafakar Kwanza na kujiuliza kwanini iko hv kabla hajachangia nakubali aina ya maisha anayoishi Lodolofa co mfno mzur kw umri wke hta kdgo lkn kuhusu inshu ya familia yke raia wajifunze kutaka ukwl kabla ya kuchangia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…