Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
- Thread starter
- #381
Anayefurahishwa na huu Ubuyu ni Neema na analipwa cash money na Mange kama hujui tukujuze.Hii ni gia ya kusambaza ubuyu tu, watu wanataka ubuyu kwa gia ya kujifunza.
Watu wanafurahia kupata ubuyu, acheni kutumia hii pretence ya kujifunza.
Hapa ni sawa na mtu aliyekuta connection ya picha za ngono imevuja, halafu anaisambaza kwa gia ya kujifunza.
Kwa kuvujisha hizi screenshots kwa Mange Neema amekunja wastani wa pesa taslimu million 10 mpaka 20 kutoka kwa Mange.
Wewe ndio upo gizani huna unalolijuwa zaidi ya kupayuka tu.
Schadenfreude Mange Kimambi anaishi Beverly hills kwa pesa za umbea huu huu anaoununuwa kwa kina Neema Ngwilulupi.
Sisi tunazama deep tuna kwenda kwenye shina ili kukomesha hii tabia.