Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
- Thread starter
-
- #381
Anayefurahishwa na huu Ubuyu ni Neema na analipwa cash money na Mange kama hujui tukujuze.Hii ni gia ya kusambaza ubuyu tu, watu wanataka ubuyu kwa gia ya kujifunza.
Watu wanafurahia kupata ubuyu, acheni kutumia hii pretence ya kujifunza.
Hapa ni sawa na mtu aliyekuta connection ya picha za ngono imevuja, halafu anaisambaza kwa gia ya kujifunza.
Huna haja ya Kumuogopa Mungu wala Sisi, ogopa tu hivyo vitoto vyenu mnavyovilea vibaya Hadi Vinataka muwasaki....Mimi simuogopi Mungu, itakuwa mtu?
Nyie ndio wale wale mkimsoma mtu JF mshajiwekea ukaribu kwamba mnamjua.
Do not flatter yourself, you do not posses the lowest required wattage to worry me.
Wewe ni mwanamme mmbea tu, any way you cut it.Anayefurahishwa na huu Ubuyu ni Neema na analipwa cash money na Mange kama hujui tukujuze.
Kwa kuvujisha hizi screenshots kwa Mange Neema amekunja wastani wa pesa taslimu million 10 mpaka 20 kutoka kwa Mange.
Wewe ndio upo gizani huna unalolijuwa zaidi ya kupayuka tu.
Schadenfreude Mange Kimambi anaisha Beverly hills kwa pesa za umbea huu huu anaoununuwa kwa kina Neema Ngwilulupi.
Sisi tunazama deep tuna kwenda kwenye shina ili kukomesha hii tabia.
Hapana ndugu.....Hii ni gia ya kusambaza ubuyu tu, watu wanataka ubuyu kwa gia ya kujifunza.
Watu wanafurahia kupata ubuyu, acheni kutumia hii pretence ya kujifunza.
Hapa ni sawa na mtu aliyekuta connection ya picha za ngono imevuja, halafu anaisambaza kwa gia ya kujifunza.
Ushajifanya unanijua kihivyo, hao watoto ulinizalia wewe?Huna haja ya Kumuogopa Mungu wala Sisi, ogopa tu hivyo vitoto vyenu mnavyovilea vibaya Hadi Vinataka muwasaki....
You just like to watch a car wreck, haya mengine mafunzo kama hujafunzwa na familia yako utafunzwa na umbea wa mitandaoni wewe?Hapana ndugu.....
Inawezekana ikaonekana kama ambavyo unaona wewe lakini ndani yake kuna funzo kubwa.....ndani yake tunapata kuona namna migogoro ya kifamilia inavyochangia kuzorotesha kama sio kuua kabisa mahusiano ya familia.........
Tunaweza kujifunza mambo ya kifamilia yanatakiwe yamalizwe na wahusika wa familia wakiwa na lengo la kujenga siyo kuyatoa public kwa lengo la kudhalilishana......
Pia vijana watapata kujifunza kugombana na mwenza wako hakukufanyi wewe kutokuwa baba Bora Kwa watoto wako kwa kutimiza wajibu wako kama baba........
Tunapata kujifunza vijana wanatakiwa kuwa makini na kuchagua wake wa kuoa maana mke ndio msiri na msitiri wako........
Yapo mengi ya kujifunza na yenye katika haya malumbano unayoyatazama kama umbea
Hapa ndio unaniangusha sana, mbona Mimi binafsi nimejifunza vingi kwako?You just like to watch a car wreck, haya mengine mafunzo kama hujafunzwa na familia yako utafunzwa na umbea wa mitandaoni wewe?
Sasa unalinganisha posts zangu hapa na umbea wa kuokoteza kwa Mange Kimavi?Hapa ndio unaniangusha sana, mbona Mimi binafsi nimejifunza vingi kwako?
Sikufunzwa na familia wala shuleni, lakini kuwepo kwangu JF nimejifunza vingi, post zako nyingi zimenifunza mengi pia.
Kwahiyo hapa unaleta ligi isiyokuwa na mantiki yoyote.
Familia Ina nafasi yake na jamii Ina nafasi yake....You just like to watch a car wreck, haya mengine mafunzo kama hujafunzwa na familia yako utafunzwa na umbea wa mitandaoni wewe?
Mange haokotezi umbea, ni watu wanamuuzia na ananunuwa kwa cash.Sasa unalinganisha posts zangu hapa na umbea wa kuokoteza kwa Mange Kimavi?
Real Gs hawana muda wa kueneza umbea wa kuhusiana na matatizo ya familia za watu wasiowajua.
In the hood you could get smoked for some shit like that.
Kama unajifunza kitu kwangu, jifunze hilo.
Nakwambia hivi, hapa mmekosea kanuni zote.Familia Ina nafasi yake na jamii Ina nafasi yake....
Inaweza familia yako ikawa ni yenye kukupoteza lakini jamii ikakuokoa.....
Wapo watu wanatokea kwenye familia za kishenzi lakini jamii zinawajenga na kuwafanya kuwa watu bora........
Ubora au utimamu wa mtu unachagizwa na familia anayotoka na jamii iliyomzunguka.......
Wewe hata huyo Mungu humuamini yupo.Mange haokotezi umbea, ni watu wanamuuzia na ananunuwa kwa cash.
Hili la Neema ni yeye mwenyewe ndio ameuza contents kwa Mange na amelipwa cash hili hakuna ubishi, sasa hapo unanilaumu vipi?
Mwisho huwezi kunipangia au kunishauri nijifunze nini kwako Mimi ni mtu mzima najuwa jema na mbaya, najuwa vitu vizuri vya kujifunza kutoka kwako.
Mimi naamini Mungu yupo lakini wewe huamini Mungu yupo, hapo sina la kujifunza kutoka kwako, Mimi naamini Ukristo wewe utaleta vitabu vya dini ya kibudha na kihindu hapo nipo tayari kujifunza kujuwa zaidi kuhusu dini.
Kwahiyo hata kwenye hizi social affairs baki na msimamo wako na Mimi nitabaki na msimamo wangu.
HakikaNakwambia hivi, hapa mmekosea kanuni zote.
Mmekosea kanuni za puritanism, halafu mmekosea kanuni za gansters wa kitaa.
Kwenye kanuni za puritanism, mtu mzima anazima, hawashi.
Yani, ukikuta familia ina mifarakano, kitu cha kwanza ni kutoongeza matatizo yawe makubwa, kutofanya matatizo yasambae na kujulikana zaidi. Baada ya hapo, unajitahidi kusuluhisha, kupatanisha. Lakini, kama huwezi kupatanisha, at least you don't make the situation worse, you don't spread the poison further, you don't pour petrol to the fire.
Alichofanya Matola ni kashindwa ku reach out, kashindwa kusuluhisha, fine, lakini, he is making the matter worse, kashindwa kukaa na hamsini zake asisambaze huu mgogoro mbali zaidi, kaueneza kutoka kwa Mange kuja JF watu wengi zaidi washuhudie, kimbea tu.
Kwa hivyo kwenye kanuni z apuritanism kashindwa.
Kwenye kanuni za ma gangsters kitaa, watu usiowajua hujiingizi katika matatizo yao, period. Hujiwekei umuhimu wa kwamba watu wanahitaji mafunzo yako na ushauri wako wakati hawajakuomba.
You could get smoked for some shit like that in the streets.
Any way you cuth this, ni umbea tu usio na tija.
Kibongo bongo huyo dogo angechezea makofi kutoka kwa kaka wajomba dada shangazi baumbu jirani asiowajua !yaani angeona tu dunia nxima inamwadhibuKitanzania ni aibu na pia Inasikitisha sana kuona mtoto anamtukana mzazi tusi kubwa hivyo.
Ila kwa malezi ya sasa ya kimtandao...wala haishangazi.
Tutegemee makubwa zaidi kwa siku zijazo.
Uko positive, na ndio maana ukisoma post zangu zote huwezi kuona nikimshutumu yule binti yake ingawa wote hawana adabu lakini at least wa kike alikuwa selective kwenye reply language, maana thread hii imemgusa zaidi mtoto wa kiume na mama yao kwenda kumuuzia Mange hizi screenshots ambalo nina uhakika Mange amenunuwa kwa bei ndefu.Hakika
Hatutakiwi kujiingiza kwenye mambo ya watu lakini pia tunaweza kujifunza kupitia mambo ya watu ili kunufaika au kujifunza kupitia hayo mambo ya watu........
Mimi nadhani content ya bwana ni namna ambavyo kijana kamkosea adabu baba yake......
Matatizo na malumbano ni sehemu ya maisha kwenye mambo ya kifamilia lakini hayafahamiki kwa kuwa wanafamilia wameamua kujenga baada ya kubomoa........
Wanafamilia wanapoamua kuyatoa mambo yao nje na kudhalilishana sisi walimwengu hatuna cha kufanya zaidi ya kushangaa, kujifunza na kuwahurumia kwani anguko la kifamilia ni anguko baya.......
Sasa mtu aliyeondoka na dola 1000 marekani ndio utegemee atume pesa ya matumizi marekani?Kwa kazi gani anayofanya Afrika?Alisema mwenyewe kakimbia baada ya kuona kesi nyingi na hela yake inapigwa tu na mama watoto kila mwezi akaamua kurudisha majeshi.
Kadai karudi na dola 1000 tu kipindi hicho..
Alikua member Active humu na mkewe sana tu.
Mpk anarudi alisema hapa jukwaani.
Hao watoto wanachuma laana sababu ya ujinga wa anayewalea.Ni kweli, ila Neema tuko naye hapa jamvini kitambo, namfikishia ujumbe wake kwa hili hapana, amekosea sana.
Wote tunamjuwa vizuri Le Mutuz humu ni mtu mzima hovyo, lakini Neema kuwalisha Sumu Watoto haikubariki.
Tuna ndugu zetu wamezaa unyamwezini miaka na miaka lakini mtoto anajuwa mpaka shikamoo.
Mbona Wahindi popote wanapozaliwa bado anakuwa ni muhindi yuleyule?
Eti suck my dick, halafu mama mzima unapeleka huu ujinga kwa Mange ili Watoto wako waonekane wasivyo na akili?
Hapo hata mimi sikuelewa, so ni kwamba hatumi.Sasa mtu aliyeondoka na dola 1000 marekani ndio utegemee atume pesa ya matumizi marekani?Kwa kazi gani anayofanya Afrika?
Umaskini upi??am not poorWewe mleta mada umaskini wako umekuvuruga