Kupandikiza watoto chuki siyo kitu sahihi. Le Mutuz kwa hili anaonewa sana, namtetea

Lakini, siku hizi Kuna 'whatsapp chart generators' , isijekuwa huyo Mange katumia technology hiyo.

Najaribu kutafuta innocence ya mtoto wetu.

Naona kama mange kimavi katengeneza charts za mchongo!
Hapa duniani hakuna mtu aliyekuwa anamuheshimu huyo Mange kumzidi Dada yake Le Mutuz Dr Mwele R.I.P.

Kwahiyo sina shaka yoyote hizi chart ni genuine na amepewa na Neema Ngwilulupi.
 
Yani unamtukana baba yako halafu unamblock.

Nani mwenye access na simu ya huyu mtoto? Hivi habari ufikishe kwa Kigagula Mange mwenye followers sijui million 10 kuna siri gani tena hapo?
Ungemtafuta Neema uongee naye kama unamjua kihivyo na kujali sana familia yake.

Otherwise umeikuta familia inawekana uchi, na wewe ukasambaza zaidi hizo habari mitandaoni.

Mtu mwingine anaweza kuona unafurahia hivi visa huku ukijifanya unasikitika.

You are making a very bad situation worse by spreading this horrible saga further online.

Ukiitwa mwanamme mmbeya siwezi kukutetea.
 
Mkuu,

Hapa imekuwa kama vile ugomvi wa wanafamilia wewe unaupaisha uenee zaidi mitandaoni.

Mimi nilikuwa sijui habari hizi, nimejua kwako.
Ingekuwa ugomvi WA kifamilia Kama wangetukanana sebuleni kwao huko yakaishia huko, Ila kuvujisha zile chats kusudi, tena sio kuvujisha, kuzipeleka makusudi Kwa Mange, sio ugomvi wa kifamilia tena....
Acha tuingilie pa kukanya tukanye, jamani Sisi wote ni wazazi au wazazi watarajiwa, tena hatuijui kesho yetu na wazazi wenza wetu, Le mutuz kakosewa....sio Kwa Ile mitusi hasa ya Yule mtoto wa kiume.
 

Inatuhusu nini si wa Yanga wenye majonzi?
 
Ningeelewa sana comment hii ingeandikwa na mtu mwingine lakini siyo wewe.

Unamjuwa Neema vizuri iwe individual au kupitia hapa JF,

Bahati nzuri Bill ameelezea kwa ufasaha historia yake ya maisha Marekani, nampongeza kwa kuandika historia yake yeye mwenyewe na siyo kuandikiwa.

Inawezekana kutokana na mitkasi ya maisha basi hujui vingi na hata ukupata muda wa kumsona Willy.

Mwisho sihitaji utetezi wako, kuitwa umbea kwenye fact kwangu sioni tatizo lolote.

Saki my diki.
 
Asantee (in Anna Makinda voice)
 
Ugomvi ni wa baba mama na watoto.

Ni wa familia. Wengine mnajiingiza tu katika ugomvi wa familia.
 
Wewe umekuwa mmbea.

Ugomvi wa familia kati ya baba mama na watoto unaueneza mitandaoni.

Waache wenyewe wagombane kifamilia, watapatana kifamilia.
 
Ugomvi ni wa baba mama na watoto.

Ni wa familia. Wengine mnajiingiza tu katika ugomvi wa familia.

Sent from my SM-S908U1 using JamiiForums mobile app
Yani ugomvi wa Familia mkagombanie Instagram? Halafu eti mediator ni Kigagula Mange Kimambi?

Sielewi kwa nini huoni makosa ya Neema kuleta hili swala kwa mtu ambaye ni enemy wa furaha za watu wengine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…