Kupandikiza watoto chuki siyo kitu sahihi. Le Mutuz kwa hili anaonewa sana, namtetea

Kupandikiza watoto chuki siyo kitu sahihi. Le Mutuz kwa hili anaonewa sana, namtetea

Yani ugomvi wa Familia mkagombanie Instagram? Halafu eti mediator ni Kigagula Mange Kimambi?

Sielewi kwa nini huoni makosa ya Neema kuleta hili swala kwa mtu ambaye ni enemy wa furaha za watu wengine?
Mkuu achana nae huyo,usipoteze muda kuhangaika nae,hua anajifanya mjuaji wa kila jambo,hiyo issue kama tayari ipo mitandaoni utasemaje tena kua inasambazwa?

Hao watoto wanaomtukana hivyo Baba yao wana umri gani?
 
Inawezekana na wewe kuishi muda mrefu Marekani umeshapata American effect.

Waleeni Watoto wenu katika maadili ya Kitanzania.

Mimi Nina vianko vyangu vimezaliwa Marekani lakini vinaniamkia shikamoo.

Acha kutetea ujinga, tena huyo Neema hiyo kazi mpaka anakwenda Marekani ni influence ya Mzee Malecela na alipendelewa tu, hakuwa na sifa.
Bottom line unajipa umuhimu usiokuwa nao katika maisha ya watu ambao hata hawakujui kihivyo.

Yani wewe kichwani mwako umejijengea ukaribu mkubwa sana na hawa watu kwa kuwasoma mitandaoni, ukajiona kama unawajua saaana.

Wakati kiuhalisia huwajui kihivyo, unajipa umuhimu tu katika maisha yao.

They are living rent free in your head.

Waswahili hawakuwa wajinga waliposema "Ndugu wakigombana, shika jembe ukalime. Wakipatana, chukua kapu ukavune".

Watu walishaona kuingilia ugomvi wa ndugu ni ujinga siku nyingi mpaka wakatunga methali!
 
Watanzania wengi kama wewe ni mabingwa wa kutoa ushauri ambao hawajaombwa, kwa watu wasiowajua, kwenye mambo ambayo hawayafahamu.

Wana nyege sana za kufuatilia mambo ya watu, wakati wao wenyewe mambo yao yamewashinda.

Hii inatokana na u busybody fulani wanaojipa, wanajipa umuhimu ambao hawana.

Wewe bila shaka unafurahia hizi habari, kwa schadenfreude.

Usingefurahia ungeona vibaya kuzisambaza.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]daaah
 
Yaani Mimi ananichosha Sana huyu mtu,anahisi anajua kila kitu kumbe hajui
Unaweza kuniweka ignore list usione kabisa post yoyote ninayoandika ili nisikuchoshe tena.

Click jina langu, click ignore.

Kuanzia hapa nikikuchosha ni kosa lako.

Maana nishakuelekeza cha kufanya usione post yangu yoyote.

Ila huwezi kunizuia nisijieleze ninavyojisikia.

Mimi kuna watu wamenichosha hivyo hivyo, nimewaweka ignore list sasa hivi sioni posts zao.

Very effective way to deal with that issue.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]daaah
Naongopa mkuu?

Halafu hao hao ndo utakuta wanakuhubiria dini wewe usiye na dini.

Na dini zao wanasema zimekataza kusengenyana, zimekataza fitna na umbeya. Zinahimiza kueneza habari za kujengana, si kubomoana. Wanasema zinahimiza kufadhiliana na kuhifadhiana.

Halafu wewe mtu usiye na dini ndiye unakuwa mtu wa kuwaambia hapa mnaeneza fitna, hapa mnaeneza umbeya.

Yani mtu usiye na dini ndiye unafanya kama wanavyotakiwa kufanya wenye dini, wenye dini wanaeneza fitna na umbeya.
 
Nilijua tu utaniandikia waraka Kama wa mtume Paulo....
Sina haja ya kubishana na mbishi unaebisha kila kitu napenda tu kukuambia punguza kitu kujua...kila Uzi wewe ndio mbishi na unajua kila kitu aaaah sio poa
Nimekwambia niweke ignore list usione post zangu kabisa.

Ukishindwa hilo na kuendelea kunijibu jibu nitajua unanipenda tu.
 
..
Hayawahusu lolote, mnajipa umuhimu msiokuwa nao katika maisha ya watu ambao hata hawawajui na wala hawajawaomba ushauri.

Hii ni tabia ya masikini wasiokuwa na shughuli wala ubunifu wa kutumia muda wao vizuri.

Having said that, I think I have said all I want in this thread.
Hii ni tabia ya Kitanzania, ndo Mila zetu ndo tulivyokuzwa....umesahau huku kwetu ukikosea hata uwe na midevu unatandikwa fimbo na wazee mbele ya nzengo? Huku suala la maadili ni la wote....au toka uende ughaibuni umesahau mila zetu? Ndo maana vitoto vyenu vinawatukana wazazi wao saki mai diki🤣🤣🤣
Never uproot pumpkin in your household....tunatunza Mila zetu za Kitanzania.
 
Unaweza kuniweka ignore list usione kabisa post yoyote ninayoandika ili nisikuchoshe tena.

Click jina langu, click ignore.

Kuanzia hapa nikikuchosha ni kosa lako.

Maana nishakuelekeza cha kufanya usione post yangu lolote.

Ila huwezi kunizuia nisijieleze ninavyojisikia.

Mimi kuna watu wamenichosha hivyo hivyo, nimewaweka ignore list sasa hivi sioni posts zao.

Very effective way to deal with that issue.
Sina haja ya kukuweka ignore list,kukusoma kitu kujua Kama wewe kunatupa muda wa kushangaa malimwengu ya pale mtu anaehisi anajua kila kitu kumbe hajui.

Sio kwa ubaya lakini,nakushauri Kama Mtanzania mwenzio tafuta daktari mzuri wa afya yako ya akili huenda Kuna shida mahala,maana si kwa ubishi huo na ujuaji huo!yaani unajua kuliko hata kina Aristotle wenyewe Cha ajabu huna ulichovumbua mpaka sasa
 
..
Hii ni tabia ya Kitanzania, ndo Mila zetu ndo tulivyokuzwa....umesahau huku kwetu ukikosea hata uwe na midevu unatandikwa fimbo na wazee mbele ya nzengo? Huku suala la maadili ni la wote....au toka uende ughaibuni umesahau mila zetu? Ndo maana vitoto vyenu vinawatukana wazazi wao saki mai diki[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Never uproot pumpkin in your household....tunatunza Mila zetu za Kitanzania.
Hizo mila ndizo zinawafanya muwe masikini.

Badala ya kufuatilia mambo yenu mnatoa mimacho kwa mambo ya wenzenu.

Hizi ni tabia za kijima.
 
Nimekwambia niweke ignore list usione post zangu kabisa.

Ukishindwa hilo na kuendelea kunijibu jibu nitajua unanipenda tu.

Sent from my SM-S908U1 using JamiiForums mobile app
Kwani Nina Sababu gani za kukuchukua mtu nisokujua? Nakupenda ndio Kama binadamu mwenzangu sema tabia yako ya ujuaji lazima ikemewe......kila Uzi nikipita nakuta unabishana au inahitaji tukupe kombe wewe?
 
Yani unamtukana baba yako halafu unamblock.

Nani mwenye access na simu ya huyu mtoto? Hivi habari ufikishe kwa Kigagula Mange mwenye followers sijui million 10 kuna siri gani tena hapo?

Sawa mkuu alichofanya huyo Mama sio sahihi na Kwa vile umeshakua ugomvi wa kifamilia, Kiranga sio kwamba anatetea au kusema mambo Yako shwari, la hasha. Kama nimemwelewa vizuri na nnavyofikiria Mimi, tungewaachia wakapambana nalo wenyewe hukohuko.

Na kama kweli lengo ni kumfikishia ujumbe mwanachama mwenzetu wa JF, ungeweza kumwandikia peke yake nabila shaka angeona kweli Kuna Nia ya dhati ya kurekebisha na kukosoa Kwa staha. Lakini hii ya kuja kumwaga hapa ni kama umesaidia ipasavyo kazi ya hao hao unaowalaumu.

Mwisho wa siku hapa JF Kila mmoja ana mambo yake mengi na tuna watu wa kaliba zote na uchafu wa Kila aina, ukisema uhangaike na members wenzetu hapa utakuta unapoteza muda wako wa muhimu na usipate matokeo unayoyataka Kwa hao watu.

Unatarajia kweli huyo Mama atabadilika Kwa huu Uzi?
 
Sina haja ya kukuweka ignore list,kukusoma kitu kujua Kama wewe kunatupa muda wa kushangaa malimwengu ya pale mtu anaehisi anajua kila kitu kumbe hajui.

Sio kwa ubaya lakini,nakushauri Kama Mtanzania mwenzio tafuta daktari mzuri wa afya yako ya akili huenda Kuna shida mahala,maana si kwa ubishi huo na ujuaji huo!yaani unajua kuliko hata kina Aristotle wenyewe Cha ajabu huna ulichovumbua mpaka sasa
Basi kama wewe hutaki kuniweka ignore list, mimi nakuweka wewe.

Maana na wewe unanikera sasa kwa kuwa nakukera halafu hutaki kuniweka ignore list unaendelea kunijibu shombo.

Kuanzia hapa sitaona post yako yoyote.
 
Back
Top Bottom