Kupandikiza watoto chuki siyo kitu sahihi. Le Mutuz kwa hili anaonewa sana, namtetea

This generation especially vijana talk with their mouth but their hearts are far from God.
 
Kama mtoto maisha yake yote kakulia states huo ugogo unabaki jina tu
Nakwambia hivii, Wabongo kwa kujifanya wanawajua watu utawaweza?

Yani mtu anaweza kumuongelea Le Mutuz utafikiri wanakaa naye nyumba moja.

Kumbe hata kumuona hajawahi, anamsoma mitandaoni tu.

Historia ya matatizo ya familia yake haijui, ukimpa picha tu anakupa habari yoote!
 
Wewe lea watoto wako. Angalia familia yako.

Kuna Watanzania mamilioni na mamilioni, utawafuatilia wangapi?
Hapa umesema kweli,yaani mtu anamuanzishia thread mama wa watu.Halafu si angemfuata DM?Hivi unamuanzishia thread single mother,hujui hata kachakarikaje kulea wanae tena New-York. Sehemu ambayo ni ngumu,maana mtoto anaweza jikuta kwenye dimbwi la kuwa mvutaji madawa,akaishia getho nk.
 
Akili zikipitiliza zinazaa ujinga ndio kitu kinakusumbuwa Wewe.

Mfano Mimi ni mzazi hata ikitokea nikakengeuka lakini siwezi kutembea Ki mapenzi na mwanafunzi, nasimama kama mzazi sipendi binti yangu pia afanyiwe hivyo.

Sasa wewe unakopi maisha ya Marekani na kuyapaste Tanzania haiwezekani.

Wewe unaishi kwenye ambayo mtoto wa kiume kubinuliwq ni haki yake, lakini Tanzania hakuna mzazi wa kukubaliana na hilo.

Kwahiyo usiige sana uzungu, sisi ni Waafrica na tuna mila na desturi zetu.
 
Akili zikipitiliza zinazaa ujinga ndio kitu kinakusumbuwa Wewe.

Mfano Mimi ni mzazi hata ikitokea nikakengeuka lakini siwezi kutembea Ki mapenzi na mwanafunzi, nasimama kama sipendi binti yangu pia afanyiwe hivyo.

Le Mutuz hakujui wala hajali unachoandika hapa.

Wewe sema unafurahia ubuyu tu.
 
Hapa umesema kweli,yaani mtu anamuanzishia thread mama wa watu.Halafu si angemfuata DM?Hivi unamuanzishia thread single mother,hujui hata kachakarikaje kulea wanae tena New-York. Sehemu ambayo ni ngumu,maana mtoto anaweza jikuta kwenye dimbwi la kuwa mvutaji madawa,akaishia getho nk.
Unaropoka tu mambo usiyoyajuwa, Neema ameolewa kitambo tu unamuita vipi single mother?

Mange anawapotosha sana.
 
Akili zikipitiliza zinazaa ujinga ndio kitu kinakusumbuwa Wewe.

Mfano Mimi ni mzazi hata ikitokea nikakengeuka lakini siwezi kutembea Ki mapenzi na mwanafunzi, nasimama kama sipendi binti yangu pia afanyiwe hivyo.

Sasa wewe unakopi maisha ya Marekani na kuyapaste Tanzania haiwezekani.

Wewe unaishi kwenye ambayo mtoto wa kiume kubinuliwq ni haki yake, lakini Tanzania hakuna mzazi wa kukubaliana na hilo.

Kwahiyo usiige sana uzungu, sisi ni Waafrica na tuna mila na desturi zetu.
Tatizo lako wewe unasema Neema kapandikiza chuki,ushahidi wako ni kutoka kwenye kitabu cha lemutuz. Una uhakika gani le Mutuz anasema kweli ?Acha kuhukumu mama wa watu wakati hata hujui aliishije kabla,pendant na baada ya Lemutuz kwenye life lake.
"Until the Lion tells his own side of the story,the tale of the hunt will always grolify the Hunter."
 
Na hapo ndipo point yangu ya watu kujipa umuhimu wasio nao, katika mashauri wasiyoyajua, kuhusu watu wasiowafahamu, wakati hawajaombwa hata ushauri, inapokuja.

Umbea mtupu!
 
Tatizo lako wewe unasema Neema kapandikiza chuki,ushahidi wako ni kutoka kwenye kitabu cha lemutuz. Una uhakika gani le Mutuz anasema kweli ?Acha kuhukumu mama wa watu wakati hata hujui aliishije kabla,pendant na baada ya Lemutuz kwenye life lake.
"Until the Lion tells his own side of the story,the tale of the hunt will always grolify the Hunter."
Nilidhani unakuja na hoja kwamba, Willy amedanganya hiki na hiki kumbe unaleta porojo tu wakati Neema mwenyewe yupo hapa JF na ana back up account.

Dogo ashakuwa gangster mama yake anamuona kidume [emoji1]

Achraf Hakimi ni man of the year.

Never trust women(kama sio mama Yako)

Mwanamke ni kumbe ambaye hapaswi kuonewa huruma hata chembe. (Jichanye uone).
All women are DEVILS.

Only your mother is not devil to you, But she is a devil to your father.

Take it to the world.
 
Ni kweli, ila Neema tuko naye hapa jamvini kitambo, namfikishia ujumbe wake kwa hili hapana, amekosea sana.

Wote tunamjuwa vizuri Le Mutuz humu ni mtu mzima hovyo, lakini Neema kuwalisha Sumu Watoto haikubariki.

Tuna ndugu zetu wamezaa unyamwezini miaka na miaka lakini mtoto anajuwa mpaka shikamoo.

Mbona Wahindi popote wanapozaliwa bado anakuwa ni muhindi yuleyule?

Eti suck my dick, halafu mama mzima unapeleka huu ujinga kwa Mange ili Watoto wako waonekane wasivyo na akili?
Kuna Uzi humu unasema "mama kwanza". Sisi watu wazima tukiwashauri vijana wasijenge chuki kwa baba zao na kuwaona km siyo wazazi hawataki kuskia. Wanasimamisha hadi mishipa ya shingo kusema "hakuna km mama" bila kujua hiyo ni sumu waliyolishwa na mama zao kwa chuki zao binafsi. Kizazi Cha namna hii ni hatari. Ebu ona kwa Le Mutuz, mtoto anamwambia "suck my dick". Hapa unaoona sumu na chuki iliyopandikizwa kwa watoto inavyoharibu watoto, na wakija hapa jf utawaskia wanasema "mama kwanza/nani km mama". Huu ni msiba mkubwa kwa vijana wasiojitambua.
 
Nilidhani unakuja na hoja kwamba, Willy amedanganya hiki na hiki kumbe unaleta porojo tu wakati Neema mwenyewe yupo hapa JF na ana back up account.

Ongea nae PM basi.
 
Ila le mubebez amapaswa kubadilika sana. Ni mgonjwa yule lkn kila siku kujisifia yupo five star hotel namadem tofauti!

Kila siku ana madem tofauti na lazima awapige picha na kuwaleta insta kutamba!! Sijui anawalipa bei gn anawalala na kuwapiga picha wanakubali

Hivi mtu mwenye ugonjwa kama wake na umri huo ni wakuhangaika na madem kweli? Kila siku kujisifu yupo five star na mademu!!

Sina chuki nae ila inashangaza sana huyu mzee anazeeka vibaya
hivi kwenye ugonjwa wake utakapochachamaa nani atamlea na huku wanawake alionao ni wa Instagram ambao kimsingi kwenye matatizo ya mtu hawapo. wana kauli zao "ana mke wake"
Le Mutuz afikiri sana hilo asidhani alivyo leo ndivyo atakavyokuwa kesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilidhani unakuja na hoja kwamba, Willy amedanganya hiki na hiki kumbe unaleta porojo tu wakati Neema mwenyewe yupo hapa JF na ana back up account.

Sasa kama Neema yupo JF na wewe unajali sana mambo ya familia yake, kwa nini hukumtafuta directly umpe mawaidha yako?

Kwa nini ukaona umuhimu wa kuanzisha thread?

Kuna Watanzania mamilioni wana dysfunctional families, utawaanzishia threads wangapi leo?

Wewe mwenyewe ya familia yako umeyamaliza?
 
Chanzo ni yeye mwenyewe
Mume au mke Ukimshindwa mwanamke au mwanaume hakikisha unawajibika kwa watoto wako. Uspofanya hivyo ndo hayo sasa

Ila nawaonea huruma hawa watoto maana washapoteza baraka zao toka Mungu. Baraka za Mungu zinapita kwa baba mzazi ndio zishuke kwa mtoto
Hakuna baraka za mzazi mzembe..

Hizo ni illusion na nadharia za kiimani na kidini.
 
Back
Top Bottom