Kupandishwa vyeo, mishahara na mengineyo: Watumishi wa umma mna maoni gani?

Uzuri namba inasomeka kwa wote hata kwa wanalumumba nako msoto ni uleule pamoja na kujifaragua kumusifia kwa kumuimbia mapambio lakini msoto ni uleule na wanamsifu ni kwa ajili ya kusukuma siku ifike kipindi cha uchaguzi ufike watupiwe tumashati twakijani na tusuruali twakijani, tukhanga twakijani na tutambaa twakijani maisha yasonge mbele lakini wote ni kilio cha mbwa koko aliyekosa mtetezi.
 
Kama mtu anampigia mtu kura kwakuwa amepewa buku 5 , T-shirt na kofia huyo ni kichaa
 
Bonde la Baraka,
Kusubiria miradi ikamilike ni uthibitisho wa hela hakuna wanavopenda sifa wangeshaongeza siku nyingi. Hasa walimu na mapolisi ndio uwaponza watumishi wengine, hivi unasaidia vipi wizi wa kura hali we ndie utakayethirika na utawala mbovu
 
Japokuwa andiko lako kulielewa inabidi ufanye ibada ya maono kwanza.

Ila ni kweli Watanzania sisi ni wanafiki kinoma. Pembeni huwa tunalalamika maisha magumu na mishahara haitoshi lakni hamna hata mmoja anayeweza kuamka na kufight kwa hili.

Namwambiaga hubby...acha woga ww...ananiambia Wangari niache hv had dk hii mshahara haujasoma bado!...nataman yy awe mimi!...sema watumishi wengi wogaaaa...!
 
Japokuwa andiko lako kulielewa inabidi ufanye ibada ya maono kwanza.

Ila ni kweli Watanzania sisi ni wanafiki kinoma. Pembeni huwa tunalalamika maisha magumu na mishahara haitoshi lakni hamna hata mmoja anayeweza kuamka na kufight kwa hili.
Angalau kizazi cha wapigania Uhuru kilikuwa kinajitambua kidogo kupinga udhalimu hichi chetu akichekani na kile kilichochukuliwa utumwani.
 
Ila tuseme ukweli Magufuli unatuumizia waume zetu mjinga wewe...wanaume wanakuwa na stress wanakonda...!
Najua ban itahusu...ila ndo nishasema...!
 
Umeusema ukweli.

Kuna siku tupo kikao X, wafanyakazi wa digrii wakawa wanamchana live mwajiri, lakini cha ajabu wa certificate ambao ni wengi wakaungana na mwajiri kwenye maovu.

Asili itaamua, work as you earn
IPO sana hii ya unafiki at the end unashugulikiwa as individual, vyuoni walikuwa wanafaulu migomo kwa kuwapa bakora waoga ili wasiwasaliti
 
Uzuri namba inasomeka kwa wote hata kwa wanalumumba nako msoto ni uleule pamoja na kujifaragua kumusifia kwa kumuimbia mapambio lakini msoto ni uleule na wanamsifu ni kwa ajili ya kusukuma siku ifike kipindi cha uchaguzi ufike watupiwe tumashati twakijani na tusuruali twakijani, tukhanga twakijani na tutambaa twakijani maisha yasonge mbele lakini wote ni kilio cha mbwa koko aliyekosa mtetezi.
Hata ye analia na ukata miradi inabugia pesa balaa na makusanyo hakuna huku tukikaribia mwisho wa kukopesheka hali miradi hata robo haijakamilika ili awakoge waliomtangulia ili ikamilike si chini ya miaka 15 hadi 20 vyovyote vile ni lzm ununue wapinzani ili wakasema ndio kuongeza awamu
 
Ulipotoa elfu hamsini kwa ajili ya mjasiriamali mwenye wazo zuri la biashara ulikuwa 'Bonde la Baraka' kweli. Naona leo umeamua kuwa 'bonde la nuksi'! Haya maisha tunategemeana, mfanyakazi akiongezwa mshahara anaongeza uwezo wa kutatua kero na shida zake. Kupitia kero na shida za mfanyakazi, mfanyabiashara na mjasiriamali nao wanapata ridhiki zao. Sasa hii chuki kwa mfanyakazi ya nn? Rais akiongeza mishahara nyie wafanyabiashara hamtaongeza bei ya bidhaa?

Huyu mfanyakazi asipoongezwa mshahara unadhan hizi huduma mbovu mnazopata ktk taasisi za umma hazitazidi kuwa mbovu? Unategemea nn ukikutana na trafiki ambaye hajaongezwa mshahara kwa miaka 10? Utatafutiwa kosa hata ambalo hujawahi kulisikia ili mradi tu nae apate nyongeza yake ya mshahara kupitia wewe dereva.

Kitu tunachopaswa kufanya ni kujenga utamaduni wa kufanya kazi toka ktk ngazi ya familia. Watanzania (ukilinganisha na Wakenya, kwa mfano), tuna kauvivu ka asili. Hatujachangamka kazini wala ktk biashara. Ni kawaida kwenda kwa wajasiriamali wenye maduka, kama hukumkuta nje na anakuacha wewe utangulie dukani kwake na usimbiri ajivute kuingia na kukuhudumia, basi utakuta anachat na simu au kuongea na simu na haachi au kukata mpaka amalize yake. Hakuna heshima na ukarimu kwa mteja. Mfanyakazi ndo tusiseme.
 
Hujamwelewa mtoa mada..msome tena hana chuki na wafanyakazi ila anasema hawajitambui...mmezubaaa
 
Watumishi wote wenye big pay wanamuunga mkono jembe la kulimia meno, hata wasipoongeza tutaendelea kupambana na hali zetu, kama huna akili ndo utateseka, wenye shida sio wafanyakazi bali hata wananchi wa kawaida purchasing power inapopungua bidhaa zao hazinunuliwi kwa fujo.

Na ajira za vibarua tutaendelea kuwakamua, maana pesa imekuwa ngumu. Nikikupa kazi ya kujenga, basi tofali moja la block nakupa Tsh. 200/=

Sent using Jamii Forums mobile app
Uzuri Mungu fundi wanyonge yaan futureless people walishangilia sana matajiri waliposomeshwa namba wakidhani unyonge wao umeletwa na matajiri kumbe matajiri ndio waliokuwa wakitoa nafuu kwa wanyonge angalau nyasi zisiote njia ya chooni Leo ndio wanaoisoma haswaa
 
Na watumishi wanaoongoza kwa uzezeta huu (Mungu anisamehe) ni WALIMU.

Nikikumbuka walivyokuwa wananicharaza bakora kuufuta ujinga kwenye bongo yangu. Sikujua kumbe bongo zao ndo zinahitaji kufutwa ujinga zaidi.
Mkuu, sifahamu hasa kwanini umesema hivi ila niaminicho ni kwamba umeona mengi na kutafakari mengi juu ya walimu.

Na mimi niseme tu kuwa, walimu wengi ni vilaza. Hata ukikaa nao hivi mkajadili maisha ya hapa na pale unaona kabisa uwezo wao wa kupambanua mambo, sana sana wa hizi shule za kata.

Na mimi imebidi nikumbuke bakora walizonicharaza wakidai wanaondoa ujinga, kumbe ngome ya ujinga imeketi ndani ya vichwa vyao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulipotoa elfu hamsini kwa ajili ya mjasiriamali mwenye wazo zuri la biashara ulikuwa 'Bonde la Baraka' kweli. Naona leo umeamua kuwa 'bonde la nuksi'! Haya maisha tunategemeana, mfanyakazi akiongezwa mshahara anaongeza uwezo wa kutatua kero na shida zake. Kupitia kero na shida za mfanyakazi, mfanyabiashara na mjasiriamali nao wanapata ridhiki zao. Sasa hii chuki kwa mfanyakazi ya nn? Rais akiongeza mishahara nyie wafanyabiashara hamtaongeza bei ya bidhaa?

Huyu mfanyakazi asipoongezwa mshahara unadhan hizi huduma mbovu mnazopata ktk taasisi za umma hazitazidi kuwa mbovu? Unategemea nn ukikutana na trafiki ambaye hajaongezwa mshahara kwa miaka 10? Utatafutiwa kosa hata ambalo hujawahi kulisikia ili mradi tu nae apate nyongeza yake ya mshahara kupitia wewe dereva.

Kitu tunachopaswa kufanya ni kujenga utamaduni wa kufanya kazi toka ktk ngazi ya familia. Watanzania (ukilinganisha na Wakenya, kwa mfano), tuna kauvivu ka asili. Hatujachangamka kazini wala ktk biashara. Ni kawaida kwenda kwa wajasiriamali wenye maduka, kama hukumkuta nje na anakuacha wewe utangulie dukani kwake na usimbiri ajivute kuingia na kukuhudumia, basi utakuta anachat na simu au kuongea na simu na haachi au kukata mpaka amalize yake. Hakuna heshima na ukarimu kwa mteja. Mfanyakazi ndo tusiseme.
Mtu mwenye njaa hawezi akawa mvivu.Sasa utajituma vipi kama haviuziki vibarua hakuna. Purchasing power ndio nguzo ya uchumi ikiwepo utauza utanunua uchumi utakuwa makusanyo ya kodi yataongezeka.Kusomesha watu namba ( kuuwa sector binafsi) eti kukaza vyuma eti kunyoosha ni sawa na kujifunga kamba shingoni at the end uchumi utakufa,makusanyo ya kodi yatapungua,deni la taifa litaongezeka ,kuchukiwa kutaongezeka.Wenzetu ili upewe leseni ya udereva ni lazima uwe tajiri ukiwa tajiri utaujua uchumi.
 
Back
Top Bottom