Kupandishwa vyeo, mishahara na mengineyo: Watumishi wa umma mna maoni gani?

Tujiandae mara ngapi tushajiandaa siku nyingi ...hata kabla hili halijatokea

sent from HUAWEI
 
[emoji24][emoji24][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
watu wa SIDO, TTRI, LITA,RITA mko wapi mbona siwaoni hapaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ngoja nirud katika kazi yangu ya awali ya utendaji wa kijiji, nikifulia tu nachukua migambo tunaanza msako wa gongo na bangi na wale wote wasio na vyoo na mazingira machafu. Kwa mwezi sikosi laki nane ya ziada
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza mishahara ya watumishi wa umma ipunguzwe, tunahitaji hela kwa ajili ya kupambana na corona
 
Ngoja nirud katika kazi yangu ya awali ya utendaji wa kijiji, nikifulia tu nachukua migambo tunaanza msako wa gongo na bangi na wale wote wasio na vyoo na mazingira machafu. Kwa mwezi sikosi laki nane ya ziada

Sent using Jamii Forums mobile app
πŸ˜€ πŸ˜€huogopi kulogwa huko kijijini mkuu?
 
Faida ya watumishi wa vijijini ni kununua mazao kama vile ufuta na korosho, ukiwekeza fungu la maana lazima utoboe vizuri tu though ni msimu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…