Kupandishwa vyeo, mishahara na mengineyo: Watumishi wa umma mna maoni gani?

Kupandishwa vyeo, mishahara na mengineyo: Watumishi wa umma mna maoni gani?

watu wa TEMESA, TVLA, TTRI,LITA mbona mko kimya🤣
 
mimi niko kwenye moja ya vyuo vikuu huku wanaopeta ni walimu tuu kwa administrative staff ni maumivu mkuu parabora
 
mimi niko kwenye moja ya vyuo vikuu huku wanaopeta ni walimu tuu kwa administrative staff ni maumivu mkuu parabora
pole sana mkuu, hayo maumivu yako yanawafikia walimu kweli?
 
Tumeipenda Wenyewe Wala Hatukuandikiwa Barua Acha Ituue!! Potelea Pwete!!😁😂😀😅😄😄
 
Dumelang,
Mimi naomba mnisaidie hapa, hivi ukienda kusoma ule muda uliotumikia kabla hauesabiki? Mfano, kwa sasa wanasema ili upandishwe daraja ni lazima uwe umetumikia cheo cha sasa kwa miaka 4 mfululizo.

Je, yule mtumishi aliyeenda masomoni akiwa ametumikia miaka 3 na miezi kadhaa akirudi anaendeleza alipoishia au anaanza kutafuta miaka 4 upya?
 
Mimi naomba mnisaidie hapa, hivi ukienda kusoma ule muda uliotumikia kabla hauesabiki? Mfano, kwa sasa wanasema ili upandishwe daraja ni lazima uwe umetumikia cheo cha sasa kwa miaka 4 mfululizo, je yule mtumishi aliyeenda masomoni akiwa ametumikia miaka 3 na miezi kadhaa akirudi anaendeleza alipoishia au anaanza kutafuta miaka 4 upya?
Wanasema wanaanza kuhesabu upya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtumishi wa umma ninayemfahamu aliyetumikia umma kuanzia mwaka 1967 hadi 1996 alipostaafu na akaanza kulipwa pensheni kila mwezi. Hakuchukua mkupuo. Leo hii analipwa shilingi 110,000 kwa mwezi - kweli anaweza kuishi kwa sh 110,000?
 
Azarel,
Watu wanaumiza vichwa kwa corona, wengine wanaongelea kupandishwa mishahara. Muulize Trump yeye amefanyaje katika kipindi hiki na hiyo mishahara
 
Nimeota tu jamaa ameamka na kunena yafuatayo "Acheni ubinafsi, sasa hivi tuna janga la CORONA ikiwezekana serikali ipunguze mshahara kwa ajiri ya kusaidia wanyonge, mimi nawapenda sana wanyonge"
 
Ila tuseme ukweli Magufuli unatuumizia waume zetu mjinga wewe...wanaume wanakuwa na stress wanakonda...!
Najua ban itahusu...ila ndo nishasema...!
Kwa hiyo nyie wa kikeni mnajinenepea tu metuachia sisi akina kalubandika zigo lote la majukumu? 😀 😀 😀
 
Kama mnaona mishahara ni midogo si muache kazi mje mtaani vijana kibao tupo mtaani jobless tunatamani japo icho kidogo mnachopata.
Mgejua mitaa ipoje haki ya mungu mngeuabudu huo mshahara wenu mdogo


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom