Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pole sana mkuu, hayo maumivu yako yanawafikia walimu kweli?mimi niko kwenye moja ya vyuo vikuu huku wanaopeta ni walimu tuu kwa administrative staff ni maumivu mkuu parabora
lectures hawana njaa man wako happy kila siku ila attendants wanalia sana mkuupole sana mkuu, hayo maumivu yako yanawafikia walimu kweli?
Umepotelea wapi
mkuu uko taasisi gani kati ya hizo?
Mkuu huo Ni unoko sasa
Hao maafisa wa utumishi huwa ni wase** sana. Nimemaliza!Mkuu nimeandika hivyo kwasababu hujajua majibu ninayopatiwa na huyu Mtumishi na ni kwa muda mrefu mno.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasema wanaanza kuhesabu upyaMimi naomba mnisaidie hapa, hivi ukienda kusoma ule muda uliotumikia kabla hauesabiki? Mfano, kwa sasa wanasema ili upandishwe daraja ni lazima uwe umetumikia cheo cha sasa kwa miaka 4 mfululizo, je yule mtumishi aliyeenda masomoni akiwa ametumikia miaka 3 na miezi kadhaa akirudi anaendeleza alipoishia au anaanza kutafuta miaka 4 upya?
Mambo yenu ya Utumishi wa umma hukuhuko maofisini kwenu, nyie si ndo wale mnaotumikaga kwenye kusimamia uchaguzi, mmeshasahau mara hii?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakurupuka tu we Binti, umesoma hata hii mada ni ya lini?Watu wanaumiza vichwa kwa corona, wengine wanaongelea kupandishwa mishahara. Muulize Trump yeye amefanyaje katika kipindi hiki na hiyo mishahara
Ndio hivyo MkuuHuu ni unyonyaji kwa mtumishi. Hii sheria ni kandamizi kama ndo hivyo, kwanini muda aliotumikia awali upotee kwenye kumpandisha? Kwa mazingira haya kuna watumishi watapandishwa baada ya miaka 10+ ya utumishi.
Kwa hiyo nyie wa kikeni mnajinenepea tu metuachia sisi akina kalubandika zigo lote la majukumu? 😀 😀 😀Ila tuseme ukweli Magufuli unatuumizia waume zetu mjinga wewe...wanaume wanakuwa na stress wanakonda...!
Najua ban itahusu...ila ndo nishasema...!
Toshekeni na mishahara yenu!Iyo miradi walioambiwa wasubiri kuna ambao watastaafu bila kuona ongezeko lolote la mishahara.
Sent using Jamii Forums mobile app