Kupanga Maandamano siku ya Krismas ni mbinu ya watawala kuyaondolea nguvu na hatimaye kuyazika 🇹🇿

Status
Not open for further replies.
Hao waandaa maandamano wanajua kuwa maandamano yamepoteza mvuto hasa baada ya yaliyo tokea October 29 do maana sasa hivi wanataka kutumia siku zenye mikusanyiko mikubwa ya watu ili wapate upenyo wa kufanya uharifu na likitokea la kutokea wawatumie watu kama kinga kama walivyo fanya 29.
Hata October 29 waandamanaji hawakuwa wengi kihivyo sema watu wengi walikuwa kwenye mishe zao wakajikuta katikati ya makabiliano ya polisi na hao wafanya fujo ukawa mvurugano.
 
Rais alishasema njooni hata kesho, msisubiri Xmas, vyombo vya dola viko kamili gado.

Njooni wawamwage mavi. Daaadadeki
giphy 15.GIF
 
Hao waandaa maandamano wanajua kuwa maandamano yamepoteza mvuto hasa baada ya yaliyo tokea October 29 do maana sasa hivi wanataka kutumia siku zenye mikusanyiko mikubwa ya watu ili wapate upenyo wa kufanya uharifu na likitokea la kutokea wawatumie watu kama kinga kama walivyo fanya 29.
Hata October 29 waandamanaji hawakuwa wengi kihivyo sema watu wengi walikuwa kwenye mishe zao wakajikuta katikati ya makabiliano ya polisi na hao wafanya fujo ukawa mvurugano.
giphy 13.GIF
 
Naamini watanzania wote, ila wakristo itabidi wachague kwenda ibadani au kuingia barabarani.
Kukiwa na maandamano pia watu wanaweza kushindwa kuzifikia sehemu zao za ibada sababu barabara hazipitiki.
Unadhani serikali hii ya wauza vibwenye itashindwa kuwazuia watu ndani hata kama ni siku ya sukukuu ya kidini?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom