KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
SimbilisiSisi wengine tunakula kama simbilisi, je ndio tumekuwa huru dhidi ya utumwa wa mifùmo ya mabwanyenye wa magharibi?
Mwenye mimbaSimbilisi
Wazo lako lina mashiko isipokua ungelijengea hoja zinazo eleweka kuhusu hususan unapo sema/taka neno utumwaUtumwa ni hali ya kutumikishwa na kunyang'anywa hiari yako.
Kwa namna binadamu walivyo umbika, sio kila mmoja anaweza kufikiri kwa mfanano na mwingine. Na hii imepelekea binadam kugawanyika katika makundi tofauti ili kuweza kupata uwiano na mgawanyo mzuri katika namna ya kuishi ama kujioatia kipato.Utumwa mbaya ni ule wa kifikra, ambapo mtu mmoja au kundi la watu linawaburuza kiasi watacho.
Mkuu, ustaarabu ni jambo la kawaida katika maisha ya binadam, hivyo basi hata unapo kuta wengine wameweka muda wa kula ama nyumbani kwako ukipanga muda wa kula ni jambo la kistaarabu ama utaratibu wa kawaida katika maisha tunayo ishi pamoja na jamii ama maeneo tofauti tofautiKupangiwa muda wa kula iwe kazini kwako au popote pale huo ni utumwa.
Hapa mwisho nakushauri tu upunguze kuweka umuhimu kwenye maisha ya watu wengine.Jikwamue na utafute uhuru wako wa mwili na fikra.
Tajiri unapangiwa Muda wa Kula? Au Hili jina ni la urithi wewe ni Apeche Alolo?Utumwa ni hali ya kutumikishwa na kunyang'anywa hiari yako.
Utumwa mbaya ni ule wa kifikra, ambapo mtu mmoja au kundi la watu linawaburuza kiasi watacho.
Kupangiwa muda wa kula iwe kazini kwako au popote pale huo ni utumwa.
Jikwamue na utafute uhuru wako wa mwili na fikra.
Haha hah haha ..... ninewaongelea wanaopangiwa muda wa kulaTajiri unapangiwa Muda wa Kula? Au Hili jina ni la urithi wewe ni Apeche Alolo?
Tumbo la nani?Mbona hata wewe tumbo lako linakupangia muda wa kula
Kumbe hiyo ndiyo sababu ya watu wengi kufunga!!! DuhMambo ni mengi, muda mchache. Pesa hamna ila njaa ipo, wacha tu tufunge na tupangiwe muda wa kula
Swaum imekushindaUtumwa ni hali ya kutumikishwa na kunyang'anywa hiari yako.
Utumwa mbaya ni ule wa kifikra, ambapo mtu mmoja au kundi la watu linawaburuza kiasi watacho.
Kupangiwa muda wa kula iwe kazini kwako au popote pale huo ni utumwa.
Jikwamue na utafute uhuru wako wa mwili na fikra.
Sishindani na vitunguu kakaSwaum imekushinda
Hao mbwa wapelekwe shule haraka wakatoe ujingaKama anayepangiwa amekubali wewe unawashwa na nini! Kuna mbwa wajinga sana.
Ni kweli uko huru....kula unapojisikia na sio kwa ratiba....kula mara mbili au mara nne kwa siku kadiri ya hitaji lakoSisi wengine tunakula kama simbilisi, je ndio tumekuwa huru dhidi ya utumwa wa mifùmo ya mabwanyenye wa magharibi?
Janabi naye anawaleteeni vifungo vyake, mwaka huu hadi muombe poohNi kweli uko huru....kula unapojisikia na sio kwa ratiba....kula mara mbili au mara nne kwa siku kadiri ya hitaji lako