Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.

Everything change.... even the change itself
 
Kama hao wafungwa wa kike wanataka mabwana kwanini wasipatiwe
Nawapelekea dildo na vibrator na hao wa kiume wapige punyeto,gereza halina luxury hayo magereza ya ulaya ni ya ulaya hapa kwetu maisha ya gereza yakiwa ni kama uraiani +chakula cha bure sisi sote tutaiba kuku ili tufungwe...tukale bata.
 
Inaonekana ww na mtoto wako mnakaa mnadiskasi kidemokrasia akikosea au akikukosea,
 
Kaka, utakuwepo hiyo milele?
 
Hata ile kauli ya tutatawala milele ni ya kutokujiamini, pia huende inadhihirisha madai ya mh. Lowasa kuwa alishinda
Lowasa hana ishu, huyo mnayemsifia amemsifia huyo mnayemponda, sasa mnamaana gani kumponda aliyesifiwa na mnayemsifia, msifieni wote
 
Tukiwashauri Chadema unabezwa! Unaitwa gamba, ndio maana juhudi za kuikosoa CCM zimeijenga CCM kuliko upinzani! Upinzani wanataka wapewe nchi kama mtoto anavyolilia peremende! Never! Badala ya kulilia mabadiliko CCM anzeni kukubali ukweli mchungu wa kusukuma uwepo wa mabadiliko ndani ya upinzani. Makamanda wanajazana upepo kuwa watashinda 2020! Seriously! Mshindwe kumtoa weak government ya JK mumtoe JPM? Msipokubali ukweli mchungu sahauni kuitoa CCM madarakani.
 
Mkuu, mfungwa hufungwa kutegemeana na katiba na sheria inavyosema, km ilisema hmna mikutano ya kujamiiana na wenza basi haipo tusilifanye kuwa jambo jipya, km lilikuwepo hapo kabla na limeainishwa ktk haki ya mfungwa basi tupige kelele uonevu, so kuna kifungu kinazuia au kinaruhusu hili swala alilopinga Dr Magu au tunareact tu kwa mapenzi yetu binafsi
 
Itaendelea
Umeanza tena uchokozi, Mzee Mayalla!
Mara hii interrogation inaweza ikafanyika kwenye moja wapo ya the Safe Houses huku police/interrogation gears zikiwa zinasaidia kupekechua moyo na hisia ili useme wewe unaamini nini katika siasa za His Excellence Jiwe...!!
Unau-provoke umma um-challenge HIS HIGH MOST EXCELLENCE JIWE katika kauli yake hii...! Uzi wako unaweza ukawafanya watu wajimwage kukosoa and at the end of business wajikute kwenye viroba au kwenye 7 Million ya Cyber crime...
 
Hivi upinzani ni Chadema tu? Wewe umeshindwa nini kuleta mbadala wa Chadema?
 
katika mazingira ya sasa ya nchi yetu na uendeshaji wa siasa za vyama vingi, kama hakuna kitakachobadilika, then rais Magufuli yuko very right kuwa CCM itatawala milele!.
Huwa nafikiri ni Wachache sana tunaofikirisha vichwa kwenye Makala za Pascal Mayalla ..hapa CCM inaweza Kuondoka kwa Mapinduzi ya Kuongozwa na Wananchi ila Siyo kwa Uchaguzi..
Zanzibar CUF alishinda nini kilitokea?
Na Wananchi hawa ambao Ujinga,Maradhi,Njaa..nk ndiyo Wengi ambao hata kudai haki zao za Msingi hawawezi..Wataweza Kuitoa CCM?
Ni Ukweli Mchungu..
 
Poa,Mkuu,Acha Dr Magu atutengezee jamii ya watanzania yenye wafungwa wanaojamiiana kwa jinsia moja..,kwani hao wafungwa wakimaliza kifungo wataishi uraiani,nawaonea huruma watoto wetu..

Ingekuwa jambo la busara kama Dr Magu angelitumia uDokta wake kwa kanzisha jambo jipya la mikutano ya kujamiana kwa wafungwa,ili kuepusha Tanzania kuwa jamii ya Kulawitiana na kusagana..Ili kujenga jamii bora ya Kitanzania
 
Kweli sio rahisi kuwatoa kwa watu jamii hii ya njaa.
Ila neno milele' linasemwa na ndugu marehemu watarajiwa. .. Ajabu hii
 
1) Umaskini
2) Ujinga
3) Maradhi
Hakika ni ngumu sana maadui hawa watatu wa Taifa wakaondoka kwa tawala hizo ................
 
Kwanza unajua maana ya neno milele.......HEBU tuanzie hapo
 
1) Umaskini
2) Ujinga
3) Maradhi
Hakika ni ngumu sana maadui hawa watatu wa Taifa wakaondoka kwa tawala hizo ................
Hivi vitu lazima uviondowe mwenyewe, serikali haihusiani kabisa!
Hivi unajua Mafia wanapelekewa meli, wanaiaribu ili wabaki na ngalawa zao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…