huu mpangilio wa solar eclipse hesabu yake inapatikanaje? Kama sikose total solar eclipse ilitokea tanzania mwaka 1984 majira saa nne/tano asubuhi na partial ilitokea mwaka 2016 majira ya saa tisa adhuhuri ambapo mwezi ulifunika jua kidogo na mwanga ukawa hafifu. Ikitokea mwezi ukafunika jua kwa asilimia mia moja kuna watu hawajawahi kuona wataogopa sanaTanzania next partial solar eclipse ni mpaka tar 2 Aug 2027 na ile kupatwa yenyewe total solar eclipse ni tar 9 April 2100
Is that ‘baby Lacoste’ waiting for the total solar eclipse?
Hakika!wamepigwa na kitu kizito wanajihisi kizunguzungu na sayansi yao ya usiku.
We mnyaturu ni mtu wa ovyo kabsaaa13:00-15:33
Huo ndo muda ambao tutashuhudia sisi tuliopo [emoji631]
Explanation please?Self delusion is a gift of natural selection.
Basi sawa😎Dunia ni tambarare/ flat mfano wa coin.
Jua na mwezi ndivyo vinavyozunguka. Dunia haizunguki.
mstar unaotofautisha sayans na uchawi ni mwembamba sanaHapo ndo naiheshimu sayansi!
Kwa kutumia kanuni zake, tunaweza kujua siku, muda, na maeneo ambayo tukio hilo litatokea.
Wachawi mko wapi?
“Mstar” ndo nini?mstar unaotofautisha sayans na uchawi ni mwembamba sana
...thir Yahya.Muda?
Is that ‘baby Lacoste’ waiting for the total solar eclipse?
Yeah baby Lacostee, my glasses are ready for the show 😊.
Haya mambo yanaonekana marekani tu! Huku uswakeni hatuoni kitu?Burnet Texas at Lake Buchanan