Huyo ni fundi au kiraka? Dar hii??hiyo nyumba ulishapaua? kuna fundi namjua 120,000 tu! haijalishi ukubwa wa nyumba
Wakuu habarini za uzima?
Naombeni mawazo yenu kuhusu makadirio ya kuezeka (nimeattach roof plan yangu).
1. Kadirio la idadi ya bati (IT 28G)/ gharama yake.
2. Kadirio la idadi za mbao/ gharama yake.
Nahitaji kulinganisha na makadirio ntayopata toka kwa fundi.
Shukrani!

hiyo nyumba ulishapaua? kuna fundi namjua 120,000 tu! haijalishi ukubwa wa nyumba
hiyo nyumba ulishapaua? kuna fundi namjua 120,000 tu! haijalishi ukubwa wa nyumba
Fundi wako ni mtaalamu? I mean anaezeka vizuri?mimi nimepaua nyumba ya bat zile zenye muundo wa vigae bat imenicost 6m mbao imenicost 4m fund 1.5m
nimepaua mwaka jana mwanzon nyumba ipo kigambon
nb: bat na mbao nilinunua kwa kuwekeza ndan ya miez sita kuna maduka yana kubal kuwekeza
Khs Bati wewe jiendee tu ALAF ndiyo mwisho wa mchezo.
mgongo mpana bei gani?Ahsante mkuu
Mi nahitaji yale ya muundo wa vigae. Wanauzaje na order inatakiwa uweke mda gani?mgongo mpana bei gani?
bado sijapaua, ni 14*16 (floor plan)Mkuu ukubwa wa nyumba yako ukoje? Umeshapaua?
bado sijapaua, ni 14*16 (floor plan)
++ mawazo1984Sawa! Hapo mbao andaa kama ifuatavyo:
4×2 PC 170
2×2 PC 140
1×10 PC 24
hakikisha zimewekwa dawa ukifanya mzaa unalizwa.
Sijakosea,ukubwa ni 8m kwa 11m,bati 90 za migongo mipana za kiboko kiwandani ni sh 20,000 kwa kila bati,fundi kachukua sh 500,000 tuMkuu @Jephat2003 samahani,nyumba yako ina ukubwa gani&vyumba vingapi!hujakosea kweli hesabu zako?4mill pamoja na fundi kupaua nyumba kwa bati za migongo mipana aisee dah,mbona ndogo sana kaka.

Mimi nilikuwa nafanya man to man,hakuna kutumwa mtu,mafundi wengi wanakawaida ya kuoverprice vitu ili wapate cha juu,mimi alikuwa ananiambia mahitaji naingia front duka kwa duka kupata kwenye bei nafuu,mfano fundi aliniambia bati nazotaka ni sh 27,000 kwa kila moja,mimi nikapata kwa sh 20,000 hivyo ilikuwa nipigwe sh 7,000 kwa kila bati kwa bati 90 kitu ambacho ningepoteza sh 630,000 kwenye bati pekeyakeHata mimi nimeshangaa,nimepau nyumba ndogo ya 2-bedroom kwa bati 70 za kawaida kabisa na gharama zimekaribia 4m.
Correction: gharama zangu zilikaribia 3m,yaani 2.8m tu. Kwahio labda jamaa yuko sahihi.