Kupaua nyumba (Makadirio ya gharama)

Kupaua nyumba (Makadirio ya gharama)

Wakuu habarini za uzima?

Naombeni mawazo yenu kuhusu makadirio ya kuezeka (nimeattach roof plan yangu).
1. Kadirio la idadi ya bati (IT 28G)/ gharama yake.
2. Kadirio la idadi za mbao/ gharama yake.

Nahitaji kulinganisha na makadirio ntayopata toka kwa fundi.

Shukrani!
 
Attachments

  • [1]6.jpg
    [1]6.jpg
    202.7 KB · Views: 588
Wakuu habarini za uzima?

Naombeni mawazo yenu kuhusu makadirio ya kuezeka (nimeattach roof plan yangu).
1. Kadirio la idadi ya bati (IT 28G)/ gharama yake.
2. Kadirio la idadi za mbao/ gharama yake.

Nahitaji kulinganisha na makadirio ntayopata toka kwa fundi.

Shukrani!

Mkuu ukubwa wa nyumba yako ukoje? Umeshapaua?
 
Kwa wale wanaohitaji mafundi wataalamu wa kupaua nyumba au jengo.
Kwa mfano:Nyumba ya vyumba vitatu,sebule,jiko,stoo na choo cha public,ni milioni moja tu.
Kazi inaisha ndani ya wiki endapo materials zote zitakuwa site.
Tuna paua kwa staili yeyote ambayo mwenye nyumba ataihitaji.
Tupatikana Arusha ila tunaweza kufika sehemu yeyote,baada ya makubaliano.
Mawasiliano: 0752489529.
 
Wakuu habarini za uzima?

Naombeni mawazo yenu kuhusu makadirio ya kuezeka (nimeattach roof plan yangu).
1. Kadirio la idadi ya bati (IT 28G)/ gharama yake.
2. Kadirio la idadi za mbao/ gharama yake.

Nahitaji kulinganisha na makadirio ntayopata toka kwa fundi.

Shukrani!

Angle ngap hpo? Kumbuka hapo tunazungumzia sloping lengths and not plan running length in major!!!

As a junior Quantity Surveyor by profession from ardhi university ..... Naomba unipe kazi hiyo kwa makubaliano maalumu.
 
mimi nimepaua nyumba ya bat zile zenye muundo wa vigae bat imenicost 6m mbao imenicost 4m fund 1.5m

nimepaua mwaka jana mwanzon nyumba ipo kigambon

nb: bat na mbao nilinunua kwa kuwekeza ndan ya miez sita kuna maduka yana kubal kuwekeza
Fundi wako ni mtaalamu? I mean anaezeka vizuri?
 
Jamani mimi nahitaji mtaalamu wa kuezeka bati la viage la Ando , nina kam-jengo kangu kana urefu wa mita 20 na upana mita 15, ila una vipaa vingi.....nyumba ina vyumba vinne self....including master bedroom, sitting room, dinning, public toilet, kitchen+store, and public toilet.

Naomba kwa anayejua kukadiria mzoefu kwa kuezekea kigae cha Ando anaimbie makadirio ya mbao and all reqiurements. Nahitaji fundi mtaalamu na sio mbabaishaji. Nataka mtu anayeijua kazi na sio blabla....meaning that ukishamaliza hiyo kazi kusiwe na mambo ya kuvuja, na paa liwe very standard ili kila mtu akipita aseme hapa kazi imefanyika na mwanaume na ina kiwango standard.

Kama kuna mtu wa namna hiyo naomba tuwasiliane kupitia PM nitamtumia video ya mjengo auone...then anipe makadirio stahiki na kuona kama ataweza imudu kufanya kazi hiyo.

Nyumba ipo songea mjini/ manispaa.

Karibu kwa maoni yenu wadau wenzangu wa JF.
 
Naona hili jukwaa halina wafanyabiashara na wataalamu wa kutosha. Mtu akishajenga hapiti tena
 
Mkuu @Jephat2003 samahani,nyumba yako ina ukubwa gani&vyumba vingapi!hujakosea kweli hesabu zako?4mill pamoja na fundi kupaua nyumba kwa bati za migongo mipana aisee dah,mbona ndogo sana kaka.
Sijakosea,ukubwa ni 8m kwa 11m,bati 90 za migongo mipana za kiboko kiwandani ni sh 20,000 kwa kila bati,fundi kachukua sh 500,000 tu

6b37f181b24880981a8ecd730d7603bc.jpg
 
Kwa mbao za 2 by 3 ambazo ni 130 na mbao za 2 by 4 ambazo zilikuwa 50 pamoja na misumali hata mililioni moja haikufika,ilikuwa kama 970,000
02de72f649c87327ec00c1d984f39489.jpg
 
Hata mimi nimeshangaa,nimepau nyumba ndogo ya 2-bedroom kwa bati 70 za kawaida kabisa na gharama zimekaribia 4m.

Correction: gharama zangu zilikaribia 3m,yaani 2.8m tu. Kwahio labda jamaa yuko sahihi.
Mimi nilikuwa nafanya man to man,hakuna kutumwa mtu,mafundi wengi wanakawaida ya kuoverprice vitu ili wapate cha juu,mimi alikuwa ananiambia mahitaji naingia front duka kwa duka kupata kwenye bei nafuu,mfano fundi aliniambia bati nazotaka ni sh 27,000 kwa kila moja,mimi nikapata kwa sh 20,000 hivyo ilikuwa nipigwe sh 7,000 kwa kila bati kwa bati 90 kitu ambacho ningepoteza sh 630,000 kwenye bati pekeyake
 
Back
Top Bottom