Asalam Ailekum wandugu,
Nahitaji mtaalam wa kunifanyia makadirio ya ujenzi wa nyumba hususan kupaua kwa kutumia bati. Nyumba ipo Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Natanguliza Asante.
Nilitafuta fundi kwa kuezeka akanipa makadirio ya around 8.1 million tukakubaliana akaanza kazi na gharama zilikuja hivi
Mbao treated za kupaua 2.8 M
Mabati ya maxcover 3.5 M
Kofia 360000
Misumari 140000
Ufundi 800000
Mbao zilibaki nyingi sana kiasi cha kutosha kupiga draft ndani vyumba vyote vitatu kwa hiyo kazi ya draft imebaki si kubwa .
Pamoja na gharama zote nilizotumia balance ilikuwa laki 4
Matunyengule. kwa vipimo vyako vya 7.2mt kwa 11mt. mbao ni 2kwa4=56, 2kwa36 na 1kwa8=15. bati za migogo mipana = 96, mabati ya kawaida =72. mabati yaliyo kama vigae =42
Matunyengule. kwa vipimo vyako vya 7.2mt kwa 11mt. mbao ni 2kwa4=56, 2kwa36 na 1kwa8=15. bati za migogo mipana = 96, mabati ya kawaida =72. mabati yaliyo kama vigae =42
Nashukuru sana mana hatimaye umeifanya kazi yangu vizuri kwa gharama za kawaida kabisa.Matunyengule. kwa vipimo vyako vya 7.2mt kwa 11mt. mbao ni 2kwa4=56, 2kwa36 na 1kwa8=15. bati za migogo mipana = 96, mabati ya kawaida =72. mabati yaliyo kama vigae =42
Nitakucheki. niko moroMafundi tuko mikoani nabeizetu ni nafuu sana. mi ni mtaaramu wa mambo hayo hii fani iko kwenye damu. sikama najifagiri. niko mwanza kwasasa namalizia kupaua hapa morogoro nitumie ramani kwa email nikupe makadirio. (kombaemmamuel42@gmail.com)
Mi nimemaliza juzi juzi kupaua. Mabati 3.2m, mbao 2m na,Fundi ni kama 1.4m, vyumba vitatu vikubwa sana! Viwili ni master,sebule,jiko na stoo na ni Nyumba yenye coridor ndefu. Fundi na wasaidizi wake walimaliza kazi nda ni ya siku tano na nilisimamia mwenyewe.
Nashangaa watu wanaleta mabei makuubwaaa hapa ya kifisadi,acheni kutisha watu.
bati gani mkuu na alaf au kiboko, mbao ni treated au za kawaida
Kuna fundi mmoja hapa anaitwa mavuno nyamanoro ni mwaminifu na makadirio yake ni mazuri sana. Aliifanya kazi yangu vizuri kwa gharama ya laki 4 tu. Angalia picha hizi.
Jamani kupaua ni gharama kuna rafiki yangu alitajiwa jumla ya 17M (ufundi, mbao, bati-ALAF, ukubwa around 15x20). Hapahapa DSM, Akaomba apunguziwe walau 14, ikashindikana. Akaahirisha. Kama huyo rafiki yangu akiiona hii post, atampigia huyu jamaa mara moja.
Mkuu hapa tunaelekezana sio kushindana, jenga hoja kwa nini ni 3M, sio kama ulivyojibu
Mkuu makadirio ya garama zote kuanzia msingi had hapo ilipofika ni kama shilingi ngap maana na mim nataka nianze ujenzi soon
Kama una kiwanja anza msingi kwanza kwani msingi hauna gharama maalum kwa kuwa inategemea eneo ulipo na aina ya vifaa vya kutumia kama aidha msingi wa mawe au matofali. ila kwa Mwanza upatikanaji wa mawe ni mkubwa. Hata hivyo gharama za boma hadi kupaua hazitofautian sana. Kwa kifupi angalia gharama nilizotumia kuanzia msingi, boma, lenter, kupaua na magrill.
Hujazungumzia tofali brother.
Usiogope maana hata majibu yenyewe hayaja dadavua vizuri, mfano hizo bati za kisasa lazima ujue vipimo halisi na aina la paa sasa hapo sijui ametumia vipimo gani, pia ikijulikana aina ya paa itasadia kujua mbao kiasi gani na za size gani