Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Wala siyo mbali ni hapo tu Chalinze jamaa kajifanya kidume kutembea na binti. Kamtia mimba then anamkwepa. Binti kabembeleza sana jamaa achukue wajibu wake. Jamaa anajifanya mtown anakwepa kwepa tu mishale.
Binti mara ya mwisho akasema sawa kama hii mimba si yako basi hamna shida ila kama ni yako utakuja tu. Jamaa anadai alimwambia binti mpaka mtoto akue ampime DNA kipindi hicho mtoto anatakiwa awe amefikisha miaka 20 ndo DNA inafanya kazi.
Jamaa anachukulia u-bush woman wa binti kama kigezo kumlisha matango pori akitetea uhuni wake. Eti DNA mpaka mtoto afike miaka ishirini wampime contaginiousis yake ikoje. Jamaa mshenzi halafu mhuni, bwege, malaya, mbwa.
Sasa wanasema akarudi town maana yeye ni dereva tu wa gari DFPA fulani hivi. Juzi karudishwa jamaa analia akitaka enda haja kubwa anakunya nanasi. Nanasi kabisa hili hili linalouzwa. Sasa imagine na lile ganda lake.
Jamaa analia anashidwa hata kukaa sehemu ya haja imechanika chanika. Anapatwa na njaa lakini hatamani kula sababu wasiwasi ni kuwa ataenda kunya nanasi. Kaenda kwa mtalaamu akamwambia mgomvi wake yupo Chalinze.
Kaja Chalinze anaambiwa binti sijui kaenda Bagamoyo kwa bibi yake ili ukifika wakati wa kujifungua ajifungulie huko. Jamaa analia kama fala. Watu wanamuuliza sasa inakuaje analia tu.
Nlitamani nimwone anavyojisaidia ila sijaweza maana napewa hii taarifa tayari nipo Dar. Ila mshkaji anasema amemwona jamaa live hawezi hata kaa kwa maumivu aliyonayo sehemu ya haja.