Kupenda kuchezea watoto wa watu kumemtokea puani

Kupenda kuchezea watoto wa watu kumemtokea puani

Wala siyo mbali na hapo tu Chalinze jamaa kajifanya kidume kutembea na binti. Kamtia mimba then anamkwepa. Binti kabembeleza sana jamaa achukue wajibu wake. Jamaa anajifanya mtown anakwepa kwepa tu mishale.

Binti mara ya mwisho akasema sawa kama hii mimba si yako basi hamna shida ila kama ni yako utakuja tu. Jamaa anadai alimwambia binti mpaka mtoto akue ampime DNA kipindi hicho mtoto anatakiwa awe amefikisha miaka 20 ndo DNA inafanya kazi.

Jamaa anachukulia u-bush woman wa binti kama kigezo kumlisha matango pori akitetea uhuni wake. Eti DNA mpaka mtoto afike miaka ishirini wampime contaginiousis yake ikoje. Jamaa mshenzi halafu mhuni, bwege, malaya, mbwa.

Sasa wanasema akarudi town maana yeye ni dereva tu wa gari DFPA fulani hivi. Juzi karudishwa jamaa analia akitaka enda haja kubwa anakunya nanasi. Nanasi kabisa hili hili linalouzwa. Sasa imagine na lile ganda lake.

Jamaa analia anashidwa hata kukaa sehemu ya haja imechanika chanika. Anapatwa na njaa lakini hatamani kula sababu wasiwasi ni kuwa ataenda kunya nanasi. Kaenda kwa mtalaamu akamwambia mgomvi wake yupo Chalinze.

Kaja Chalinze anaambiwa binti sijui kaenda Bagamoyo kwa bibi yake ili ukifika wakati wa kujifungua ajifungulie huko. Jamaa analia kama fala. Watu wanamuuliza sasa inakuaje analia tu.

Nlitamani nimwone anavyojisaidia ila sijaweza maana napewa hii taarifa tayari nipo Dar. Ila mshkaji anasema amemwona jamaa live hawezi hata kaa kwa maumivu aliyo nayo sehemu ya haja.
Nimesitisha kula mananasi kwanzia leo[emoji3][emoji3]
 
Kuna WANA JF mtapigwa sooon na matapeli kupitia hizi nyuzi takribani tatu ninazoziona humu.
1. Kuna Ile ya yenye picha jamaa akitoka Nyama/Mgolo kule Kahama.
2. Kuna ile nyuzi inaelezea Stori za MwanaJF anayetoa ushuhuda kwa kuishi kwa Ndugu yake mganga wa kilingeni.
3. Kuna hii Nyuzi ya Mananasi.
I warn you, this is phishing Marketing technique. Mtalizwaaaa mchana kweupeeee. Na mlizaji pia jiandae maaana tayari watu wenye kazi zao washaanza yao.
Msije kulia lia mkasema hatukuwaonya, hawa ni wapigaji.
Ha ha ha....hiyo mikwara yako utadhani una la maana. Mbona ile pesa sikurudisha na mpaka leo hujanifanya kitu? Ulidai wewe usalama utanifuatilia. Wewe bwege hakuna utajiri wa dawa huku JF mi nliona huna akili nika kujaribu ukatuma pesa. Then unataka nikurudishie....thubutu. wewe leta hao wenye kazi zao wanikute mwenye kazi yangu.
 
Hizi story huwa siziamini. Ila kuna watu humu watamtafuta uyo binti kichwa kichwa ili awape iyo dawa.
 
Hapo wanawake ndio wanafeli ,kabinti kadogo, karembo chuchu saa sita kanamiliki kakombora ya hatari ya kishirikina, sasa hata huyo jamaa angemkubali angeishije na mtu mwenye zana za kutisha namna ile?
Hahah
 
Nanasi? Na ile michongoma ? Linapitaje kwenye mfereji maringo?
 
Duuh aiseee!! Kama siyo chai hapo chalinze vijana watakuwa wamepata fundisho kubwa
 
Nipo Avatar halafu tumepishana sana siku hizi. Lol.

Happy New Year.
We si ulikua unajikana bwana... Nipo sio mchangiaji sikuizi.

Huu mwaka itabidi tuuanze kivingine usije ukatokomea tena
 
We si ulikua unajikana bwana... Nipo sio mchangiaji sikuizi.

Huu mwaka itabidi tuuanze kivingine usije ukatokomea tena
😅😅😅 umefanya nimecheka. Lol.

Hivyo salamu yako umeileta kwa lengo la kunipasha eee?
 
Back
Top Bottom