Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 10,488
- 20,051
Watu wapo serious sana
Duuh ni halali bhn wanaume tunakosea kwel sio uongoWala siyo mbali na hapo tu Chalinze jamaa kajifanya kidume kutembea na binti. Kamtia mimba then anamkwepa. Binti kabembeleza sana jamaa achukue wajibu wake. Jamaa anajifanya mtown anakwepa kwepa tu mishale.
Binti mara ya mwisho akasema sawa kama hii mimba si yako basi hamna shida ila kama ni yako utakuja tu. Jamaa anadai alimwambia binti mpaka mtoto akue ampime DNA kipindi hicho mtoto anatakiwa awe amefikisha miaka 20 ndo DNA inafanya kazi.
Jamaa anachukulia u-bush woman wa binti kama kigezo kumlisha matango pori akitetea uhuni wake. Eti DNA mpaka mtoto afike miaka ishirini wampime contaginiousis yake ikoje. Jamaa mshenzi halafu mhuni, bwege, malaya, mbwa.
Sasa wanasema akarudi town maana yeye ni dereva tu wa gari DFPA fulani hivi. Juzi karudishwa jamaa analia akitaka enda haja ndogo anakunya nanasi. Nanasi kabisa hili hili linalouzwa. Sasa imagine na lile ganda lake.
Jamaa analia anashidwa hata kukaa sehemu ya haja imechanika chanika. Anapatwa na njaa lakini hatamani kula sababu wasiwasi ni kuwa ataenda kunya nanasi. Kaenda kwa mtalaamu akamwambia mgomvi wake yupo Chalinze.
Kaja Chalinze anaambiwa binti sijui kaenda Bagamoyo kwa bibi yake ili ukifika wakati wa kujifungua ajifungulie huko. Jamaa analia kama fala. Watu wanamuuliza sasa inakuaje analia tu.
Nlitamani nimwone anavyojisaidia ila sijaweza maana napewa hii taarifa tayari nipo Dar. Ila mshkaji anasema amemwona jamaa live hawezi hata kaa kwa maumivu aliyo nayo sehemu ya haja.
Mbona hujibu PM?Bora anajisaidia nanasi kuliko angeliwa tigo.
iyo muvi kali sanaDah! mradi huo kaka mwambie akauze mananasi kwa bakhresa. Hujasikia stori ya a duck with a golden egg ah ah ah
Mbona hujibu PM?
Huko ni kudeka vitu vingine unatakiwa ujiongeze. Imagine tu. Picha picha kila wakati si sawa.Naamini tukidai picha hatuwezi kuambiwa tunadekadeka.Au naandika urongo ndugu zangu?
Kuamini ni kugusa mchizi wangu!Huko ni kudeka vitu vingine unatakiwa ujiongeze. Imagine tu. Picha picha kila wakati si sawa.
Wewe ni mwanamke au mwanamke? Je una sehemu ya kutolea haja kubwa?Kuamini ni kugusa mchizi wangu!
picha?Wala siyo mbali na hapo tu Chalinze jamaa kajifanya kidume kutembea na binti. Kamtia mimba then anamkwepa. Binti kabembeleza sana jamaa achukue wajibu wake. Jamaa anajifanya mtown anakwepa kwepa tu mishale.
Binti mara ya mwisho akasema sawa kama hii mimba si yako basi hamna shida ila kama ni yako utakuja tu. Jamaa anadai alimwambia binti mpaka mtoto akue ampime DNA kipindi hicho mtoto anatakiwa awe amefikisha miaka 20 ndo DNA inafanya kazi.
Jamaa anachukulia u-bush woman wa binti kama kigezo kumlisha matango pori akitetea uhuni wake. Eti DNA mpaka mtoto afike miaka ishirini wampime contaginiousis yake ikoje. Jamaa mshenzi halafu mhuni, bwege, malaya, mbwa.
Sasa wanasema akarudi town maana yeye ni dereva tu wa gari DFPA fulani hivi. Juzi karudishwa jamaa analia akitaka enda haja kubwa anakunya nanasi. Nanasi kabisa hili hili linalouzwa. Sasa imagine na lile ganda lake.
Jamaa analia anashidwa hata kukaa sehemu ya haja imechanika chanika. Anapatwa na njaa lakini hatamani kula sababu wasiwasi ni kuwa ataenda kunya nanasi. Kaenda kwa mtalaamu akamwambia mgomvi wake yupo Chalinze.
Kaja Chalinze anaambiwa binti sijui kaenda Bagamoyo kwa bibi yake ili ukifika wakati wa kujifungua ajifungulie huko. Jamaa analia kama fala. Watu wanamuuliza sasa inakuaje analia tu.
Nlitamani nimwone anavyojisaidia ila sijaweza maana napewa hii taarifa tayari nipo Dar. Ila mshkaji anasema amemwona jamaa live hawezi hata kaa kwa maumivu aliyo nayo sehemu ya haja.
AlikulaHilo nanasi lake liko wapi ? Aliliuza au
Picha?picha?
Huyo angefanywa awe ama kunya simu ili ufungue duka la simujaman kuna mtu kaniibia simu naweza pata massada anye japo yai tu????