Kupenda kuchezea watoto wa watu kumemtokea puani

Kupenda kuchezea watoto wa watu kumemtokea puani

[emoji28][emoji28][emoji28] umefanya nimecheka. Lol.

Hivyo salamu yako umeileta kwa lengo la kunipasha. Lol. Kutokomea ni maamuzi tu Avatar na havihusiani kabisa na mwaka.
Si nimekumbuka enzi mambo yalivyokuwa moto moto.. haha

Ndio nasema usije ukafikia hayo maamuzi mchana kweupe kabisa...
 
Story za kwenye vijiwe vya kahawa hizi. Hadithi kama hii nimeisikia miaka 20 iliyopita
 
Mkuu una uhakika ni nanasi kabisa hili hili la kiwangwa nikatishe safari ya kiwangwa niende kumtafuta jamaa.

Kuna fursa hapo nimeiona msimu wa nanasi huu akinya kisuziki carry kwa siku mwambie tumetoboa
Fala[emoji1787][emoji1787]
 
Kwa sasa amezoea, anataga mananasi manne Kwa siku inasemekana ni matamu hayoo!!
 
Back
Top Bottom