Kupenda kuchezea watoto wa watu kumemtokea puani

Duuh ni halali bhn wanaume tunakosea kwel sio uongo
 
ndio maana mimi nikitongoza demu simwambii "nitakuoa"
ukimwambia 'nitakuoa' then uka pump&dump unaweza ukarogwa
 
Hiyo sehemu ya haja ndogo halafu anakunya nanasi imenifanya nisiendelee tena kusoma huu uzi
 
picha?
 
Kuna WANA JF mtapigwa sooon na matapeli kupitia hizi nyuzi takribani tatu ninazoziona humu.
1. Kuna Ile ya yenye picha jamaa akitoka Nyama/Mgolo kule Kahama.
2. Kuna ile nyuzi inaelezea Stori za MwanaJF anayetoa ushuhuda kwa kuishi kwa Ndugu yake mganga wa kilingeni.
3. Kuna hii Nyuzi ya Mananasi.
I warn you, this is phishing Marketing technique. Mtalizwaaaa mchana kweupeeee. Na mlizaji pia jiandae maaana tayari watu wenye kazi zao washaanza yao.
Msije kulia lia mkasema hatukuwaonya, hawa ni wapigaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…