Kupenda kuchezea watoto wa watu kumemtokea puani

Nimesitisha kula mananasi kwanzia leo[emoji3][emoji3]
 
Ha ha ha....hiyo mikwara yako utadhani una la maana. Mbona ile pesa sikurudisha na mpaka leo hujanifanya kitu? Ulidai wewe usalama utanifuatilia. Wewe bwege hakuna utajiri wa dawa huku JF mi nliona huna akili nika kujaribu ukatuma pesa. Then unataka nikurudishie....thubutu. wewe leta hao wenye kazi zao wanikute mwenye kazi yangu.
 
Hizi story huwa siziamini. Ila kuna watu humu watamtafuta uyo binti kichwa kichwa ili awape iyo dawa.
 
Haunikatishi tamaa ya kukataa vitumbo kirahisi
 
Hapo wanawake ndio wanafeli ,kabinti kadogo, karembo chuchu saa sita kanamiliki kakombora ya hatari ya kishirikina, sasa hata huyo jamaa angemkubali angeishije na mtu mwenye zana za kutisha namna ile?
Hahah
 
Nanasi? Na ile michongoma ? Linapitaje kwenye mfereji maringo?
 
Duuh aiseee!! Kama siyo chai hapo chalinze vijana watakuwa wamepata fundisho kubwa
 
Nipo Avatar halafu tumepishana sana siku hizi. Lol.

Happy New Year.
We si ulikua unajikana bwana... Nipo sio mchangiaji sikuizi.

Huu mwaka itabidi tuuanze kivingine usije ukatokomea tena
 
We si ulikua unajikana bwana... Nipo sio mchangiaji sikuizi.

Huu mwaka itabidi tuuanze kivingine usije ukatokomea tena
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… umefanya nimecheka. Lol.

Hivyo salamu yako umeileta kwa lengo la kunipasha eee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…