Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Hapo usikute mwenzako kashaoshwa na ndele afu wewe hujui.Fanya kumkalisha chini akusanue bro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyu ni mimi kabisa japo umenizidi umri ila hii imenipa uongozi pia mfano tangu nipo darasa la kwanza hadi form 4 nilikuwa kiongozi like head boy nk. pia chuo mwaka wa kwanza nikaingia kwenye siasa za chuo, hii naona ni muondelezo, kwakuwa bado nipo chuo nitakuja na thread nikimaliza chuo , upepo wa kuwa rais wa chuo upo pia.Mkuu inatokea tu..Kuna watu tuna pendwa tuuu .
Hata Mimi Siwez msemesha mwanamke akanichomolea, wanaonianza ndo usiseme.
Hawa wakukutana nao muda huohuo na kwenda kumuwekea Mpini ndo kabisaa.
Huwa najiuliza..
Ni Mwonekano?.
Au ucheshi?
Au nilivyo na lugha tamu?.
Au Kazi ??.
Maajab mademu Hawa wote situmiii Pesa yangu kuwapata.
Niliwahi muuliza Mzee wangu, Kwann watu wananiangalia Sanaa muda wote,, yeye akanijib, kwao Toka mababu na mababu ni Wa uzazi wa kichifu kwahiyo Kuna hiyo hali ya Kusujudiwa, kuogopwa, na kupendwa sana
Wakati nikiwa chuo , walihisi natumia dawa, Kuna washikaji wakawa wananifata niwape dawa, namm nikawa naingia mtaani nachuma Mizizi mizizi nawapa ,alafu nawapa mashirit magumuu, NAPIGA PESA ZAO.
Mimi niliingia Kwa Ofisi, unakuta huyo wa ofisin ndio ananiogopa Mimi, atanitetemekea na atanishigulikia jambo langu kwa haraka ili Moyo wake upoe.
Mimi nikiongea mbele ya mtu, au watu ,hukaa kimyaa sana, na kunisikilizaa Kwa makini sanaaaa, na kauli zangu Huwa kama Zina mamlaka kwao na kuaminika sana..
On the other hand, hali hii inanipa wakati mgumu sana kazini .
Wagonjwa kutaka kutibiwa namm tu, ndo wajihisi wanatibiwa, Nimekua naonewa wivu na chuki bila sababu.
Kwaiyo saiv umeokoka...unampenda Yesu?When I was young I used to fancy this demeanor. Later I realized it was a curse..
Pana ishu nyingi pana ishu ya kibali pia nyota Yako ya mvuto mamlaka haijaibiwa na wachawi
Sitanii , hii kitu ni halisi .Chai ya moto sana hii
Maneno ya mkosajiWhen I was young I used to fancy this demeanor. Later I realized it was a curse..
Naliamin hili 100%Pana ishu nyingi pana ishu ya kibali pia nyota Yako ya mvuto mamlaka haijaibiwa na wachawi
J au?Kuwa makini na huyo Haule.
Naliamin hili 100%
Kwa hakika, Mungu alinipa kibali...Hilo Huwa nalisema Kila siku.
Huku kazin, vita nyingi lkn hazijawah nishinda.
Wewe jamaa una sifa na ulimbukeni sijapata kuonaNaliamin hili 100%
Kwa hakika, Mungu alinipa kibali...Hilo Huwa nalisema Kila siku.
Huku kazin, vita nyingi lkn hazijawah nishinda.
Kama jamaa ana nyota kwanini asijaribu bahati kwa Jojo Jokate ili atusue au amkamate hata mdada mmoja kutoka familia ya SSH hawezi kukosa uteuziNinae Rafiki Yangu Mmoja Jina lake linaanzia na Herufi H. Nimiaka mingi Sana tumefahamiana nae, Ebana Huyo mshikaji anapendwa sana na Wanawake.
Mara Nyingi tunapokua Wote Tunaeza kua Hata tumeongoza mi kutaka kuthibitisha Hilo, naeza ona mwanamke Hata kwa Mbali,na mwambia msemeshe yule tuone Kama atakubali, yaani akimsemesha mwanamke achomoi.
Na inafika hatua mpaka Wanawake wanamuomba Namba mshikaji,na wao ndo wanamtafuta.
Mwaka Jana Kuna bint nilimuona mlimani city mi nikamsemesha hakuitikia kauli Yangu, Mara Tatu namsemesha hajaitikia, Rafiki Yangu Alikua ameenda kununua maji, aliporudi nikamuadhia Kuna Mrembo kapita Hapa nimemsemesha Hata ajanibu kitu, akaniambia Yuko wapi Bint Mwenyewe Nika muonyesha yule kule...
Alitembea Fasta kumfata yule Bint akampita akaenda kwa Mbele Kuna mlinzi wa pakingi aka msalimia arafu akaanza kurudi nilipo huwezi amini alipomsemesha tu yule Bint alisimama na Namba akatoa.
Baada siku kadhaa akanipigia Simu Mida ya Saa mbili Broo Uko wapi, nkamwambia ndo natoka kazini, akaniambia Kama una mda pitia home upate Chakula Cha jioni Niko na shemeji yako.
Kwenda na.kumkuta yule Binti...
Tayari kasha Chezea koki.....
Kama jamaa ana nyota kwanini asijaribu bahati kwa Jojo Jokate ili atusue au amkamate hata mdada mmoja kutoka familia ya SSH hawezi kukosa uteuzi
Kuna watu wanaupepo na wanawakeHuenda ni kweli ila acha nikusanue mwanangu.
Iko hivi kuna baadhi ya wanaume wanapenda sana kuonesha umwamba kwa wanaume wenzao.
Yaani ile mi nachapa sana manzi, hamna dem ananikataa na vitu ka hizo.
Ukiwa hujielewi unaweza kuamini ila deepdown ni kua nao hukatiliwa ila tofauti ni kua wao huongeza juhudi ili kuzidi kuwaaminisha nyie.
Achana na hayo mawazo mkuu, mwanamke yeyote ukimvalia njuga hachomoi.
Na cha kujiuliza zaidi juu ya akili ya jamaa yako ni kua ni kwanini alikuita umuone huyo dem.
Hebu jiongeze dogo, tatizo mnatambishiana sana.
Huo ndo ukweliHuyo mwamba ana nguvu kubwa ya kibali. Kaipataje pataje ndii swali la kujiuliza. Hiyo ni nguvu ya kiroho...huenda kaivuna/kaikuza/kaiamsha akiwa anajua au hajui.
Watu wa hivyo wapo,nguvu hii hujitokeza katika mazingira tofauti tofauti. Inategemea malengo ya muhusika.
Nimecheka lwa sauti sanaSio wazee wa ndele hao