Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Kuna watu wapo hivyo.Huwa kuna muda si waongeaji ila ukiwapa nafasi waongee au wajitetee utashangazwa.Kwa wanawake ndiyo balaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imeandikwa ikimbieni zinaa Leo hii mfanya zinaa anaonekana bigwa ni kama mshindi wa tuzo na kuona ufahari kujitangazaNinae Rafiki Yangu Mmoja Jina lake linaanzia na Herufi H. Nimiaka mingi Sana tumefahamiana nae, Ebana Huyo mshikaji anapendwa sana na Wanawake.
Mara Nyingi tunapokua Wote Tunaeza kua Hata tumeongoza mi kutaka kuthibitisha Hilo, naeza ona mwanamke Hata kwa Mbali,na mwambia msemeshe yule tuone Kama atakubali, yaani akimsemesha mwanamke achomoi.
Na inafika hatua mpaka Wanawake wanamuomba Namba mshikaji,na wao ndo wanamtafuta.
Mwaka Jana Kuna bint nilimuona mlimani city mi nikamsemesha hakuitikia kauli Yangu, Mara Tatu namsemesha hajaitikia, Rafiki Yangu Alikua ameenda kununua maji, aliporudi nikamuadhia Kuna Mrembo kapita Hapa nimemsemesha Hata ajanibu kitu, akaniambia Yuko wapi Bint Mwenyewe Nika muonyesha yule kule...
Alitembea Fasta kumfata yule Bint akampita akaenda kwa Mbele Kuna mlinzi wa pakingi aka msalimia arafu akaanza kurudi nilipo huwezi amini alipomsemesha tu yule Bint alisimama na Namba akatoa.
Baada siku kadhaa akanipigia Simu Mida ya Saa mbili Broo Uko wapi, nkamwambia ndo natoka kazini, akaniambia Kama una mda pitia home upate Chakula Cha jioni Niko na shemeji yako.
Kwenda na.kumkuta yule Binti...
Tayari kasha Chezea koki.....
😍😍😍 wewe ni copy yangu mkuu, huwa nashindwa hata kuwaelewa watuwa wanaosema wanawake wanapenda pesa, pia kuna ile hali ya kukubalika haraka kila sehemu unayoenda,unapopita kila mtu anakuangalia wewe tu, unapofanya jambo hata kama ni baya kila mtu atatamani kufanya kama wewe.Mkuu inatokea tu..Kuna watu tuna pendwa tuuu .
Hata Mimi Siwez msemesha mwanamke akanichomolea, wanaonianza ndo usiseme.
Hawa wakukutana nao muda huohuo na kwenda kumuwekea Mpini ndo kabisaa.
Huwa najiuliza..
Ni Mwonekano?.
Au ucheshi?
Au nilivyo na lugha tamu?.
Au Kazi ??.
Maajab mademu Hawa wote situmiii Pesa yangu kuwapata.
Niliwahi muuliza Mzee wangu, Kwann watu wananiangalia Sanaa muda wote,, yeye akanijib, kwao Toka mababu na mababu ni Wa uzazi wa kichifu kwahiyo Kuna hiyo hali ya Kusujudiwa, kuogopwa, na kupendwa sana
Wakati nikiwa chuo , walihisi natumia dawa, Kuna washikaji wakawa wananifata niwape dawa, namm nikawa naingia mtaani nachuma Mizizi mizizi nawapa ,alafu nawapa mashirit magumuu, NAPIGA PESA ZAO.
Mimi niliingia Kwa Ofisi, unakuta huyo wa ofisin ndio ananiogopa Mimi, atanitetemekea na atanishigulikia jambo langu kwa haraka ili Moyo wake upoe.
Mimi nikiongea mbele ya mtu, au watu ,hukaa kimyaa sana, na kunisikilizaa Kwa makini sanaaaa, na kauli zangu Huwa kama Zina mamlaka kwao na kuaminika sana..
On the other hand, hali hii inanipa wakati mgumu sana kazini .
Wagonjwa kutaka kutibiwa namm tu, ndo wajihisi wanatibiwa, Nimekua naonewa wivu na chuki bila sababu.
FUTA tongotongo kaka,miaka ya nyuma nilikuwa na rafiki yangu nilikuwa nasema kama wewe unavyosema,years later nikajua thibitisha ni Mtu anayeoga dawa,anakunywa dawa,anapaka dawa,anatafuta dawa,anavaa dawa kifupi rafiki yako ni shirkina.
Ni KE,kama usemavyo hana mwanaume permanent Sadly ni jumping no positionHuyo rfiki yako alikuwa KE au ME Mimi nina mama Mdogo angu anatumia madawa Sana ushirikina kunasa wanaume.
Ila wale wanaume classic Kama Mimi hapati yeye anapata gombania goli
Anaweza kuachika huku Ahsubui Ila jioni akaolewa na MTU mwingine.
Hiyo IPO Ila unfortunately hapati wanume classic Good man hapati. Anapata vicheche Kama yeye
Kalagha baho, hamna watu wa hivo, kuna vitu extra wanavifanya.Kuna watu wanaupepo na wanawake
Bro its just a mindset na vilaumbele vyako tu.Unajua huyu Ni mshikaji wangu, alinipigia Familia Moja mabinti watatu.
Wale wadada wanagombama.. mtu kaileta ntaiacha.Daaa
Sasa unanibishia kwa mtu ambaye nilikua naishi nae na hali yake ya uchumu ilikua ya kawaida sana jamiiforum ni kibokoKalagha baho, hamna watu wa hivo, kuna vitu extra wanavifanya.
Kupendeza, kutupia pics mitandaoni wakiwa na good look, maneno ya kuwapagawisha girls nk.
Na hivyo vitu wanafanya wakiwa na interest ya kuwaaminisha ninyi.
Wewe kumjua hakutufanyi tukuamini kila usemacho kumhusuSasa unanibishia kwa mtu ambaye nilikua naishi nae na hali yake ya uchumu ilikua ya kawaida sana jamiiforum ni kiboko