Kupendwa na wanawake(Nyota ya Wanawake)

Kupendwa na wanawake(Nyota ya Wanawake)

Sitanii , hii kitu ni halisi .

Sio tu kwenye mapenzi, hata Maisha yangu ya nje .

Rafiki zangu asilimia kubwa, Huwa hawapendi kunitambulisha Kwa wake au wapenzi wao.( Najua sababu).

Kwenye Maisha mengine, ninapendwa, ninaogopwa , Nina Nguvu ya Kimamlaka Kwa watu , Ninachokisema naaminika.

Mara nyingi watu wananifata kuniambia .

Toka nasoma shule ya msingi mpaka kidato Cha sita, Nilikua nikichaguliwa Mara Kwa mara kuwakilisha wanafunzi wenzangu.

Naingia Chuo Kikuu, napiga shule yangu , wadada walikua wanamiminika sana , Ndio sababu jamaa walihisi Nina dawa .

Kwa Sasa Niko kazin ninapendwa mnooo, Nina mtaji mkubwa sana wa watu nyuma yangu, na waina mbalimbali wenye kazi mbalimbali .

Niwapo kazin, wagonjwa wakishajua tu ,Niko Chumba namba ngapiiii, basi wataomba faili zao ziletwe kwangu .

We jamaa ndo ulikuwa unasema unatembea na wake za watu ushare mapaka chartting mtandaoni siku ya x mas

Huo mtaji wa watu Kama ungekuwa nayo usingeweza kuhangaika na wake za watu. MTU smart charistimatic hawezi kuwa natabia za kijinga za kujisifu kutembea na wake za watu mitandaoni
 
Ninae Rafiki Yangu Mmoja Jina lake linaanzia na Herufi H. Nimiaka mingi Sana tumefahamiana nae, Ebana Huyo mshikaji anapendwa sana na Wanawake.

Mara Nyingi tunapokua Wote Tunaeza kua Hata tumeongoza mi kutaka kuthibitisha Hilo, naeza ona mwanamke Hata kwa Mbali,na mwambia msemeshe yule tuone Kama atakubali, yaani akimsemesha mwanamke achomoi.

Na inafika hatua mpaka Wanawake wanamuomba Namba mshikaji,na wao ndo wanamtafuta.
Mwaka Jana Kuna bint nilimuona mlimani city mi nikamsemesha hakuitikia kauli Yangu, Mara Tatu namsemesha hajaitikia, Rafiki Yangu Alikua ameenda kununua maji, aliporudi nikamuadhia Kuna Mrembo kapita Hapa nimemsemesha Hata ajanibu kitu, akaniambia Yuko wapi Bint Mwenyewe Nika muonyesha yule kule...

Alitembea Fasta kumfata yule Bint akampita akaenda kwa Mbele Kuna mlinzi wa pakingi aka msalimia arafu akaanza kurudi nilipo huwezi amini alipomsemesha tu yule Bint alisimama na Namba akatoa.

Baada siku kadhaa akanipigia Simu Mida ya Saa mbili Broo Uko wapi, nkamwambia ndo natoka kazini, akaniambia Kama una mda pitia home upate Chakula Cha jioni Niko na shemeji yako.

Kwenda na.kumkuta yule Binti...
Tayari kasha Chezea koki.....
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] koki sio

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Inawezekana ulikua unamsalimia ile staili ya kijiweni umeegemea ukuta ye anapita alafu unataka ukimsalimia asimame kukujibu, inawezekana kakujibu hujaskia au hajakujibu kwasababu hana uhakika kama umemsalimia yeye

Mi kushauri sana mapenzi sitaki ila bro ukiona kakuvutia mfate umueleze shida yako ukiwa unaongea nae maintain eye contact haijalishi awe ni nani , awe Miss World 2024 wewe uwe mbeba zege ongea nae kwa njia nzuri tu akikukatalia uwe na uhakika kakataa na wala usikasirike akikubali unachohitaji safari ianzie hapo.

Wala hakuna uchawi
 
Ninae Rafiki Yangu Mmoja Jina lake linaanzia na Herufi H. Nimiaka mingi Sana tumefahamiana nae, Ebana Huyo mshikaji anapendwa sana na Wanawake.

Mara Nyingi tunapokua Wote Tunaeza kua Hata tumeongoza mi kutaka kuthibitisha Hilo, naeza ona mwanamke Hata kwa Mbali,na mwambia msemeshe yule tuone Kama atakubali, yaani akimsemesha mwanamke achomoi.

Na inafika hatua mpaka Wanawake wanamuomba Namba mshikaji,na wao ndo wanamtafuta.
Mwaka Jana Kuna bint nilimuona mlimani city mi nikamsemesha hakuitikia kauli Yangu, Mara Tatu namsemesha hajaitikia, Rafiki Yangu Alikua ameenda kununua maji, aliporudi nikamuadhia Kuna Mrembo kapita Hapa nimemsemesha Hata ajanibu kitu, akaniambia Yuko wapi Bint Mwenyewe Nika muonyesha yule kule...

Alitembea Fasta kumfata yule Bint akampita akaenda kwa Mbele Kuna mlinzi wa pakingi aka msalimia arafu akaanza kurudi nilipo huwezi amini alipomsemesha tu yule Bint alisimama na Namba akatoa.

Baada siku kadhaa akanipigia Simu Mida ya Saa mbili Broo Uko wapi, nkamwambia ndo natoka kazini, akaniambia Kama una mda pitia home upate Chakula Cha jioni Niko na shemeji yako.

Kwenda na.kumkuta yule Binti...
Tayari kasha Chezea koki.....
Aibu naona mimi.
 
Eti unamwambia msemeshe? Halafu mnataka katiba mpya.!
 
Mkuu inatokea tu..Kuna watu tuna pendwa tuuu .

Hata Mimi Siwez msemesha mwanamke akanichomolea, wanaonianza ndo usiseme.

Hawa wakukutana nao muda huohuo na kwenda kumuwekea Mpini ndo kabisaa.

Huwa najiuliza..

Ni Mwonekano?.

Au ucheshi?

Au nilivyo na lugha tamu?.

Au Kazi ??.

Maajab mademu Hawa wote situmiii Pesa yangu kuwapata.

Niliwahi muuliza Mzee wangu, Kwann watu wananiangalia Sanaa muda wote,, yeye akanijib, kwao Toka mababu na mababu ni Wa uzazi wa kichifu kwahiyo Kuna hiyo hali ya Kusujudiwa, kuogopwa, na kupendwa sana

Wakati nikiwa chuo , walihisi natumia dawa, Kuna washikaji wakawa wananifata niwape dawa, namm nikawa naingia mtaani nachuma Mizizi mizizi nawapa ,alafu nawapa mashirit magumuu, NAPIGA PESA ZAO.

Mimi niliingia Kwa Ofisi, unakuta huyo wa ofisin ndio ananiogopa Mimi, atanitetemekea na atanishigulikia jambo langu kwa haraka ili Moyo wake upoe.

Mimi nikiongea mbele ya mtu, au watu ,hukaa kimyaa sana, na kunisikilizaa Kwa makini sanaaaa, na kauli zangu Huwa kama Zina mamlaka kwao na kuaminika sana..

On the other hand, hali hii inanipa wakati mgumu sana kazini .

Wagonjwa kutaka kutibiwa namm tu, ndo wajihisi wanatibiwa, Nimekua naonewa wivu na chuki bila sababu.
Hii ipo mkuu, kuna mshikaji asee hajawahi kataliwa na msichana yeyote ambae mim nimeshuhudia akimtaka. Jamaa anawataabisha mademu mpaka nawaoneaga huruma. Jamaa ni good looking, ana shule halafu mpole sana! Hatoi hela kabisa
 
Sitanii , hii kitu ni halisi .

Sio tu kwenye mapenzi, hata Maisha yangu ya nje .

Rafiki zangu asilimia kubwa, Huwa hawapendi kunitambulisha Kwa wake au wapenzi wao.( Najua sababu).

Kwenye Maisha mengine, ninapendwa, ninaogopwa , Nina Nguvu ya Kimamlaka Kwa watu , Ninachokisema naaminika.

Mara nyingi watu wananifata kuniambia .

Toka nasoma shule ya msingi mpaka kidato Cha sita, Nilikua nikichaguliwa Mara Kwa mara kuwakilisha wanafunzi wenzangu.

Naingia Chuo Kikuu, napiga shule yangu , wadada walikua wanamiminika sana , Ndio sababu jamaa walihisi Nina dawa .

Kwa Sasa Niko kazin ninapendwa mnooo, Nina mtaji mkubwa sana wa watu nyuma yangu, na waina mbalimbali wenye kazi mbalimbali .

Niwapo kazin, wagonjwa wakishajua tu ,Niko Chumba namba ngapiiii, basi wataomba faili zao ziletwe kwangu .
Mwamba unafanana na mwamba wangu mmoja! Yule jamaa anakubalika na kila demu. Demu wa aina yyte akimtaka hatoboi! Halafu kaoa pisi mbovu balaa dah
 
Kadri unavyojituma kutafuta madem basi zoezi hilo huwa ni rahisi zaidi(utawapata sana)

Sijui kuna uhusiano gani kati ya jitihada ya kuwatafuta na wao kukubali kirahisi.!!
Ni kama jackpot, kadiri unavocheza mara nyingi zaidi ndo unajiongezea nafasi ya kushinda.

Droo kubwa zikichezeshwa lazima nawewe uwemo.
 
Hii movie inaendana na hii concept 👇

Perfume: The Story of a Murderer
 
Riziki ya mwenziyo usiilalie mlango wazi, utavamiwa na wadudu wabaya wakudhuru.

Tosheka na ulichonacho, hayo mambo ya kutamani kuwa na bahati ya kupendwa na wanawake achana nayo. Kuna mengi mazuri ya kuburudisha moyo na nafsi pindi unapofanikisha jambo fulani.

Kila binadamu kaumbwa na upekee wa aina yake, furahia upekee wako, acha kutaka kuwa kama wengine
 
Back
Top Bottom