Kupendwa na wanawake(Nyota ya Wanawake)

huyu ni mimi kabisa japo umenizidi umri ila hii imenipa uongozi pia mfano tangu nipo darasa la kwanza hadi form 4 nilikuwa kiongozi like head boy nk. pia chuo mwaka wa kwanza nikaingia kwenye siasa za chuo, hii naona ni muondelezo, kwakuwa bado nipo chuo nitakuja na thread nikimaliza chuo , upepo wa kuwa rais wa chuo upo pia.
 
Pana ishu nyingi pana ishu ya kibali pia nyota Yako ya mvuto mamlaka haijaibiwa na wachawi
Chai ya moto sana hii
Sitanii , hii kitu ni halisi .

Sio tu kwenye mapenzi, hata Maisha yangu ya nje .

Rafiki zangu asilimia kubwa, Huwa hawapendi kunitambulisha Kwa wake au wapenzi wao.( Najua sababu).

Kwenye Maisha mengine, ninapendwa, ninaogopwa , Nina Nguvu ya Kimamlaka Kwa watu , Ninachokisema naaminika.

Mara nyingi watu wananifata kuniambia .

Toka nasoma shule ya msingi mpaka kidato Cha sita, Nilikua nikichaguliwa Mara Kwa mara kuwakilisha wanafunzi wenzangu.

Naingia Chuo Kikuu, napiga shule yangu , wadada walikua wanamiminika sana , Ndio sababu jamaa walihisi Nina dawa .



Kwa Sasa Niko kazin ninapendwa mnooo, Nina mtaji mkubwa sana wa watu nyuma yangu, na waina mbalimbali wenye kazi mbalimbali .


Niwapo kazin, wagonjwa wakishajua tu ,Niko Chumba namba ngapiiii, basi wataomba faili zao ziletwe kwangu .
 
Mwambie atafute demu wa maana mtoto wa kishua mwenye ukwasi unaoleweka kazi ya maana biashara n.k au hata ajaribu kwa Jokate. tu.


Kupima nyota yako kuwa IPO vizuri jaribu kuangalia watu wenye pesa za kutosha wanakukubali na kukisikiliza.



We unapima nyota yako kupitia mademu wachovu wakibongo
 
Kama jamaa ana nyota kwanini asijaribu bahati kwa Jojo Jokate ili atusue au amkamate hata mdada mmoja kutoka familia ya SSH hawezi kukosa uteuzi
 
Huyo mwamba ana nguvu kubwa ya kibali. Kaipataje pataje ndii swali la kujiuliza. Hiyo ni nguvu ya kiroho...huenda kaivuna/kaikuza/kaiamsha akiwa anajua au hajui.
Watu wa hivyo wapo,nguvu hii hujitokeza katika mazingira tofauti tofauti. Inategemea malengo ya muhusika.
 
Kuna watu wanaupepo na wanawake
 
Huo ndo ukweli
Wengine nguvu hio ipo kwenye biashara, wengine ipo kwa wanawake, wengine kwenye michezo, wengine kwenye uongozi

Wako watu wanawake ndo wanawalilia na kuwagombania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…