Kupendwa na wanawake(Nyota ya Wanawake)

Kuna watu wapo hivyo.Huwa kuna muda si waongeaji ila ukiwapa nafasi waongee au wajitetee utashangazwa.Kwa wanawake ndiyo balaa.
 
Imeandikwa ikimbieni zinaa Leo hii mfanya zinaa anaonekana bigwa ni kama mshindi wa tuzo na kuona ufahari kujitangaza
 
Umaskini una mnyemelea mwambie ashtuke mapema
 
😍😍😍 wewe ni copy yangu mkuu, huwa nashindwa hata kuwaelewa watuwa wanaosema wanawake wanapenda pesa, pia kuna ile hali ya kukubalika haraka kila sehemu unayoenda,unapopita kila mtu anakuangalia wewe tu, unapofanya jambo hata kama ni baya kila mtu atatamani kufanya kama wewe.
 
FUTA tongotongo kaka,miaka ya nyuma nilikuwa na rafiki yangu nilikuwa nasema kama wewe unavyosema,years later nikajua thibitisha ni Mtu anayeoga dawa,anakunywa dawa,anapaka dawa,anatafuta dawa,anavaa dawa kifupi rafiki yako ni shirkina.
 
FUTA tongotongo kaka,miaka ya nyuma nilikuwa na rafiki yangu nilikuwa nasema kama wewe unavyosema,years later nikajua thibitisha ni Mtu anayeoga dawa,anakunywa dawa,anapaka dawa,anatafuta dawa,anavaa dawa kifupi rafiki yako ni shirkina.


Huyo rfiki yako alikuwa KE au ME Mimi nina mama Mdogo angu anatumia madawa Sana ushirikina kunasa wanaume.


Ila wale wanaume classic Kama Mimi hapati yeye anapata gombania goli

Anaweza kuachika huku Ahsubui Ila jioni akaolewa na MTU mwingine.


Hiyo IPO Ila unfortunately hapati wanume classic Good man hapati. Anapata vicheche Kama yeye
 
Ni KE,kama usemavyo hana mwanaume permanent Sadly ni jumping no position
 
Kuna watu wanaupepo na wanawake
Kalagha baho, hamna watu wa hivo, kuna vitu extra wanavifanya.
Kupendeza, kutupia pics mitandaoni wakiwa na good look, maneno ya kuwapagawisha girls nk.
Na hivyo vitu wanafanya wakiwa na interest ya kuwaaminisha ninyi.
 
Unajua huyu Ni mshikaji wangu, alinipigia Familia Moja mabinti watatu.
Wale wadada wanagombama.. mtu kaileta ntaiacha.Daaa
Bro its just a mindset na vilaumbele vyako tu.

Mfano kwangu girls sio first priority, so ntapambana nifanikishe vingine na sio kugongana pekee.
Ila enzi zangu nilikua sigongani ila still maboya walidhani mi nakula sana manzi skuli kumbe ni ile tu kubang nao sana nk.

Ndo kama wewe sasa, jamaa ana show off, huenda wengine hachapi ila kwakua ninyi mshamchukulia ni mtu wa pisi basi jamaa anatake advantage.

Em toa hiyo mindeset, nadhani inakuathiri sana hiyo.
 
Kitu chochote ukiwekeza nguvu na akili katika jambo hilo...! Baadae inakua rahisi mno kulifanikisha na ndo litakua linatokea kwenye maisha yako mara kwa mara....! Huyo rafiki yako aliwekeza nguvu na akili kwa wanawake toka zamani, mpaka sasa imekua tabia. Hivyo anawapata bila kutumia nguvu
 
Kalagha baho, hamna watu wa hivo, kuna vitu extra wanavifanya.
Kupendeza, kutupia pics mitandaoni wakiwa na good look, maneno ya kuwapagawisha girls nk.
Na hivyo vitu wanafanya wakiwa na interest ya kuwaaminisha ninyi.
Sasa unanibishia kwa mtu ambaye nilikua naishi nae na hali yake ya uchumu ilikua ya kawaida sana jamiiforum ni kiboko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…